Ni ajabu kwako, mwanamke kuvuta bangi ni ulevi kama ulevi mwingine kama upendi unaongea naye aachane na kilevi hicho.
Ila mwanamke teja ndio hafai, unga ni albadiri ya kihindi ile haumuachi Salama Mtumishi yeyote.
Nobody is perfect.. Kama havuti mjani hawezikosa mapungufu mengine! Kikubwa asilimia za mapungufu zisizidi za mazuriWakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana.
Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake wengine na kuishi kwenye familia kama mama wa nyumbani au ndo basi tena akishavuta bangi hafai kuoa mana ataleta usumbufu kwenye familia? Je wazazi, wifi na shemeji wakigundua kuwa mke ni mvuta bangi wanamchukuliaje mme wake?
Mana swali kubwa kwa sisi wanaume kama mke ni mvuta bangi mwanaume atakapofariki ghafla au kupatwa na tatizo upi usalama wa familia na mali zake kama anabaki huyu mwanamke mvuta bangi?
Kwahiyo zinasingiziwa?Bange na Pombe na Ugoro na Shisha zinapo singiziwa hua roho inaniuma sana.....😪
Kweli kaka,Nobody is perfect.. Kama havuti mjani hawezikosa mapungufu mengine! Kikubwa asilimia za mapungufu zisizidi za mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
AseeBibi zenu walibugia ugoro na wakaolewa wakalea baba na mama zenu katika maadili sawa ,sasa wa bangi atashindwa nini kutimiza majukumu yake
Siku ukipewa uchague kati ya mwanamke anayetumia pombe,sigara,mzaramo au anayevuta bangi.Nakushauri chagua mvuta bangi utakuja kushukuru huko mbeleni kuliko hizi type nyingine
Bangi reaction yake haina shida kubwa kama pombe au vilevi vingine ni vile tu jamii iliamua kutengeza maelezo mabovu kuhusu bangi
Hii noma😂Mungu atakupa wa kufanana nae
Kama wewe wavuta bangi haina ubaya wa kuoa mvuta bangi mwenzako na mfano wa hivyo pia, kama hauvuti bangi haipendezi kuoa anaye vuta bangi
Ila mapenzi yakikuzidi haina tatzo unaweza kuishi na hata jambazi kama ww ni mlokole au ostadhati/ostaz..mapenzi yana nguvu sanaa
Kipindi nipo chuo mwaka wa mwisho naelekea kuhitimu, Maza akanipigia simu kwamba sista anavuta bangi Tena akiwepo nyumbani kukiwa na wadogo zetu wadogo wazazi hawapo anayonga vitu vyake huku wanamuona.Wakuu tujuzane kama mwanamke mvuta bangi anafaa kuoa. Tupo wanaume ambao baadhi yetu tumeshakutana na wanawake warembo lakini wanavuta bangi hali hiyo ikatusikitisha sana.
Je, mwanamke kama huyu ambaye ameshakuwa mtumiaji wa bangi anafaa kuoa? Je anaweza kuhudumia watoto wake kama wanawake wengine na kuishi kwenye familia kama mama wa nyumbani au ndo basi tena akishavuta bangi hafai kuoa mana ataleta usumbufu kwenye familia? Je wazazi, wifi na shemeji wakigundua kuwa mke ni mvuta bangi wanamchukuliaje mme wake?
Mana swali kubwa kwa sisi wanaume kama mke ni mvuta bangi mwanaume atakapofariki ghafla au kupatwa na tatizo upi usalama wa familia na mali zake kama anabaki huyu mwanamke mvuta bangi?
Kwani akivuta anakuaje? Mimi navuta na maisha yanasonga, hakuna anayejua kama navuta natekeleza majukumu yangu kama kawaida.Afadhali mwanaume asee mwanamke inaleta picha ya ajabu
Natoka zangu mishemishe, nakoga maji. Then natengewa msosi, namaliza nahamia bedroom. Nakuta mama chanja ameshawasha kitu sativa, anapiga puff kadhaa then ananipasia. Najilaza kitandani, nakula kush taratibu huku babymama anapiga blow job maniner!Kwani akivuta anakuaje? Mimi navuta na maisha yanasonga, hakuna anayejua kama navuta natekeleza majukumu yangu kama kawaida.
Na mtu akiniona hawezi jua kama navuta. Labda utueleze yeye akivuta anakuaje?
story of my life.Natoka zangu mishemishe, nakoga maji. Then natengewa msosi, namaliza nahamia bedroom. Nakuta mama chanja ameshawasha kitu sativa, anapiga puff kadhaa then ananipasia. Najilaza kitandani, nakula kush taratibu huku babymama anapiga blow job maniner!
I'm high like a kite, hata mkiigawa bure bandari, I won't give a damn shit!
Hupati shida hapo kwenye kuonekana unanunua? Mi nachowapendea wavuta bangi ni kama ndugu wakikutana wanajuana hata sijui Huwa wanajuanaje Ukiwa ugenini na unakula miba bas utajiona kama uko nyumbani.Kwani akivuta anakuaje? Mimi navuta na maisha yanasonga, hakuna anayejua kama navuta natekeleza majukumu yangu kama kawaida.
Na mtu akiniona hawezi jua kama navuta. Labda utueleze yeye akivuta anakuaje?
Marahabaaa!🤣Shikamoo dada yangu mzuri, hapa ndipo hua nakukubali kabisa...😂
Ukiwa ugenini ni ngumu kupata maana ni hadi uwe na uhakika wa sehemu inapatikana.Hupati shida hapo kwenye kuonekana unanunua? Mi nachowapendea wavuta bangi ni kama ndugu wakikutana wanajuana hata sijui Huwa wanajuanaje Ukiwa ugenini na unakula miba bas utajiona kama uko nyumbani.