Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mmhhh!! Hapana kwa kweli kujioa, nakumbuka shemeji angu alioa dada angu kwa 50000 kwa sababu hali yake kiuchumi haikua nzuri, hivyo dada aliwaeleza ukweli wazazi na wazazi wakapanga mahari kulingana na hali halisi ya muoaji
.calm down,,,, impossible is nothing word,,,, hope umenielewaFuture impossible tense!!
.calm down,,,, impossible is nothing word,,,, hope umenielewa
Haha! Wazee wako makini sana wanapofanya investments zao. Tena hapo ukute alishapiga hesabu zake za kujua PAY BACK PERIOD itadondoka ukiwa na umri gani, akapata ukiwa na miaka 25, sasa ukifika miaka 27 hujaolewa unageuka liability. Kila siku utaanza hojiwa kwa nini unashinda tu ndani na hauendi kusalimia marafiki zako. Mara kwa nini we marafiki zako ni wanawake wenzako tu wakati dunia ina watu wa jinsia mbili ( zinazokubalika duniani kote).Kwa hiyo wanataka ROI wazee wetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kuwaonea..mlitaka mtuoe bure!?
hata mbuzi mmoja,,!! ,?? Are you already occupied?? If not , I'm in urgent need of you,Alipe tu hata mbuzi 1 kama vipi ,ila kujitolea mwenyewe khaa, hapanaa
natamani kuwa na mke kama wewe,,, serious,,,,kichwani(brain) upo vizuri sanaThe impossible is possible
Ile ni uthibitisho kwa jamii inayomzunguka kuwa binti yao kaolewa kwa heshima kama ilivyo kwa ndoa za kanisani unadhani haiwezekani mchungaji au padre akapita kila nyumba anafungisha ndoa ? na kwa nin sasa maandalizi ya miezi kadhaa yawepo? kila kitu ni sawa sema ni mahamuzi tuu.Ni utapeli kutoza mahari kubwa. After all siku hizi wanaofaidi ni wazazi na familia ya mwanamke. Utakuta ndugu wa mke wamejazana na wa mume wakija wanapigwa vita sana! Then Kwanini kutoa mahari kubwa?
Alete hata kuku ? Mahari unapanga wewe au wazazi ?
Heri yenu nyie ambao mwanamke anapanga yeye mahari ya kutolewa.Mahari ni ya anaeolewa wazazi hata haiwahusu katika uislam hata mwanamke akisema anataka elfu 10,000 ni sawa, ila kwasababu wazazi nao wanaingiza zao ambazo kisheria hazipo, hizo ndo zinakuwa nyingi mno mfano kuna ndugu alitaka kuoa mwanamke mahari yake alitaka laki 1 lakini wazazi wakaongeza zao laki 9 jumla 1M
Aisee Mungu ni wa ajabu sana huwezi amini hali ya maisha yao ilibadilika shemeji alipata kazi nzuri, wamejenga, wana miradi na Mungu amewajaalia watoto 3, walau na usafiri wanao kwa kweli maisha yanaenda na wamekua muhimili kwa familia.Na vipi kwa sasa maisha yao yakoje? Hali ilishapendeza? Aman ndan ya ndoa yao ipo?
Pamoja na kuwa MAHAMUZI na wala si maamuzi, bado mahari kubwa ni utapeli wa kutupwa. Mtoze mwanaume kiasi ambacho hakitamuathiri kiuchumi. Na hicho kiasi, mwanamke angalau achangie hata ikiwa ni elfu moja, au potelea mbali miambili. Kwani hakuna kijana miaka 18 na zaidi atakosa 200.Ile ni uthibitisho kwa jamii inayomzunguka kuwa binti yao kaolewa kwa heshima kama ilivyo kwa ndoa za kanisani unadhani haiwezekani mchungaji au padre akapita kila nyumba anafungisha ndoa ? na kwa nin sasa maandalizi ya miezi kadhaa yawepo? kila kitu ni sawa sema ni mahamuzi tuu.
Na kilichosababisha wazazi kumhurumia shemeji kwanza alikua yatima, pili anajisomesha chuo na anauhitaji wa mwenza wakaona isiwe tabu dada alipoulizwa Je utakwenda na mtu huyu? Akajibu ndio wazazi wakabariki leo hii ndoa yao ina miaka 15Na vipi kwa sasa maisha yao yakoje? Hali ilishapendeza? Aman ndan ya ndoa yao ipo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]..Haha! Wazee wako makini sana wanapofanya investments zao. Tena hapo ukute alishapiga hesabu zake za kujua PAY BACK PERIOD itadondoka ukiwa na umri gani, akapata ukiwa na miaka 25, sasa ukifika miaka 27 hujaolewa unageuka liability. Kila siku utaanza hojiwa kwa nini unashinda tu ndani na hauendi kusalimia marafiki zako. Mara kwa nini we marafiki zako ni wanawake wenzako tu wakati dunia ina watu wa jinsia mbili ( zinazokubalika duniani kote).
Heri yenu nyie ambao mwanamke anapanga yeye mahari ya kutolewa.