Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

Entry qualifications ni sawa Kwa shule zote regardless of being private or government

Kusoma advance ndiyo Kiingereza Gani hicho?
Uliza mwenye point 28 anaruhusiwa kusoma/kuchaguliwa kujiunga na advanced level (A Level) (or High School.)

All in all, google utapata Kila kitu

General eligibility criteria for form five selection 2023

The eligibility criteria for form five selection 2023 in Tanzania typically include the following:

Students must have a Division I to III from the Form four certificate of secondary education examination.

Students must have balanced combination of subjects such as HGL, PCB, EGM, CBG, HKL,PCM and others.

Passing at least three (3) subjects which make a complete recognized combination at ‘Credit’ level, in non-Religious subjects on the NECTA form four examination
 
Achana na A"level anagalia masomo yako uliyofaulu vizuri tafuta Diploma yako safi mkuu
 
Huwa tunatazama je, ana credit ktk masomo yake ya combination? Mfano HKL apate HISTORY C,KISWAHILI C NA LANGUAGE C (minimum) , ndio atakuwa na sifa, Kama Hana hizo maana yake Hana sifa.

Lakini, anaweza kusoma ,huku ana reset (ambapo kutoboa Ni ngumu Sana)

Naomba nikuulize swali, mchanganuo wa maksi kimasomo upoje?
 
Asante ila iko clear japo ngeri ya kuombea maji😩
Kiingereza kizuri ni muhimu, usiwe kama ndalichako anamwambia mkandarasi kuwa I will put you inside....yaani nitakuweka ndani anafanya literal translation from kiswahili to english
 
Ndio mchawi uwe na credit 3 tu awaangalii eti una dvn 4 Hila hzo credit 3 kama hazina masomo angalau mawili kwenye comb yako utatakiwa kufanya mtihani wako wa kidato Cha SITA kama Private candidate. Na hvo hvo shule za serikali autachaguliwa Hila private sawa inakubalika
 
Back
Top Bottom