kwanini unadhani uwezekano wa kwenda mwezini haupo? hebu leta hivyo vifungu vya dini yako tujisomee wenyeweKaka
Ukweli ni kwamba hakuna mtu aliyewahi kwenda mwezini,na mimi sikuhitaji sayansi inionyeshe kwamba ni kweli kwamba mtu hakwenda mwezino,bali mafundisho ya dini yangu yalinionyesha kutowezekana kwa binadamu kwenda mwezini..
kutakuwa na kitu cha kuambatanishwa kwenye soli kilicho acha alama hizo kama ambavyo hilo vazi hapo kwenye mikono lazima paunganishwe na kipande kingine pindi mtu avaapo hebu cheki picha hiiWenyewe wanasema zaidi hapoView attachment 817934
Hizo chuki zao tu kisa Neil Armstrong alibadili dini na kuwa muislamu.Wenyewe wanasema zaidi hapoView attachment 817934
je ni kwasababu hatuna technology ya kufika huko au?The moon landing was a lie. Humans have never been to the moon. Wamarekani walitengeneza movie tu, bahati mbaya dunia ikaamini!
lakin nchi zenye reputation kubwa kwe maswala ya anga kama russia hawajawahi dispute anything kuhusu moon landing wewe unasimamia wapi unaposema kuwa ni lie? toa sababu mkuu......vipi kuhusu international space stations(ISS) na sattelites zngne zlrudhwazo kila siku ni uongo? wanafaidika nini kutumia matrilioni ya pesa ili tu kudanganya mkuu tujuzaneThe moon landing was a lie. Humans have never been to the moon. Wamarekani walitengeneza movie tu, bahati mbaya dunia ikaamini!
dah wanadai vitabu vya dini yao vimesema kuwa watu hawatofika kwenye mwezi, hio ndio sababu inayomfanya asiamin kawa watu walifika kwenye mwezi.....kaazi kwelikweli hapo, ndio yaleyale ya jua kuzama kwe matope kuna mdau alileta uzi hapaje ni kwasababu hatuna technology ya kufika huko au?
Contradictions zipo nyingi sana juu ya moon landing, mojawapo nikutakuwa na kitu cha kuambatanishwa kwenye soli kilicho acha alama hizo kama ambavyo hilo vazi hapo kwenye mikono lazima paunganishwe na kipande kingine pindi mtu avaapo hebu cheki picha hii
View attachment 817960
contradiction kubwa ni kuhusu bendela wanasema huko kuna upepo wa kuifanya ipepee kama hivyo? hebu tizama picha hapa chini
View attachment 817974
Pia ukiangalia kwenye picha hii wanasema kwamba eneo ambalo amesimama ukiangalia kwa nyuma ni mita chache tu eneo linaonekana kama limefika ukingoni na ukiangalia kutoka kwenye reflection ya helment yake utaona kwa mbele pia ni mita chache tu eneo kama linaenda ukingoni, je surface of the moon ni ndogo kiasi hicho?Hizo chuki zao tu kisa Neil Armstrong alibadili dini na kuwa muislamu.
Nakwambiaje hizo chuki za Wamarekani kisa jamaa aliamua kuwa muislamu.Pia ukiangalia kwenye picha hii wanasema kwamba eneo ambalo amesimama ukiangalia kwa nyuma ni mita chache tu eneo linaonekana kama limefika ukingoni na ukiangalia kutoka kwenye reflection ya helment yake utaona kwa mbele pia ni mita chache tu eneo kama linaenda ukingoni, je surface of the moon ni ndogo kiasi hicho?View attachment 818026View attachment 818028
Kumbuka huyo Neil Amstrong ni mmarekani na serikali yao ilitumia kiasi kikubwa sana cha fedha (iwe kweli au uongo lakini bajeti ipo indicated)kwa ajili ya tukio hilo so sio rahisi wao wenyewe kutoa taarifa kama hizo kumchafua kisa kabadilika na kuwa muislamu kwa sababu moon landing iliwapelekea heshima sana katika nyanja ya teknolojia. Kumchafua Amstrong ni kuchafua taifa zima la marekani so wasingejichafua wenyeweNakwambiaje hizo chuki za Wamarekani kisa jamaa aliamua kuwa muislamu.
Unaelewa unachokisimamia?Kumbuka huyo Neil Amstrong ni mmarekani na serikali yao ilitumia kiasi kikubwa sana cha fedha kwa ajili ya tukio hilo so sio rahisi wao wenyewe kutoa taarifa kama hizo kumchafua kisa kabadilika na kuwa muislamu kwa sababu moon landing iliwapelekea heshima sana katika nyanja ya teknolojia. Kumchafua Amstrong ni kuchafua taifa zima la marekani so wasingejichafua wenyewe
Sababu moja wapo inayosemekana ni ukanda wa high radiation rays ujulikanao kama Van Allen Radiation Belt, wanasema hakuna chombo chochote wala teknolojia mpaka sasa iliyofanikiwa kutengeneza chombo kitakachoweza kuwithstands miale hiyo. Hivyo hata apollo 11 isingeweza kupita hapo kuelekea mwezini. Ukipata wasaa tafuta kwa undani ukanda huo wa mialekwanini unadhani uwezekano wa kwenda mwezini haupo? hebu leta hivyo vifungu vya dini yako tujisomee wenyewe
je sababu ni kuwa huko mwezini ni mbali au sababu hasa ni ipi?
Wapi hujaelewa maana naona unalazimisha kuweka dini kwenye jambo ambalo hata halijitaji udini. Mimi nasimamia kwamba safari ya kwenda mwezini ni fake ila sio kwa sababu ya Amstrong kubadili dini na kuwa muislamu.Unaelewa unachokisimamia?
Jiulize nani aliyesambaza kwamba hiyo safari ni feki. Jiulize kwa nini jamaa aliposilimu alikuwa akiishi maisha ya kujificha ficha.Wapi hujaelewa maana naona unalazimisha kuweka dini kwenye jambo ambalo hata halijitaji udini. Mimi nasimamia kwamba safari ya kwenda mwezini ni fake ila sio kwa sababu ya Amstrong kubadili dini na kuwa muislamu.
kwanini unadhani uwezekano wa kwenda mwezini haupo? hebu leta hivyo vifungu vya dini yako tujisomee wenyewe
je sababu ni kuwa huko mwezini ni mbali au sababu hasa ni ipi?
Sawa kabisaSio kweli,baada ya Apollo 11 kulikuwepo na misheni nyingine za Apollo ambazo watu walifika mwezini,Apollo missions ziliendelea mpaka 1970s
lakin nchi zenye reputation kubwa kwe maswala ya anga kama russia hawajawahi dispute anything kuhusu moon landing wewe unasimamia wapi unaposema kuwa ni lie? toa sababu mkuu......vipi kuhusu international space stations(ISS) na sattelites zngne zlrudhwazo kila siku ni uongo? wanafaidika nini kutumia matrilioni ya pesa ili tu kudanganya mkuu tujuzane
Ukijaribu kupitia vyanzo mbali mbali vya wailsamu wenyewe wamekanusha kwamba Armstrong hakubadili dini na kama alibadili hakuna reliable source inayoonyesha kwamba alibadili dini. Wenyewe wanasema ni fabricated stories to make the religion famous. Zaidi soma hapaJiulize nani aliyesambaza kwamba hiyo safari ni feki. Jiulize kwa nini jamaa aliposilimu alikuwa akiishi maisha ya kujificha ficha.