Je, Mwezi ni Chombo kilichowekwa na Aliens kutupeleleza? Mbona ni miaka 50 tangu USA mwaka 1969?

Kwann unakubaliana na uongo wa kiasi hiki?,kweli usiku totoro unaoonekana hapo na anga la mwez liwe halina hata nyota moja inayong'aa? Mbali na hivyo hi ni mwanga upi uliotumika kuwamulika hapo maana kama jua inamaana uo mwanga ungechukua umbali mrefu kwa maana seem hiyo uyo mtu aliposimama panaonekana ni tambalale yenye changa jingi sasa inakuwaje kama kamulikwa na tochi hivi na uo mwanga kuchukua distance ndg ya uangavu,VINGINE TUSIWE TUNABEBA TUVIACHE BWANAA!
 
Ndomana walikaa kimya walishajua walibugi.
 
Who is allah???
 
Hakuna mwanadamu amewahi kwenda mwezini, uongo tu wawa zungu kujifanya wana uwezo sana.
Ni bora kumuamini nani? Wewe na wenzako mnaojikusanya nchi nzima kusheherekea mapokezi ya kununua dreamliner, au wanaozingeneza hizo dreamliner na wala hawafanyi sherehe ya kitaifa?!!
 

Shangaa na wewe! Eti ni artificial basi watuambie huo mwezi ulitengenezwa lini na akina nani waliitengeneza.
 
jana aliens walikuwa wana upgrade system zao kwenye hicho chombo chao mwezi, hivyo kupelekea kuzima baadhi ya servers na hivyo tukakosa acces ya mwanga hapa duniani
 
ahhahaha kubitingita kwenye ombwe huku unangiri ni hatari
 
Je, mbona umma wa Marekani umekuwa ukidadisi sana juu ya tukio la Roswell mwaka 1947, pamoja na kuwepo nchini Marekani kwa eneo la siri Area 51 linalodaiwa kufanya uchunguzi wa viumbe hao?
Waislamu wanatambua kuwa majini ni viumbe kama ilivyo binadamu na kwamba viliumbwa na Mungu licha ya kwamba hawaonekani na kwamba kuna majini wazuri na majini wabaya. Je, ulishawahi kujiuliza hayo majini yanaishi wapi?
Yes, kwa wakristo, majini ni wafuasi wa shetani waliotupwa duniani but they are there. Sasa ni wapi waliko?
 
Inaelezwa kuwa, wakati wakiwa duniani, Annunaki waliotoka kwenye Sayari ya Nibiru, waliweza kuishi kwa zaidi ya miaka laki tatu (300,000) na walikuwa wakienda Mara kwa mara kwenye Mwezi kufanya uchunguzi wa masuala mbalimbali.

 
Last edited:
Kuna moja ngumu kumeza..binadam tumetengenezwa na tuko katika majaribio....
 
Logical deduction
 
Alliens are spying our drimu laina mkuu [emoji23] [emoji23]
 
Kwani mwezi ni gimba moja tu ulimwengu mzima? Mbona tunaambiwa dunia ina miezi 12, hii idadi maana yake nini??? Sayari zingine tunaambiwa zina miezi 9, n.k. ufafanuzi hapo...me nafikiri miezi ni magimba mengi tu kama zilivyo nyota au sayari
Mwalimu wako alyekufundsha geography ni kilaza sijawah ona ... Au wewe msahaulifu ... Miez kumi na mbili mkuu daah
 
Hivi mkuu we ni mtaalamu wa mambo gani naona kama wewe ni lulu makin sana
 
una sababu za kubackup claim yako mkuu?
kama wazungu wenyewe kwa wenyewe tu huko ughaibuni wanabishana kuhusu suala la akina amstrong kufika mwezini, ni vipi wewe mswahili mwenzetu unakubari kirahisi namna hii?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…