Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Kwa heshima na taadhima naomba iwapo itakupendeza nikuite mpumbavu na mtu mmoja wa JF ataseme ameen.kwa maana unapendeza sana ukiwa mpumbavu kuliko ukiwa timamu.
Ameen!! Hilo jina alilo adopt ndiyo limempa hiyo sifa.
 
Wewe Mzee kuuza nchi unakujua aliyeuza nchi ni chama kipi k
Duh...facing a different animal..idiot..why shouldn't you first ask your dad and mom...tell them..dad you are idiot...mom...idiot...then come back here and tell us how they responded...
Wewe Lemutu ficha aibu
 
kwani huyo popoma mwenzako aliyeenda huko ubarozini amefanikiwa kupewa nini kitakachomsaidia kwenye ushindi?????
 
degree za kununua hivo mtu ni waziri eti utapata muda wa kusoma PHD tusishangae sana kuona mtu kaandika project kwa kingereza miaka 4-5 halafu hawezi eti hata kuongee na balozi au kufanya hata mahojiano😂. Ukweli ni kwamba hizi elimu ni kama wamepewa ukawaulize wameandika vitabu vingapi! Sasa PHD unapata ya nini kama hiwezi hata kuchapicha chochote. Lini tumesikia waziri kanyimwa PHD pale bongo!
 
Aibu kubwa asee bora atembee na wakalimani, Jana kwenye hafla ya jioni na raisi wa Malawi alitema yai bovu utadhani mwanafunzi wa fm1,
Hii lugha muhimu sana hasa katika medani za kimataifa sijui Tanzania tulikosea wapi,
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Huoni kuwa warusi wamejifungia ndani hawataki kutoka nje? hata wachina wametoka nje juzi baada ya hali kuwa mbaya na bado wanapata taabu sana kwa kukosa lugha ya mawasiliano ya kidunia.Mfano leo hauwezi kujifunza kichina au kijerumani au kiratino ukasema utatamba duniani sahau hilo.
 
Hiyo msg sio strong kwa ccm ?
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Ni mind set za kikoloni izo
Tanzania tuna waza kukuza lugha yetu kuna watumwa wa fikra wanawaza kuendelea kukuza lugha zao
 
Kwani hiyo barabara inajengwa kwa mikataba ya lugha ghani? ni pesa zako na baba yako hujenga barabara?
Kisaikolojia unaonekana una maisha magumu una stress sanaaaaa ndo mana hata kujibu hoja huwezi una panic
 
Watu kama nyie ndo mnasababisha tunadharauliwa na jirani zetu. Hadi leo unahusudu lugha ya mkoloni. Hivi ukiongea kiingereza ndo unashiba au fedha zinajaa mfuko?. Umaskini wa fikra ni mbaya sana.
Ili isiwe aibu kwa watz ni vyema lugha ya kiingereza ikaondolewa kwenye katiba kuwa ni lugha rasmi, unawekaje kuweka lugha kwenye katiba ambayo watu hawawezi kuzungumza?
 
Hii umetumia tafti gani ya mwaka gani
 
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Umenena vema. Wasiojitambua hujitoa ufahamu na kumkiri mtu anayeongea kiingereza kuwa ni wa maana sana kuliko hata mzazi wake asiyejua Kiingereza.
 
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Unabahati sana mwenzetu kiswahili kimekujengea flaiova ya Ubungo! Mkiambiwa someni mnatoroka, Wachina hao wamebadili lugha ili wafanye biashara, lugha pia ni fulsa ya biashara unaweza kukuweka Paris, New York na London ukiwa mwalimu wa lugha au mkalimani.
 
Kiingereza achieni wakenya tu.......bongo huyo balozi atabonga kiswahili tu kama hajui aende kwa ras tembo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…