Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Je, na Wagombea wengine wa 'Urais' nchini Tanzania nao watakuwa na 'Confidence' kubwa ya Kuongea Kiingereza na Balozi wa US kama alivyoweza Lissu?

Kwa heshima na taadhima naomba iwapo itakupendeza nikuite mpumbavu na mtu mmoja wa JF ataseme ameen.kwa maana unapendeza sana ukiwa mpumbavu kuliko ukiwa timamu.
Ameen!! Hilo jina alilo adopt ndiyo limempa hiyo sifa.
 
Shida ni wewe na wenzio mnaoleta hoja za lugha Kama silaha...shida ni nyie pia mnaodhani huyo mliomtaja hajui English..shida ni nyie wenye mawazo mfilisi mnaotupia Kila aina ya lawama kwa CCM...shida ni nyie mliokata tamaa na msioridhika kwa chochote...shida ni nyie ambao mko tayari kuiuza nchi...nyie iko kwenu mnaoteseka na ushindi wa CCM was muda na hamna mikakati ya kuiondoa madarakani isipokuwa kwa mikakati ya kwamba Fulani hajui kuzungumza English.
Wewe Mzee kuuza nchi unakujua aliyeuza nchi ni chama kipi k
Duh...facing a different animal..idiot..why shouldn't you first ask your dad and mom...tell them..dad you are idiot...mom...idiot...then come back here and tell us how they responded...
Wewe Lemutu ficha aibu
 
kwani huyo popoma mwenzako aliyeenda huko ubarozini amefanikiwa kupewa nini kitakachomsaidia kwenye ushindi?????
 
Kuna 'Mgombea' Mmoja hivi (bahati mbaya Jina lake limenitoka ghafla tu) nami natamani kweli kweli akishamaliza tu Ratiba yake ya Kugawa 'Kopi' za 'Vinyago' vyenye Mbuga zetu za Wanyama kwa Wageni wake Waalikwa basi nae akatishe zake aende Kupiga 'Stori' mbili tatu hivi na Balozi wa Marekani kama ambavyo leo 'Mgombea' Tundu Lissu amefanya.

Na huyu 'Mgombea' ambaye natamani nae akafanye hayo 'Mazungumzo' na Balozi huyo basi aruhusu 'Wanahabari' wote wamuweke 'Mubashara' kabisa ili Wananchi tumsikie nae akitema 'Ung'eng'e' wake ambao utamzidi alionao Tundu Lissu.

Na inasemekana kuwa huyu 'Mgombea' Yeye ndiyo 'Kihistoria' ameanza Kutangulia kwenda Ulaya mno hasa hasa Ujerumani kuliko Mwenzake Lissu.
degree za kununua hivo mtu ni waziri eti utapata muda wa kusoma PHD tusishangae sana kuona mtu kaandika project kwa kingereza miaka 4-5 halafu hawezi eti hata kuongee na balozi au kufanya hata mahojiano😂. Ukweli ni kwamba hizi elimu ni kama wamepewa ukawaulize wameandika vitabu vingapi! Sasa PHD unapata ya nini kama hiwezi hata kuchapicha chochote. Lini tumesikia waziri kanyimwa PHD pale bongo!
 
Hajui. Nimeshamsikia anazungumza na siyo mara moja. Kila neno kwake anaongeza herufi ya wingi (herufi s) hata kama halihitaji wingi. na zaidi kuna siku alikuwa na Museveni mwandishi mmoja akauliza swali kwa kiingereza rahisi kabisa akashindwa kabisa kuelewa na kujibu mpaka Museveni akamsaidia. Hajui! Ona alivyotoa macho kama mjusi aliyebanwa kwa swali rahisi sana.
Aibu kubwa asee bora atembee na wakalimani, Jana kwenye hafla ya jioni na raisi wa Malawi alitema yai bovu utadhani mwanafunzi wa fm1,
Hii lugha muhimu sana hasa katika medani za kimataifa sijui Tanzania tulikosea wapi,
 
Shida ipo Sana hasa nyie mnaotukuza English...unadhani Putin anazungumza English? Unadhani marais wote wanazungumza English?
Huoni kuwa warusi wamejifungia ndani hawataki kutoka nje? hata wachina wametoka nje juzi baada ya hali kuwa mbaya na bado wanapata taabu sana kwa kukosa lugha ya mawasiliano ya kidunia.Mfano leo hauwezi kujifunza kichina au kijerumani au kiratino ukasema utatamba duniani sahau hilo.
 
Mleta mada mjinga Mabalozi wote wenye vitu tunanunua kwao. Huongea kiswahili mapokezi mfano mapokezi ya Rada zilizonunuliwa na Tanzania balozi wa ufaransa alihutubia kiswahili pia tulipopokea ndege za Boeing ambayo ni kampuni ya Marekani balozi alihutubia kiswahili Chadema na Lisu walipinga serikali isinunue ndege kwao Yaani wakose soko na Zitto alifika hatua kusema ndege zilizoletwa na wamarekani mbovu usifikiri wamarekani wamesahau ndio maana balozi katamka wazi kuwa hatuna mgombea wala chama sisi marekani tunaunga mkono alipokutana na Lisu ile ni very strong message kwa Chadema na Lisu kwa ujumla waliokuwa wakipinga kampuni ya Boeing isiiuzie ndege Tanzania wakose business
Hiyo msg sio strong kwa ccm ?
 
Duh...yaani wewe kweli hujaelimika....yaani bado unafikiri kufahamu kiingereza ndiyo sifa?! Nenda mwananyamala na kinondoni utawakuta wamalawi wengi ma-houseboy na wakata michongoma wanaongea English..
Ni mind set za kikoloni izo
Tanzania tuna waza kukuza lugha yetu kuna watumwa wa fikra wanawaza kuendelea kukuza lugha zao
 
Kwani hiyo barabara inajengwa kwa mikataba ya lugha ghani? ni pesa zako na baba yako hujenga barabara?
Kisaikolojia unaonekana una maisha magumu una stress sanaaaaa ndo mana hata kujibu hoja huwezi una panic
 
Watu kama nyie ndo mnasababisha tunadharauliwa na jirani zetu. Hadi leo unahusudu lugha ya mkoloni. Hivi ukiongea kiingereza ndo unashiba au fedha zinajaa mfuko?. Umaskini wa fikra ni mbaya sana.
Ili isiwe aibu kwa watz ni vyema lugha ya kiingereza ikaondolewa kwenye katiba kuwa ni lugha rasmi, unawekaje kuweka lugha kwenye katiba ambayo watu hawawezi kuzungumza?
 
Huoni kuwa warusi wamejifungia ndani hawataki kutoka nje? hata wachina wametoka nje juzi baada ya hali kuwa mbaya na bado wanapata taabu sana kwa kukosa lugha ya mawasiliano ya kidunia.Mfano leo hauwezi kujifunza kichina au kijerumani au kiratino ukasema utatamba duniani sahau hilo.
Hii umetumia tafti gani ya mwaka gani
 
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Umenena vema. Wasiojitambua hujitoa ufahamu na kumkiri mtu anayeongea kiingereza kuwa ni wa maana sana kuliko hata mzazi wake asiyejua Kiingereza.
 
Kingereza hakijawahi kunijengea hata kilomita moja ya barabara ya lami
Unabahati sana mwenzetu kiswahili kimekujengea flaiova ya Ubungo! Mkiambiwa someni mnatoroka, Wachina hao wamebadili lugha ili wafanye biashara, lugha pia ni fulsa ya biashara unaweza kukuweka Paris, New York na London ukiwa mwalimu wa lugha au mkalimani.
 
Kiingereza achieni wakenya tu.......bongo huyo balozi atabonga kiswahili tu kama hajui aende kwa ras tembo
 
Back
Top Bottom