Je, naweza kuanza ujenzi nikiwa hivi?

Uoga wa kujenga jenga sijui unatoka wapi.

Watu wanaishi maisha duni ila ana mjumba wa milioni 95 au 120.

Ni bora kuishi kwenye nyumba ya milioni 30 ila una uhakika wa cash flow ya kueleweka.

Pesa zipo kwenye biashara tu huko kwingine utapata ya kubadili mboga na kulipa ada.
 
Yaani humu watu wanatisha sana,..fata ushauri huu mtoa mada.
 
Kujenga ishu sana ila ukiweza komaa, mi nilianza na head start kubwa lakini Bado nataabika kumalizia ila ukiamua huwez shindwa,

Muhimu kuliko vyote usisamiz bila ya hvyo ugumu unakuwa x10000 Kuna mtu nilimuamin nilichokuta nikasema ndio hapa watu wanapewa kesi za kuua na kashatumia pesa kibao kwahyo nakomaa mwenyew tu mpaka kieleweke

Yaani now narudia Karibia Kila kitu, nikifikiria tu huu ujinga napata hasira maana ni aibu
 
Jenga Jengaaa Jenga!!!
 
Shukran mkuu nimekusoma
 
Anza na msing usahau kwa muda.mkataba si ndio umeanza 2023? Ukiweka discipline unaweza kufika mbali.ila angalia usije kujinyima kula kisa kujenga.taratibu tu
 
Kwa hiyo hela uwezi Jenga nyumba yoyote hile hata msingi haitoshi labda kama unajenga chumba kimoja ila kama unaexperience na kuinvest kwenye biashara yoyote fanya hivyo ila kana huna acha iwe hakiba uku ukiweka akiba kila mwezi mpk mwakani utakuwa umeweka kiasi Cha kuanza ujenzi...

Ujenzi ni gharamaa usilete utani
 
Anza na msing usahau kwa muda.mkataba si ndio umeanza 2023? Ukiweka discipline unaweza kufika mbali.ila angalia usije kujinyima kula kisa kujenga.taratibu tu
Shukran mkuu...! Mkataba umeanza 3 nov 2022.... unaisha 3 Nov 2025
 
Sina mpango wa kuanza ujenz nikiwa na mil 3... shida yangu hii pesa 3mil niendelee kusave kwa ajil ya ujenz!... au nianze kujenga kidgo kidgo . au hii mil 3 niingize kwnye biashara na vitega uchum vingine...! Ndipo inshu ilipo!..
 
Sisi wabongo tuna akili mbuzi sana,eti mtu anamshauti mwenzake asijenge kisa tu,wahindi hawajajenga wamepanga.

Mtoa mada,hiyo hela jenga chumba kimoja then amia kama ni karibu na kazini kwako.
 
Sisi wabongo tuna akili mbuzi sana,eti mtu anamshauti mwenzake asijenge kisa tu,wahindi hawajajenga wamepanga.

Mtoa mada,hiyo hela jenga chumba kimoja then amia kama ni karibu na kazini kwako.
Shukran cheaf
 
Sisi wabongo tuna akili mbuzi sana,eti mtu anamshauti mwenzake asijenge kisa tu,wahindi hawajajenga wamepanga.

Mtoa mada,hiyo hela jenga chumba kimoja then amia kama ni karibu na kazini kwako.

Nashangaa sana mifano ya wahindi,hivi wahindi wajenge hapa Tanzania kwani ni kwao![emoji276]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…