The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kwa pesa gani?Ajenge nyumba ya biashara. Aweke wapangaji ambao ndio itakuwa source ya income
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa pesa gani?Ajenge nyumba ya biashara. Aweke wapangaji ambao ndio itakuwa source ya income
Hapana mkuu, mimi natokea TanzaniaWewe ni mhindi?
Yaani humu watu wanatisha sana,..fata ushauri huu mtoa mada.Ushauri wa watu humu wengi ni vitu havina uhalisia wowote wa maisha ya MTANZANIA wa kawaida .... mara Nyumba ni liability,mara Wahindi hawana nyumba hivi vitu vyote ni bushshit unacho takiwa kufanya jiangalie wewe kama binafsi umeplan nini katika maisha yako baadae kuwa mfanyabiashara au kuwa muajiriwa nakusuhi usifate mkumbo tu maana kama unatoka family maskini ukianguka unaweza kuwa ndio moja kwa moja huna back up yoyote nyuma.
Umri ulio kuwa nao 26yrs old hardly unayo miaka 5 tu mbele utahitaji kuwa na family yako hapo ndio maisha halisi unakuja kuyaona.
Ushauri kama unakiwanja na una hela BANK na una kazi kwa sasa nenda kaanze kujenga taratibu wacha kabisa kufikiria biashara kwa sasa concentrate na kazi yako huu ni ushauri tu.
Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
How about you unanini??Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua
Mimi nina kila kitu, elimu nimesoma mpaka mwisho, nimejenga nyumba zilizopandiana, sasa nina tafuta ufalme wa mbingu ili nikifa nikapewe mabikira saba.How about you unanini??
Jenga Jengaaa Jenga!!!Miaka yangu 26 ( me)..
1. Kiwanja ninacho 1
2. Bank nina mil 3
3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea)
3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3.
Je naweza kuchokoza ujenzi kwa sasa kwenye hicho kiwanja changu au niwaze biashara kwanza na vitega uchumi vingine?
Majukumu
1. Sina mke
2. Sina mtoto
3. Nawaboost wazazi kusomesha mdogo wangu ndio ameanza mwaka wa 1..
4. Kuhonga kwa akili
5. Kuwaboost wana & ndugu pale ninapohitajika
Watoke wapi??Mimi nina kila kitu, elimu nimesoma mpaka mwisho, nimejenga nyumba zilizopandiana, sasa nina tafuta ufalme wa mbingu ili nikifa nikapewe mabikira saba.
Shukran mkuu nimekusomaKujenga ishu sana ila ukiweza komaa, mi nilianza na head start kubwa lakini Bado nataabika kumalizia ila ukiamua huwez shindwa,
Muhimu kuliko vyote usisamiz bila ya hvyo ugumu unakuwa x10000 Kuna mtu nilimuamin nilichokuta nikasema ndio hapa watu wanapewa kesi za kuua na kashatumia pesa kibao kwahyo nakomaa mwenyew tu mpaka kieleweke
Yaani now narudia Karibia Kila kitu, nikifikiria tu huu ujinga napata hasira maana ni aibu
Anza na msing usahau kwa muda.mkataba si ndio umeanza 2023? Ukiweka discipline unaweza kufika mbali.ila angalia usije kujinyima kula kisa kujenga.taratibu tuShukran
Kwa hiyo hela uwezi Jenga nyumba yoyote hile hata msingi haitoshi labda kama unajenga chumba kimoja ila kama unaexperience na kuinvest kwenye biashara yoyote fanya hivyo ila kana huna acha iwe hakiba uku ukiweka akiba kila mwezi mpk mwakani utakuwa umeweka kiasi Cha kuanza ujenzi...Miaka yangu 26 ( me)..
1. Kiwanja ninacho 1
2. Bank nina mil 3
3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea)
3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3.
Je, naweza kuchokoza ujenzi kwa sasa kwenye hicho kiwanja changu au niwaze biashara kwanza na vitega uchumi vingine?
Majukumu
1. Sina mke
2. Sina mtoto
3. Nawaboost wazazi kusomesha mdogo wangu ndio ameanza mwaka wa 1..
4. Kuhonga kwa akili
5. Kuwaboost wana & ndugu pale ninapohitajika
Sina mpango wa kuanza ujenz nikiwa na mil 3... shida yangu hii pesa 3mil niendelee kusave kwa ajil ya ujenz!... au nianze kujenga kidgo kidgo . au hii mil 3 niingize kwnye biashara na vitega uchum vingine...! Ndipo inshu ilipo!..Kwa hiyo hela uwezi Jenga nyumba yoyote hile hata msingi haitoshi labda kama unajenga chumba kimoja ila kama unaexperience na kuinvest kwenye biashara yoyote fanya hivyo ila kana huna acha iwe hakiba uku ukiweka akiba kila mwezi mpk mwakani utakuwa umeweka kiasi Cha kuanza ujenzi...
Ujenzi ni gharamaa usilete utani
Sisi wabongo tuna akili mbuzi sana,eti mtu anamshauti mwenzake asijenge kisa tu,wahindi hawajajenga wamepanga.
Mtoa mada,hiyo hela jenga chumba kimoja then amia kama ni karibu na kazini kwako.