Kwenye ujenzi kinachofanyika ni kuzamisha hela na sio kupata hela. hiyo milioni 3 kama ni nyumba kubwa ya familia hata msingi haumalizi. Kama umedhamiria kuachana na mambo mengine yote kwanza endelea ila uwe determined kuwa kila unachopata unatupia hapo.Miaka yangu 26 ( me)..
1. Kiwanja ninacho 1
2. Bank nina mil 3
3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo ( najitemegea)
3. Nimeajiriwa kwnye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3.
?? Je naweza kuchokoza ujenzi kwa sasa kwenye icho kiwanja changu au niwaze biashara kwanza na vitega uchumi vingine..?
Majukumu
1. Sina mke
2. Sina mtoto
3. Nawaboost wazazi kusomesha mdogo wangu ndio ameanza mwaka wa 1..
4. Kuhonga kwa akili
5. Kuwaboost wana & ndugu pale ninapohitajika
Kintume na hapo kama lengo lako ni kuzalisha hela kafanye biashara, hicho kiwanja endeleza kidogo kidogo. anza kwa kutafuta ramani na taratibu za vibali. then mwaga mawe. Ukikimbilia ujenzi kichwa kichwa utalia.