Inawezekana, tena inawezekana kabisa bila shida. Fanya hivi;
Baada ya kujihakikishia kuwa hiyo siku kwa mwenza wako ni siku ya kushika ujauzito, basi baada ya tendo na akamwagia ndani:-
Kama unataka mtoto wa kiume, basi pale akishamwaga Mwanaume, mwanamke alalie ubavu wa kulia kwa muda wa dakika 15.
Kama wahitaji mtoto wa kike baada ya mwanaume kumwaga mwanamke alalie ubavu wa kushoto kwa dakika 15.
Kama unahitaji mapacha, baada ya mwanaume kumwaga mwanamke alale chali kwa muda wa dakika 15.
Hiyo ni njia simple sana, na ishafanyiwa majaribio kadhaa na waliofanikiwa kuijua na ikaleta matokeo sahihi.
Itumie nawewe then utakuja kuleta mrejesho.
Ahsante.✍️