Sasa kwani papa hanugaiki na hilo fungu la kumi?acha ushabiki wa dini za kuambukizwa wewe ndiyo kaanzie uzi wako na papa wako mkajadiliane USHOGAJI na kuusapoti.
Mtu yeyote aliye chini ya papa kwa sasa anasapoti USHOGA hivyo ni shoga wa badae.
TUSIMAMIE UKWELI:-kiongozi wa familia akiidhinisha ushoga na wanafamilia wakakaa kimya si wamekubali ushoga, siyo mashoga?
Mimi na wewe nani anapotosha?Wewe mkuu ulitaka aseme zaka ndio uelewa maana ya kumpa Mungu vilivyo vyake Mungu,mkuu mbona uko na akili mgando,btw kama wewe huna hela ya zaka ya fungu la 10 au huna injili hiyo kaa tulia kuliko kupotosha muongozo wa maandiko.
Achana na story za maandiko ya biblia kwani watu walilipwa kwa kazi ya kuandika kitabu hiki ili kuangamiza mila na desturi zote za KIAFRIKA hasa IMANI ZA KIAFRIKAMimi na wewe nani anapotosha?
unajua hata mwongozo wa fungu unalosema?
Kati yako na Mimi nani ana akili ya Mgando...?
Kwa faida ya wengine nitasema maana ya hilo fungu...Na hilo halihusiani na zaka bali linahusiana na ulipaji wa kodi...
Mafarisayo hali wakijua kuhusu sheria za kidini wakati huo Hazikuruhusu kupeleka pesa kwa watu wasio wa kidini (kulipa kodi) wakamfata yesu wakijua kwamba majibu yake yangemchonganisha na serikali..lakini alikuwa ameshawajua...
na Kiufupi halihusiani na ZAKA HATA NUKTA..
Rudia kulisoma...
Marko 12:13-17
[13]Wakatuma kwake baadhi ya Mafarisayo na Maherodi, ili wamnase kwa maneno.
[14]Hata walipofika walimwambia, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, wala hujali cheo cha mtu; kwa maana hutazami sura za watu; lakini katika kweli waifundisha njia ya Mungu. Je! Ni halali kumpa Kaisari kodi au siyo?
[15]Tumpe, tusimpe? Naye, akijua unafiki wao, akawaambia, Mbona mmenijaribu? Nileteeni dinari niione.
[16]Wakaileta. Akawaambia, Ni ya nani sanamu hii na anwani hii? Wakamwambia, Ni ya Kaisari.
[17]Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana.
Mkuu !Unaifahama story ya anania na mkewe safira unajua kwa nini walikufa?
Nishaachana nayo zamani sanaAchana na story za maandiko ya biblia kwani watu walilipwa kwa kazi ya kuandika kitabu hiki ili kuangamiza mila na desturi zote za KIAFRIKA hasa IMANI ZA KIAFRIKA
Ni MalakiFungu la kumi ni fungu la Mungu, peleka madhabahuni unapoabudia.
Kitabu cha Yoeli Mungu anasema mnaniibia kwa kutotoa zaka, leteni zaka kamili ghalani Ili kiwepo chakula nyumbani mwangu.
Misaada kwa yatima hiyo ni sadaka.
Sasa kale kaandiko kanahusu Kodi? Sio ZakaWatakupa kale ka andiko Yesu akiwachana mafarisayo ili tu kulazimisha mambo yao
Safi sana hii comment waifanyie LaminationHii ilikuwa specific kwa walawi ksb kazi waliyopewa haikuwezesha wao kufanya kazi nyingine, hakuna maagizo kama hayo kwenye agano jipya.ila wachungaji wametumia fursa hiyo kulimbikiza mali. Agano jipya: hakuna sadaka za kuteketezwa, watu waliompokea kristo ni makuhani na Yesu ndiye kuhani mkuu, wachungaji wa sasa ni waajiriwa, wafanyabiashara, wanamiliki mali ikiwemo aridhi, hivyo ni Dhabi kubwa kumpelekea mchungaji mwenye fursa hizo zote ukaacha kuwapa yatima na wenye shida.
Ila makanisa yanahubiri maadili mema na kumcha mungu zingatia hiyo tofauti na upeleke zaka kwa manufaa za kizazi chako.
tulia niwapige spana nyie wana wa walawi.
zaka yakweli niya kiislamu tuu wakiristo mnatoa ili mapadri nawachungaji wanunue v8
Niwe mkweli kabisa, binafsi nilipata shida sana kwenye swala zima la wapi nipeleke zaka zangu(sehemu ya Fungu la kumi)? Niliteseka sana kwa hilo kwa kipindi kirefu sana, ikabidi nichembe maandiko kuanzia mambo ya walawi na historia ya zaka kwa ujumla, nikafanya utafiti usiokuwa na kikomo kwa makanisa yote tunapotoa zaka zetu!
Nilichoshangaa zaidi na kuelewa mahali tunapopeleka zaka zetu kwenye karne hii ya 21 sio sawa na ile karne kabda ya Yesu kuzaliwa dunia,
Namna na matumizi na difa za wapokeaji zimebadilika sana, na kabila la walawi halipo tena kipindi hiki,
Sasa shida ikawa lazima kutoa lkn swali unatolea wapi!?
Nikajifunza na kupata aman zaidi baada ya kusoma kwenye sheria za Torah za kiyahudi namna yq kutoa zaka kwa njia ya charity kwa wahitaji, kwa sasa natoa kwa watoto yatima, wajana, na wahitaji pamoja na wageni wenye uhitaji na nina aman na hilo sana, so zaka kwa kipindi hiki haipaswi kwenda makanisani hata kidogo, kwa maana hayana sifa za kuzipokea kwa namana yyte
Hata ukisoma kitabu cha agano jipya swala la zaka na matoleo ya kanisani hayajafungana kias hicho kama agano la kale, na hata asil ya makanisa ya sasa kinachotakiwa ni sadaka kwa ajil ya huduma na sio zaka maana hapaswi kula hiyo zaka mchungaji wako maana hana sifa za kuwa mlawi
Exactly mkuu. Paulo na Petro wameandika mengi sana na mengi yameandikwa kuwahusu...na hakuna mahali popote pale walirekodiwa wakiagiza kupokea fungu la kumi..Waelekeze mkuu waambie hata kina paulo,petro na wengine hawakuwahi kuwa makuhani na hawajawahi kuomba fungu la kumi imekuaje wao waombe
Acha Kupotosha wewe. Anania na Safira haikuwa ishu ya Zaka. Ilikuwa ni just sadaka ya kawaida na Ahadi/Nadhiri.Anania na safira walikufa sababu walimdanganya Mungu kwenye zaka...waliuza shamba alafu wakatoa zaka ambayo sio kamili mmoja alifia madhabahuni mwingine alifia mlangoni....Kwa wewe mkristo haijalishi uko dheheb gani kutotoa zaka ni kumwibia Mungu na bible inasema usiibe....mwenye masikio na asikie na ashupazaye shingo itavunjika
Yeah. Lazima litolewe kwenye madhabahu (kanisani).Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Malaki inasema Zaka ipelekwe kanisani? Hebu weka hilo andiko hapa. Mbona mnakuwa waongo hivyo?Duuu mjadala mtamu kweli, mtazamo wangu Mimi Ni huu kulingana na kumbukumbu la torati 12:5-17 inaelekeza zaka itolewe mahali atakapopachagua Bwana, kwa mfano mlawi, yatima, mjane, mgeni na Malaki 3:10 inaelekeza ghalani au kwenye nyumba ya Mungu au kanisani. Sasa utajuaje upeleke wapi? Ni lazima umpe Mungu kwanza ( yani unaiombea kwanza) na Kisha umuulize Mungu uipeleke wapi kwa wakati huo! Mfano Ibrahimu aliwahi kumpa Melkizedeki mfalme wa Salemu funhu la kumi, je alijuaje kuwa ampe, jibu ni kuwa aliambiwa na Mungu.
Kimbembe sasa kinakuja hapa Mungu akikujibu utajua? Asipokujibu pia utajua? Ili utoe zaka kikamilifu ni lazima uwe unaukaribu mno na Mungu, Ahsante.
Context ya hilo andiko ni ipi?Kristo alimaanisha nini kusema mpeni Mungu vyake Mungu na mpeni Kaisari vyake kaisari,je wafuasi wa kristo wanajifunza nini katika hilo andiko. ?
Kanisa langu kama yalivyo makanisa mengi YANAKOSEA katika hilo.Kwahiyo kanisani kwenu hampeleki fungu la 10 wala sadaka?[emoji28][emoji28] kanisa lipi hilo.
Mchungaji anachunga kondoo. Sio zaidi ya hapo. Ni mchungi wa kondoo wa Yesu.Tofauti ya mchungaji na kuhani ni ipi?