MIRA01
JF-Expert Member
- Sep 18, 2023
- 319
- 695
Tunapeleka sadaka ya utume pekeeKwahiyo kanisani hampeleki kitu ili utume na injili ufe si ndio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunapeleka sadaka ya utume pekeeKwahiyo kanisani hampeleki kitu ili utume na injili ufe si ndio?
Peleka Kanisani......ila hakikisha umeiweka madhabahun ww mwenyewe na Mungu ataipokea na kuyanyosha mapito yako....!!! Watu wamekushaur upeleke kwa yatima lakin nakushaur tenga fedha nyngne ndio uende ukawape wahitajiJe, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Ni wapi Mungu amekuagiza upeleke fungu la kumi kanisani?Peleka Kanisani......ila hakikisha umeiweka madhabahun ww mwenyewe na Mungu ataipokea na kuyanyosha mapito yako....!!! Watu wamekushaur upeleke kwa yatima lakin nakushaur tenga fedha nyngne ndio uende ukawape wahitaji
Watu wengi sana wasasa na wazamani .Nani unamjua ww kabarikiwa kwa kutoa zaka?
Wachungaji wajanja sana, wanajua sisi hatupendi kujisomea wanatumia nafasi hiyo kujinufaisha.Kwa mjibu wa Biblia nyakati zile Wajane na Yatima, walikuwa na sehemu ya Fungu la 10 siyo Walawi tu,
(Kumbu14:28-29)
(Kumbu.26:14-15)
Lakini Nyakati hizi kwa sababu Wachungaji wanachuja maandiko ili kujinufaisha, huwa hawawakumbuki Wajane na Yatima kama maandiko yanavyosema!
Mkuu yalikuwepo Maelekezo! Soma maandiko haya,Kwenye agano la kale fungu la kumi maelekezo yake linapaswa lipelekwe hekaluni hakuna maelekezo tofauti na hayo kama unayo leta kifungu cha andiko.
Hicho chakula hemani mwake anakula nani....!? Dini iliyosafi.....!!Fungu la kumi ni fungu la Mungu, peleka madhabahuni unapoabudia.
Kitabu cha Yoeli Mungu anasema mnaniibia kwa kutotoa zaka, leteni zaka kamili ghalani Ili kiwepo chakula nyumbani mwangu.
Misaada kwa yatima hiyo ni sadaka.
Hao huku kwetu tunawapata wapi na tunawajuaje!?Kama huwelewi maandiko omba uelekezwe,fungu la 10 lilitolewa maalumu kwa wana walawi waliokua ni makuhani na waangalizi wa hekalu,ambao hata katika urithi wa ardhi hawakupewa,hivyo ili waishi na kuendelea kuhudumia hekalu fungu la 10 lilipelekwa hekaluni
Wamebarikiwa hata isiwepo nafasi?hii kauli unaielewa kweli?Watu wengi sana wasasa na wazamani .
Wasasa ni watu wa karibu .
Wazamani abraham, Musa ,Yakobo,Daudi,Sulemani ,Abeli ndii mifano hai
Hilo fungu la 10 kunywa bia ww, pelekea wahitaji, acha kuwapa wachungaji waendelee kutoka vitambiJe, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Sio kila kitu mpaka muhusianishe na ukoloni ili ndo watu wawaone mnaongea vya maana sana jamani. Sasa wewe mwafrika unatoa hela gani kanisani kusema unawafaidisha wazungu. Hivi unajua ni kiasi gani wazungu wamechangia kwenye hayo makanisa mpaka kufika hapo yalipo. Labda useme waafrica baadhi wanajinufaisha na sadaka ntakuelewa ila sio eti ela za sadaka africa nd zimefaidisha wazungu. Wazungu wameiba madini ni kweli na vitu vingine vya thamani ila usisema sadaka sijui kwanza mwafrica hela alitoa wapi kipindi cha ukoloni.Ukishataja tu kitabu cha yoeli ni kutukuza ujinga na upumbavu.
Hakuna fungu la kumi la mali uliyochuma bali ni UNYONYAJI kama unyonyaji mwingine walioanzisha wakoloni ili kujiongezea mwanya wa kuwanyonya WAAFRIKA.
BIBLIA ni kitabu cha mwongozo wa UKOLONI kilichosimamia kuwaibia WAAFRIKA.
Pesa/mali zilizopokelewa kama fungu la 10 zilitumika pia kuendeleza ukoloni kupitia makanisani na nyingine kupelekwa ulaya.
Swali langu ni kitaka kujua hao wachungaji na maaskofu wanaojilimbikizia mali wanazipata wapi na je wanatoa fungu la 10 lao wapi?
WAAFRIKA acheni ujinga toa kwa WAHITAJI wajane,maskini,wagojwa,wagane,machokolaa,wafungwa,wazee,nk utapata baraka sana
MUNGU hawezi kumpa MUHITAJI WAKE pesa/mali halafu amtoze kodi/riba ,HAKUNA kitu kama hicho kwani anatambua hali zao jawana kitu hivyo hawezi kuchukua chochote kutoka ktk alichowabari.
Naimani wewe ni mmoja wa vibaka mnaowaibia WAHITAJI kwa kigezo cha SADAKA,ZAKA na FUNGU la 10 acheni hiyo tabia na fanyeni kazi mjipatie riziki kihalali siyo kuwaibia wahitaji.
MUNGU wa kweli alishabariki kila kazi ya mikono yetu hivyo haitaji chochote kutoka kwetu zaidi ya sisi kumuomba na yeye kutupatia.
Watu weupe wamekuwa wakitoa misaada sana KWA WAHITAJI hasa kipindi cha majanga au magonjwa kuliko WAAFRIKA,kwanini wasitoe fungu la 10?
Ni wakati sasa fungu la 10,sadaka na zaka zirudi kwa WAHITAJI siyo kuingia kwenye matumbo ya wachungaji na maaskofu wanao jimilikisha mali za MASKINI kwa visingizio na familia zao.
Sasa mbona taasisi za kizungu ndo zinaendesha makanisa ya africa aisee hii story umetoa wapi? Kwahiyo unadhani hii misaada ya kikanisa inaletwa africa hela zinakuwa zimetoka wapi?Ni sawa kwani wa zamani walikuwa WAZUNGU na wa sasa ni WAAFRIKA.
Hakuna raia mzungu aliyetoa zaka kwa makuhani,manabii,nk hapo zamani bali walianziasha mfumo huu Afrika ili kuwaibia kupitia ZAKA na SADAKA.
Hadi leo hakuna mzungu anatoa fungu la 10 kanisani kama yupo basi ANAPOKEA kutoka kwa waafrikana ambao bado ni wajinga.
Bill gate na wenzake wanatoa misaada kwa WAHIYAJI siyo FUNGU LA 10 kwa matapeli wa KIAFRIKA.
Ulishaona matajiri au foundation kama Bill Gate au Mask wakitoa misaada i.e.sadaka,zaka,nk makanisani?kwani wao hawataki kwenda mbinguni?
Je, fungu la kumi linaweza tolewa kwa wajane, yatima na wenye shida au ni lazima nikatoe kanisani?
Naomba hekima zenu juu ya hili.
Uzi kama huu watu aina ya mama D lazima wakuparure.
Kwa baraka za moja kwa moja!! Au zilete madhabahuni ili jioni tukazipigie nyagi na kitimoto, huku mtoto mzuri akiperuzi badoo kwenye iphone 16.