Hapo kuna kitu kimerukwa ambacho ni tafsiri ya hiyo ndoto baada ya kuota, hapo ndio inaweza kusaidia kujua kama hiyo ndoto ilikuwa inaeleza kung'atwa kweli na nyoka au huyo nyoka alitumika katika ndoto ni metaphor hivyo ndoto ilikuwa na maana tofauti na kung'atwa kweli na nyoka.Ukienda mbugani kutalii ambapo akili inajua na imeshajiwekea kwamba mazingira ya mbugani (porini) huwa kuna wanyama na wadudu hatari.
Halafu ukiwa Vacation mbugani, ukaota nyoka anakung'ata, lakini kiuhalisia hajakung'ata ni ndoto tu.
Ukaendelea kutalii mbugani hapo kwa siku kadhaa, Halafu ghafla Nyoka akakung'ata.
Utasema ndoto yako uliyoota kabla imetimia kiroho kwa mambo yajayo?
Au akili yako imesha jijenga kwamba kiuhalisia mazingira ya mbugani huwa wanaishi wadudu hatari kama nyoka ndio maana ukaota ndoto kabla ya kung'atwa?
Vipi ile ya mtu kuota fulani anakufa baada ya siku tatu anakufa kweli?au hujakutana na watu wa hivyo?Ni watu kushindwa kuelewa lugha ya ndoto na ndio maana mtu anaweza kuota ndoto mbaya akadhani ndoto hiyo inahusu tukio baya kwamba litatokea wakati ujao akawa na hofu ila kumbe hiyo ndoto wala haihusu wakati ujao, na hapo ndio wenye kupinga huku kutafsiri ndoto hujipatia point.
Unaweza kuota mtu kafa ukadhani huyo mtu yupo karibu kufa kumbe hapo imetumika metaphor wala hakukusudiwi kifo kweli cha mtu kwamba huyo mtu anakufa, kwahiyo kutoelewa lugha za ndoto ndio shida inapoanzia.
Shukran dearTukiachana na udhaifu wowote ulionao,kama unaweza kuota mambo ya yajayo yakawa kweli wewe ni mtu msafi wa roho!
Hii quote yako ni notification ya kwanza kufungua na nimecheka πBinafsi sijawahi ota kitu kikawa kweli naota ujinga ujinga tu
Aiseeee hizo ndoto zako anywaySasa Mimi naota napaa kila siku yaan nikitaka kutembea mfano nikikutana na wezi napaa au nikikutana na jambo lolote baya huwezi kunipata katika ndoto nataman maisha ya kwenye ndoto ndio yawe duniani mie ktk ndoto hakuna kitu kinachonishinda nilishawahi kuota ndoto Tanzania tunapigana na vita vya dunia watu wapo ndani hakuna anaetoka nje mji kimya wapo wanajeshi wametuvamia basi nikawa nipo peke yangu nje wanajeshi wetu wakawa wanapiga kelele bomu la nyukilia linakuja na kweli nilipoangalia juu nikawa naona kitu linakuja basi wale wanajeshi wakawa wanakimbia ovyo ovyo huwezi kuamini nilipaaa kwa nguvu hadi juu nikaenda kulikamata lile bomu la nyukilia nikapaaa nalo nikatoka nalo hadi nje ya dunia nikaenda kulitupa sayari nyekundu yaan sayari ya mars halafu nikapaaa na kurudi duniani
kiufupi mie ktk maisha ya ndoto hapa nilipofika hakuna anaenishinda sio huku duniani watu wana tunyanyasa sana
Katika ndoto naweza kupigana na majambazi 10 nikawapiga hata wakiwa navisu panga au bunduki ila huku duniani wawili sitoboi yaan huwa nikiona maadui wamenizidi nakuwa invisible halafu nawafumua kweli hadi nawamaliza ktk ndoto mie sijawahi kufeli πππAiseeee hizo ndoto zako anyway
Wanasema et ndoto nyingine zinakuja kwa mafumbo
Nje ya mada
Unasema unaitwa nani π
Sawa Iblis Bin Shetan π€£Katika ndoto naweza kupigana na majambazi 10 nikawapiga hata wakiwa navisu panga au bunduki ila huku duniani wawili sitoboi yaan huwa nikiona maadui wamenizidi nakuwa invisible halafu nawafumua kweli hadi nawamaliza ktk ndoto mie sijawahi kufeli πππ
Sema mtu wa peponi mie maana kwenye ujinga ndio kuna wengi kuna watu kila siku anaota anafukuzwa na nyoka huyo lazima aende motoni halafu siwe wengine peponi π π πSawa Iblis Bin Shetan π€£
Mara anazikwa mzima mzima π πSema mtu wa peponi mie maana kwenye ujinga ndio kuna wengi kuna watu kila siku anaota anafukuzwa na nyoka huyo lazima aende motoni halafu siwe wengine peponi π π π
Nakupa siri ukiona unashindwa kuicontrol ndoto yaan wewe kila siku majnga mara ugongwe na gari mara uzikwe mzima mara ukimbizwe na nyoka ujue wewe ni mtu wa shida duniani hata uombe vipi na ukifa motoniMara anazikwa mzima mzima π π
Sawa mkuu imeisha hiyoπ€£π€£ mie jina lako hoiNakupa siri ukiona unashindwa kuicontrol ndoto yaan wewe kila siku majnga mara ugongwe na gari mara uzikwe mzima mara ukimbizwe na nyoka ujue wewe ni mtu wa shida duniani hata uombe vipi na ukifa motoni
Ni ndoto chache hutokea kwa mfumo huo ukilinganisha na ndoto nyingi tunazoota huwa hutumika sana metaphor ndio maana wewe unaona kama ndoto unazoota ni za ujinga ujinga kwa sababu ya kushindwa kuzielewa.Vipi ile ya mtu kuota fulani anakufa baada ya siku tatu anakufa kweli?au hujakutana na watu wa hivyo?
Mkuu ushawahi kusikia kuhusu Lucid dreaming?Katika ndoto naweza kupigana na majambazi 10 nikawapiga hata wakiwa navisu panga au bunduki ila huku duniani wawili sitoboi yaan huwa nikiona maadui wamenizidi nakuwa invisible halafu nawafumua kweli hadi nawamaliza ktk ndoto mie sijawahi kufeli πππ
hapana sijawahi ni nini hiyoMkuu ushawahi kusikia kuhusu Lucid dreaming?
Ni aina ya ndoto ambazo unakuwa unatambua kuwa unaota, na unakuwa na maamuzi ya vitendo vyako unaweza kufanya lolote unalotaka kufanya au usifanye. Kwahiyo pengine mkuu unapata hizo ndoto.hapana sijawahi ni nini hiyo
kwa hiyo zinakuwa zina Faida ganiNi aina ya ndoto ambazo unakuwa unatambua kuwa unaota, na unakuwa na maamuzi ya vitendo vyako unaweza kufanya lolote unalotaka kufanya au usifanye. Kwahiyo pengine mkuu unapata hizo ndoto.
Zinafaida nyingi tu kama utakusudia kuzitumia. unaweza kuondoa changamoto ya hofu katika mambo uliyona hofu nayo maana kupitia hizo ndoto unaweza ukaikabili hofu yako, unaweza ukatumia kutumia kutatua changamoto na masuala ya ubunifu.kwa hiyo zinakuwa zina Faida gani
Thanks, naweka kambi hapa.ZirlovimovicZirkov ni huku mkuu