Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 983
ID ya kikoba ( kikundi ) inatumika na watu wengi kama choo cha ummaShukran
huu muandiko na mambo unayo andika selfika hufanani
karibu tena
ID ya kikoba ( kikundi ) inatumika na watu wengi kama choo cha ummaShukran
huu muandiko na mambo unayo andika selfika hufanani
karibu tena
OkayID ya kikoba ( kikundi ) inatumika na watu wengi kama choo cha umma
Unajua ndoto za matukio yajayo watu huziota sana tu ila shida ni kuweza kuzitafsiri ili kuona uhusiano wa hiyo ndoto na hilo tukio kwa sababu ndoto asilimia kubwa huja kimafumbo na metaphor, unaweza ukaota mtu kafa ila ujumbe wa hiyo ndoto wala haizungumzii kifo cha mtu ina tafsiri nyengine kabisa imetumika metaphor tu.Mkuu tunawezaje kutofautisha tafsiri sahihi na retrospective interpretation?
Kwenye haya maelezo bado nitaendelea tena kuuliza swali lile lile maana haujanipa jibu lake Mkuu.Unajua ndoto za matukio yajayo watu huziota sana tu ila shida ni kuweza kuzitafsiri ili kuona uhusiano wa hiyo ndoto na hilo tukio kwa sababu ndoto asilimia kubwa huja kimafumbo na metaphor, unaweza ukaota mtu kafa ila ujumbe wa hiyo ndoto wala haizungumzii kifo cha mtu ina tafsiri nyengine kabisa imetumika metaphor tu.
Kwahiyo ndio maana ni rahisi kuhusianisha alichoota mtu na tukio baada ya tukio lenyewe kutokea.
Mwache bhna😁Kwenye haya maelezo bado nitaendelea tena kuuliza swali lile lile maana haujanipa jibu lake Mkuu.
Tunawezaje kutofautisha tafsiri sahihi na retrospective interpretation?
Hahah sawa Mkuu.Mwache bhna😁
OkayHahah sawa Mkuu.
Sawa, niko available.Okay
Kaa hapo hapo hapo na ku tag sehemu right?
Hakuna unachokijua, majibu yako ni mepesi sana.Kupata ajali si jambo geni kwa akili ya mwanadamu.
Akili yako tayari inajua kwamba ajali zipo na huweza kutokea kwa yeyote muda wowote.
Kuota ndugu yako anapata ajali, hakufanyi apate ajali kweli.
Kwa hiyo Kuota ndoto na Kupata ajali ni Mutually exclusive events.
Ni matukio mawili ambayo hayawezi kutokea kwa pamoja kwa wakati mmoja.
Ndugu yako anaweza kupata ajali bila wewe kuota.
Kuota leo ndugu yako amepata ajali, halafu ipite siku, wiki, mwezi au mwaka halafu ndugu yako aje Kupata ajali kweli. Hakufanyi ndoto yako uliyoota kabla iwe ndio imetimia.
Hakuna ulichoelezea hapa.Ndoto ni mkusanyiko wa mawazo yetu.
Kuna namna fulani tunayaona mambo, tunayasikia, tunayafahamu, bila kuyapa umuhimu, halafu nawazo hayo yanaingia katika subconscious minds zetu, halafu tunayaota, halafu yanakamilika, halafu tunashangaa hili jambo nimeliota, halafu likatokea.
Kumbe liliingia mawazoni kwa kusikia, kuwaza, kuona kwa namna fulani, ambako hatukukupa umuhimu.
Ndiyo unaweza kukuta mtu anatembea, akausikia wimbo fulani redioni, bila ya mawazo yake kujua kikamilifu kuwa kausikia huo wimbo, akausikia tu kwa subconscious mind. Halafu akaanza kupiga mluzi wa huo wimbo, halafu sasa akapata nafasi ya kuusikia vizuri huo wimbo akatambua kuwa huo wimbo imekuwaje aanze kupiga mluzi wake tu, halafu hapo hapo wimbo uwe unapigwa redioni?
Kumbe hapo alianza kuusikia wimbo bila kujua kausikia (subconscious mind), akapiga mluzi wa huo wimbo kutoka subconscious mind, halafu ndiyo akausikia vizuri kutoka redioni.
Asipoelewa hapo anaweza kufikiri ana nguvu za kutabiri wimbo utakaopigwa redioni.
Hivyo hivyo, mfano una mzee wako yuko mbali anaumwa, familia inamuongelea sana, unaweza kufikiri huyu mzee hana muda mrefu wa kuishi, ukaota ndoto amefariki, lakini hata usiikumbuke ile ndoto.
Ila, ukiota ndoto kafariki, halafu kesho yake akafariki kweli, utaikumbuka tu ile ndoto.
Hapana,Hakuna ulichoelezea hapa.
Si vyema kupinga kila kitu, kuna ndoto niliota sitokaa niisahau maisha. Ni kama upo LIVE.Hapana,
Wewe ndiyo hujaelezea sijaelezea nini, kwa nini, na ili niwe nimeelezea ilitakiwa nielezee nini.
Wewe ndiye hakuna ulichoelezea kuhusu mimi kutoelezea.
Kwanza sijapinga kila kitu.Si vyema kupinga kila kitu, kuna ndoto niliota sitokaa niisahau maisha. Ni kama upo LIVE.
Ungelimshukuru tu wife, maana ulikokuwa unapelekwa ulikuwa ujazishwe mifomu hewa kisha upigishwe foleni ndefu yenye kuchokesha hadi uhisi kwenda msalani kujisaidia.Niliota napokea milioni miatano sasa ile nafika benki niweke kwenye account ili na jaza form tu.Nashituliwa na mke kuna vibaka wameruka.Nilikasilika
Unachojua wewe kilete tukichambue.Hakuna unachokijua,
Ya kwako mazito, yalete hapa tuyaone!majibu yako ni mepesi sana.
Kwenye mijadala ya aina hii usipende kutumia strawman argument.Si vyema kupinga kila kitu,
Tafsiri sahihi ya ndoto huwa ina mlolongo wake kunaangaliwa vitu vingi ndio maana nikakueleza hayo, ni tofauti na Retrospective ambapo inarukia kulinganisha tu tukio lililotokea na lenye kulingana na ndoto.Kwenye haya maelezo bado nitaendelea tena kuuliza swali lile lile maana haujanipa jibu lake Mkuu.
Tunawezaje kutofautisha tafsiri sahihi na retrospective interpretation?
Sawa Mkuu.Tafsiri sahihi ya ndoto huwa ina mlolongo wake kunaangaliwa vitu vingi ndio maana nikakueleza hayo, ni tofauti na Retrospective ambapo inarukia kulinganisha tu tukio lililotokea na lenye kulingana na ndoto.
Si suala la kukosa imani tu maana kuna watu wana elimu labda kuhusu dini fulani ila yeye sio muumini wa hiyo dini, sasa humu watu hawana idea kabisa na anachokipinga.Kujenga hoja na mtu ambae hana imani hizo za kiroho mtakesha maana wewe na yeye ni mbingu na ardhi
Ni watu kushindwa kuelewa lugha ya ndoto na ndio maana mtu anaweza kuota ndoto mbaya akadhani ndoto hiyo inahusu tukio baya kwamba litatokea wakati ujao akawa na hofu ila kumbe hiyo ndoto wala haihusu wakati ujao, na hapo ndio wenye kupinga huku kutafsiri ndoto hujipatia point.Hapo kwenye hisia ya kupata tatizo.. ujue Hilo tatizo lipo...
Limeacha kutokea labda ulibadili mtazamo au jambo flani au ukawasiliana na mtu anayeusika na tatizo akabadili kitu flani..
Lakini kumbuka sio Kila mtu Ubongo wake katika ndoto unauwezo huo.. ni wachache...
Hapa Jf...Kuna mtu aliwahi kuandika ameota ndege imeanguka... Ila hajui ni wapi...baada ya wiki mbili au tatu .. Precision air ilianguka Bukoba.... Watu walijiuliza sana wakakosa majibu