Je, Ndoto Zinazoonyesha Mambo Yajayo Ni Kazi ya Ubongo au Ulimwengu wa Roho?

Tunagombaniwa na nani jazia nyama
Naye awaposesha wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;"

"tena kwamba mtu yeyote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake." 666.

Huyu ndio mbaya wetu👆

Mfumo wa dunia now si unauelewa ?
Em connect dots mkuu 😂😂 , na mfumo umeshaanza kufanya kazi.
 
Aisee mambo ya mpinga kristo?

So mie mleta mada nipo kwa mfumo upi wewe unavyoona?
 
Na wale wanaoota vitu ambayo hawajawahi hata kuviona au kuvifahamu halafu baadae inatokea kweli inakuwaje?
Binadamu/Mtu kaumbwa ktk forms 3, Roho, Nafsi, Mwili wa dunia , na kila form hapo inaishi ktk ulimwengu wake.

Kwa lugha rahisi binadamu/Mtu ana Fahamu 3, 1)fahamu ya Roho inayoishi ktk ulimwengu wa Roho au dunia ya rohoni, 2)fahamu ya Nafsi inayohusu fikra/hisia/matamanio yako ya ndani yenye form inayoishi ndani ya ulimwengu wa nafsi lkn ipo ktk muunganiko na mwili wako na roho yako, 3) form ya mwili ambayo wote tunaijua inayopatikana ktk ulimwengu unaoonekana ktk macho na hisia za kimwili za milango 5 ya fahamu.

Form zote 3 zinaishi kila moja ktk ulimwengu wake lkn zina attachment moja inayoziunganisha zote wengine huia silver code yaani utando/kamba inayounganisha mwili, nafsi, na Roho ili ziweze kuwasiliana/kuleta uhai.

Kwa lugha rahisi zaidi, mwili ndie mkubwa kuundwa baada ya miez kadhaa ktk tumbo la uzazi then baadae Roho ya uhai huingia ndani ya mwili wa mtu baada kukamilika ndani ya tumbo la uzazi la mama mjamzito, baada ya Roho kuingia ktk mwili huo ndipo huunda kiumbe kipya kiitwacho Nafsi, na hii ndio mtu wa fikra/mawazo ya ndani na hisia hutoka humu.

Back to topic ni hivi, kuna ndoto za aina 3, yaani kila ndoto hupatikana ktk form yake kati ya zile3.

1). Kuna ndoto za mwili, hizi ndio haya mambo ya kawaida ambayo mtu huota baada ya kuliwaza jambo kwa muda mrefu au mambo yaliyopita kuyaota ,ndoto hizi hazinaga maana yoyote.

2). Ndoto za nafsi, hizi pia ni ndoto ambazo nafsi yako hukupa ujumbe wa mambo yaendeleayo ktk nafsi, na mara nyingi ndoto hizi huwa na utofauti na ndoto za nafsi kwani hizi uhusu fikra zako za ndani, kupata ujumbe/ndoto zinazohusu mambo in deep, mfano kuota unaimba nyimbo ambayo ktk uhalisia wa mwili huwezi kuimba, pia maongezi ya lugha ambayo ktk mwil unaijua lkn si kiundani, na mengi in deep feelings, huku ndiko ambako watu huota pia mambo ambayo hayana maana lkn wanakuwa ktk ulimwengu wa hisia kali na fikra huru, ukiliota jambo huko ni rahisi kulikumbuka sababu ya hisia zihusikazo huko.

3) Ndoto za Roho/Maono, hizi ni jumbe za Roho yako ambayo inaishi ktk ulimwengu wa roho ambako hakuna limit ya muda wala jambo lolote lile, kila kitu ktk roho kimeshapita kinajulikana mwanzo wake mpaka mwisho wake hivyo roho yako ina taarifa za matukio yote kuanzia yaliyopita, yaliyopo na yajayo, kinachofanyika ni Roho yako kudisplay matukio hayo kwenda ktk fikra za mwili wako, yaani maono ni ndoto ambayo inatafsiriwa baina yako na mwili, nafsi na roho yako kwa kukupa ujumbe wa kinachoendelea/kitakachotokea na hizi ndio ndoto za kweli ambazo ukiota lazima zitimie maana ni matukio ya kweli.

Ndoto za roho/maono huwezi kupata kiholela kuna taratibu zake na hazihusuani na hayo mambo yenu ya dini mnayodanganywa na wala hazihusuani na time traveling sijui Mambo ya meditation na upuuzi wa aina hii, wengi wetu tumeshapoteza connection ya maono kati yetu na Roho zetu kwasababu mbalimbali ikiwepo kupuuza uwezo wako, kujiattach na imani/dini za wazungu/waarabu, kujinajisi miili/nafsi zetu ndiomaana wengi hampati tena huu uwezo

Nalog off
 
👏👏👏👏👏👏👏

Mkuu usi log off rudi kwanza umalizie mkia
 
Aisee mambo ya mpinga kristo?

So mie mleta mada nipo kwa mfumo upi wewe unavyoona?
Wewe bado na hauna hio power, wewe ni kma sisi tu😂😂,
si unaona ccm wanavyokusumbua na huna cha kuwa fanya?

hapa tunazungumzia UDHIBITI WA DUNIA
KILA NYANJA.
 
CCM wanatugalagaza kifo cha mende

Noma
Niliwahi kuwa kwenye mkutano wa viongozi wengi wakubwa CHINA, akiwemo kiongozi mkubwa tu from USA, baadhi Africa.

Mambo waliyozungumza yanatisha sana.
Zile taarifa mbazopewa sijui ushirikiano mara nini, zuga tu public image,
Ila AJENDA NI MBAYA SANA.

They don’t care about us🤐
They’re puppets
They follow the orders
 
Heeh mkuu hii mbona unaongea kirahisi sana
 
Maana yake hii mada aipuuzie kwa sababu hakuna namna atathibitisha kwamba watu wanaota ndoto,watu wanavyoota huwa hayupo nao.
Umenikumbusha maneno ya Thomas Aquinas aliyesema" kama huwezi kuelewa kitu, usiseme hakipo, sema uwezo wangu wa kuelewa hicho kitu una mipaka nimeshindwa kuelewa uwepo wa hicho kitu kwa asilimia 100". Hapa alikuwa anaongea na wanaopinga uwepo wa Mungu. Kutokushindwa kuelezea kitu haimaanishi hakipo kabisa, kinaweza kisiwepo na kinaweza kuwepo ila ikawa fumbo kwa akili zetu kuelewa.
Unathibitisha vipi kwamba hiki hakipo kwa sababu ni kweli hakipo, au kipo ila umekosekana tu, uthibitisho wa kuthibitisha kipo?

Mungu mmeshindwa kuthibitisha yupo, Mnaamini tu bila uthibitisho.

Sasa kuamini kwenu Mungu yupo, HAKUFANYI awepo tu bila uthibitisho.

Lazima mtoe uthibitisho.

Unless otherwise, Hayupo.

Falsafa ya uthibitisho (Burden of proof philosophy) inamtaka anayeanza kudai kitu kipo ndio mwenye mzigo wa kutoa uthibitisho wa kitu hicho.

Na si yule anaye pinga uwepo wa kitu hicho.

In philosophy, the burden of proof rests on the person making a positive claim. Shifting this burden occurs when a claimant evades the responsibility of providing evidence for their assertion and instead demands that their opponent disprove it.
 
Exactly

Umemaliza dear Asantee sanaa🔥🔥🔥
Ukishindwa kuelewa kitu kubari kua akili yako imeishia hapo 🤝
Pia ukishindwa kuelewa kitu, Usihitimishe moja kwa moja kwamba jibu la kitu hicho ni Mungu.

Akili kushindwa kuelewa vitu fulani, Si uthibitisho na hitimisho la kwamba ni Mungu.

Tukubali kwamba akili zetu hazijui bado.

Lakini sio kusema eti ni Mungu kwa vile akili zetu zimeshindwa.
 
Sawa kaka mkubwa🫡
 
Mkuu, tunaongelea vitu ambayo huvifahamu kabisaa yaani hujawahi hata kuvisikia halafu uviote halafu viwe kweli. Mfano ,kuna mahali niliwahi kufanya kazi,boss wetu alikuwa mzee,kumbe boss wetu bibi yake yupo hai ingawa sisi tulijua kwa umri wake boss wetu hana bibi wala babu. Siku moja mfanyakazi mwenzangu akaja kunambia ameota boss kafiwa tena akamtaja kabisa kafiwa na bibi, nikamcheka nikamwambia wewe unaona huo umri bibi wa boss atakuwa hai? Yeye mwenyewe akasema ile ndoto itakuwa uongo maana boss hawezi kuwa na bibi na hajawahi kumtaja bibi yake kwenye maongezi. Pia kipindi hicho boss alikuwa hajaonana na sisi kwa muda mrefu kutokana na kubanwa na majukumu mengine kwahiyo alikuwa hajatupa update yoyote inayohusu maisha yake. Baadae tunaletewa taarifa bibi yake boss kadondoka kafariki nyumbani, watu wakaanza kushangaa kumbe bibi yake boss bado alikuwa hai? Mimi na mwenzangu tukatazamana tu tukashangaa ndoto imekuwa kweli. Scenario kama hii ndo tunajiuliza inaletwa na nini?
Kwanza kabisa hatuna njia ya kuthibitisha hii habari ilitokea kweli kama unavyosema. Ni vigumu kuhakiki mambo mengi sana.

Mfano, huo mfano wako it is not invonceivable kwamba kulikuwa na mchezo fulani unaendelea nyie hamkujua.

Pili, hata kama imetokea hivuo, tatizo la ku process mambo in the subconscious ni kwamba hata anaye process anakuwa hajui kwamba ka process. Sasa hapo utathibitishaje mtu hakusikia hizo habari bila hata yeye mwenyewr kujua kuwa kazisikia?

Kwa hivyo, mfanyakazi mwenzenu anaweza kuwa kamsikia bosi wenu anasema bibi yake anaumwa mahututi, akawa kasikia in passing bila yeye kujua kasikia, aka process hiyo information katika ndoto, akaota, akaja kuwahadithia bila kujua kuwa aliisikia kwanza, msiba ukaja kutokea kweli, akafikiri kuwa alianza kuota halafu kitu kikatokea, kumbe alikisikia, halafu akakiota, halafu kikatokea.

Mwisho kabisa, given enough time, so many strange things that sound extraordinary can happen.

Hakuna kitu kilicho nje ya kanuni za kisayansi kwa huyo mfanyakazi mwenzenu kuota hivyo, hata kama hajasikia popote. It is a matter of pure chance. Yani hata vitu ambavyo vina probability ndogo sana ya kutokea, ukivipa muda wa kutosha, vinatokea.

Tunaambiwa kuwa, kwa sababu mwili wako si pure solid, atoms za mwili wako zina nafasi, tukikupa nuda wa kutosha, unaweza kupita kutoka upande mmoja wa ukuta wa matofali ukatokea upande mwingine, bila hata kuchubuka, kwa sababu atoms zako na za ukuta zitapishana tu.

The time it would take for that to happen is probably longer than the age of the universe per the big bang theory, lakini given enough time, that will happen.

Sasa watu wanaoamini uchawi, wakiona hivyo watasema hiyo ni probability ndogo sana imetokea tu kisayansi?

Hawawezi kusema hii imetokea by chance tu. Watasema huu uchawi au Mungu.

Sisi wengi tunakimbilia kusema uchawi au Mungu hata kabla ya kuchunguza.
 
Aliota ndotoni...akasema nimeota....
Sio kuonyeshwa ni lini...
Ndiyo maana nikakuuliza, kwenye hiyo ndoto yake alionyeshwa ni lini? wapi? na ni ndege ya aina gani ambayo itapata ajali?

Yaani hiyo ndoto yake ilikuwa na informations zote au aliota tu kuwa kuna ndege itapata ajali pasipo kujua hata kuwa itatokea nchini au la?
 
Hakutaja hata jina la kampuni...
Alisema nimeota siku za karibuni Kuna balaa la ndege kuanguka ...basii ni eneo Gani hajui...Wala nchi

Jua haya matukio ni nadra..sio kama Ajali za bodaboda
 
Bado haujanielewa naona, kwa nini hizo ndoto mnazo dai kuwa na maono hazikupi precision?

Kama ni ujumbe kutoka ulimwengu asilia kwa nini hakuambiwa ndege fulani ya kampuni X, itaanguka eneo Y, kwa sababu Z?

Bila hayo maelezo hiyo ndoto inabaki kuwa na nafasi ya 90% kutokea kwa coincidence tu.
 
Back
Top Bottom