Je, Ndoto Zinazoonyesha Mambo Yajayo Ni Kazi ya Ubongo au Ulimwengu wa Roho?

Kuna point naitafuta kwako tu usijali😀
Hua nasikia issue za mapepo kwa wakristo majini kwa Muslim

Muslim husema majini ni viumbe vya mwenyezi Mungu mwenyewe
Et wameumbwa kwa moto
Na et kuna majini wema na wabaya
Kwa mjubu wa Qur'an

Kwa Kristo wao wanasema mapepo yalikua pamoja na shetani tokea enzi maana walikua kama malaika ila wakaasi wakamkosea Mungu so wakatupwa duniani

Sometimes wakristo wanaita mapepo kua ni roho chafu

Naimani sasa nimekujibu
 
Aiseee haya maswali yametoka wapi bro mbona hayaendani na mada?
Kuna point naitafuta kwako tu usijali😀
Hua nasikia issue za mapepo kwa wakristo majini kwa Muslim

Muslim husema majini ni viumbe vya mwenyezi Mungu mwenyewe
Et wameumbwa kwa moto
Na et kuna majini wema na wabaya
Kwa mjubu wa Qur'an

Kwa Kristo wao wanasema mapepo yalikua pamoja na shetani tokea enzi maana walikua kama malaika ila wakaasi wakamkosea Mungu so wakatupwa duniani

Sometimes wakristo wanaita mapepo kua ni roho chafu

Naimani sasa nimekujibu
yani nilitaka uniambie kama ulishuhudia kwa macho hayo sijui majini au mapepo yakiongea kupitia mtu .
 
Kama huwezi kusema ulidanganywa au lah, Sasa ulihakikisha vipi kwamba ni ukweli?

Maana ukweli unataka proofs zenye verification.
Mkuu, hiyo ni kusema hata haya maneno yanayoandikwa hapa tusiyaamini maana hatuna namna ya kuthibitisha kama ni uongo au ni kweli. Hata ukija unambie kitu kilichokutokea wakati uko mwenyewe sipaswi kuamini maana sina namna ya kuthibitisha kama ni ukweli au uongo. Yaani kitu chochote tusikiamini tofauti na kile tulichokiona wenyewe kwa macho yetu. Na kama kitu kimenitokea mimi mfano nimeota ndoto nikawa sielewi inanichanganya, nikikuelezea wewe hautakiwi kutilia maanani maana haukuwepo na mimi wakati naota.
 
Kuna point naitafuta kwako tu usijali😀

yani nilitaka uniambie kama ulishuhudia kwa macho hayo sijui majini au mapepo yakiongea kupitia mtu .
Hua naona watu wakiongea maneno na inadhaniwa ni hayo madubwana yanaongea
 
Mkuu, hiyo ni kusema hata haya maneno yanayoandikwa hapa tusiyaamini maana hatuna namna ya kuthibitisha kama ni uongo au ni kweli. Hata ukija unambie kitu kilichokutokea wakati uko mwenyewe sipaswi kuamini maana sina namna ya kuthibitisha kama ni ukweli au uongo. Yaani kitu chochote tusikiamini tofauti na kile tulichokiona wenyewe kwa macho yetu. Na kama kitu kimenitokea mimi mfano nimeota ndoto nikawa sielewi inanichanganya, nikikuelezea wewe hautakiwi kutilia maanani maana haukuwepo na mimi wakati naota.
Dear kazi ni kubwa sana wewe chagua tu upande lakini pia tuendelee kujifunza

Nikuulize unaamini uwepo wa Mungu
 
Sio naamini, mi nimeona uwepo wa Mungu.
Huyo unaewekeana nae hoja mezani yeye ukimwambia unaamini Mungu yupo atataka pia usithibitishe uwepo wa Mungu

Yeye kila wakati anataka uthibitisho😂
 
Maana yake hii mada aipuuzie kwa sababu hakuna namna atathibitisha kwamba watu wanaota ndoto,watu wanavyoota huwa hayupo nao.
Umenikumbusha maneno ya Thomas Aquinas aliyesema" kama huwezi kuelewa kitu, usiseme hakipo, sema uwezo wangu wa kuelewa hicho kitu una mipaka nimeshindwa kuelewa uwepo wa hicho kitu kwa asilimia 100". Hapa alikuwa anaongea na wanaopinga uwepo wa Mungu. Kutokushindwa kuelezea kitu haimaanishi hakipo kabisa, kinaweza kisiwepo na kinaweza kuwepo ila ikawa fumbo kwa akili zetu kuelewa.
 
😂😂 baasi
Spiritual ipo nimeshuhudia, live.
Nataka niseme jambo binadamu wote tupe mtegoni , na tunagombaniwa kwasbabau maalumu. TUNATAFUTWA VIBAYA MNO
Tunagombaniwa na nani jazia nyama
 
Maana yake hii mada aipuuzie kwa sababu hakuna namna atathibitisha kwamba watu wanaota ndoto,watu wanavyoota huwa hayupo nao.
Exactly
Umenikumbusha maneno ya Thomas Aquinas aliyesema" kama huwezi kuelewa kitu, usiseme hakipo, sema uwezo wangu wa kuelewa hicho kitu una mipaka nimeshindwa kuelewa uwepo wa hicho kitu kwa asilimia 100". Hapa alikuwa anaongea na wanaopinga uwepo wa Mungu. Kutokushindwa kuelezea kitu haimaanishi hakipo kabisa, kinaweza kisiwepo na kinaweza kuwepo ila ikawa fumbo kwa akili zetu kuelewa.
Umemaliza dear Asantee sanaa🔥🔥🔥
Ukishindwa kuelewa kitu kubari kua akili yako imeishia hapo 🤝
 
Back
Top Bottom