Miaka km miwili imepita nliambiwa nkaangalie eneo dogo tu milioni 20,lafaa kwa makazi lakini...sikujua ht ni sq mita ngapi..ss sijui saivi sh ngapi..Goba viwanja bei gani? Ukitoka barabara kuu ya lami huko ndani kuna barabara nzuri?
Mkuu kwanini mnasema mjengaji haoni faida wakati anachukuwa kodi mara nytumba inapomalizika.? Tatizo wewe unadhani mpaka fedha ulizowekeza zirudi zote ndiyo faida ianaanza kuonekana!. Real Estate ni biashara nzuri sana na ukishajenga wewe unakuwa huna tena stress za leo biashara imekuwa mbaya au kesho nitafanya nini. Hiyo hiyo kodi unayochukuwa kila mwezi ndipo ilipo faida. Cha kuzingatia ni kufuata kanuni za kujenga nyumba ya biashara. Kama ni ya kupangisha ina kanuni zake.Ni kweli. It is a long term investment wala sio biashara ya mzunguko
Too much pilipili
Mimi najifunzaga kwa Wahindi bora upange mtaji peleka kwa biashara
Ukijenga nyumba ya 150m Magomeni Kagera utapata bei gani? Trust me kuna nyumba za zaidi ya 150m hapo Magomeni Kagera kama unaelekea kwa Mtogole. Watu wa real estate wanasema LOCATION,LOCATION,LOCATION.
Good Analysis, lakini real estate inachangamoto na ni kama kamari fulani kwa mtu ambaye huna mtaji mkubwa.
Rear estate kwa matajiri ni biashara nzuri na ni nzuri for the long term ya vizazi na vizazi lakini kwa mwezangu na mimi ambaye unahitaji kuwa na daily income ya kusustain maisha ya kila siku naiona kama ghost business.
Naamisha wengi wa waliokuwa wateja wa kupanga nyumba nao wamejenga nyumba zao miji wanakofanyia kazi hivyo wapangaji kupunguaMkuu tafadhali fafanua zaidi. SIjaelewa
Umepata hiyo pesa, yote Ukaizike!? Huo ni wendawazimu wa hali ya kutosha. Kama unawashwa na kujenga, toa hats mil 30 ukajenge nyumba iishe kabisa uhamie hiyo nyingine iweke kwenye mzunguko wa biashara ya kuaminika na uifanye wewe mwenyewe.
Nilishasema sitokaa niyaogope maisha nikimbilie kuizika pesa(kujenga) niache kuiweka kwenye biashara kwa kuogopa kupanga.
Chukulia mfano, umeenda kujenga Mbande au Kisewe huko Mbagala, shughuli zako ziko Tegeta na huko ndiko ulikokuwa umepanga mwanzoni.
Mifano yako haifanyi biashara ya nyumba iwe mbaya kwa kila mtu. Hata huko kwenye biashara nyingine kuna mifano kibao ya watu waliofeli.Kuna nyumba fulani ipo ilala ilianza kuuzwa 1.2bil hadi leo ipo 600m haijauzwa imepita lami hadi kwenye hio nyumba, pia kuna kasri moja lipo karibu na chuo cha DSJ yani ni opposite na DSJ linauzwa 1.2bil hadi leo halijajengwa hio nyumba ukitoka nje tu lami ukitembea dakika 5-7 umefika kituoni lakini bado hakuna wanunuzi
Hii biashara kichaa sio ya Kufanya kwa kutumia hela ya Mkopoo utakufa mawazooo...!! Una hela yako huna nayo kazii fanya hiviiHuoni wewe pia itahitaji miaka 10 kubreak even
Bado ndani ya hiyo miaka 10 kuna marekebisho mengi na pia nyumba nzuri na mpya zitajengwa hivyo itakubidi upunguze bei
Na hii ndio hofu yetu watanzania wengi.
Huwa hatujiamini kwenye biashara,lakini sababu inatokana na lack of business knowledge.
Ndio maana wote tumekuwa na utamaduni wa kujenga tu au kuziacha hela benki kwenye saving account.
Ila wahindi huwa hawana hobby ya kujenga majumba wapatapo pesa Wana njia zingine za investment Kama kununua bonds/shares au other liquid assets Kama golds na kuzihifadhi ndani.
Siku akifirisika anauza kwa Bei ya juu na kuibuka tena.
Huyu ni muongo Fixed mara nyingi ni 10p.a na kwenye faida unatoa 11pcFaida ni ndogo sana. Una imvest million 100 unapata faida 250,000 kwa mwezi daaah faida ndogo sana. Kwa million 100 zipo biashara nyingi zinazoweza kukupatia faidazaidi ya million 1 kwa mwezi
Huyu witmak 255 ndo yupi wa humu au
Woga wa maisha isiwe hadi kwenye nyumba yako ya kuishiUko sahihi kabisa
Hata mimi naamini kujenga ni uoga wa maisha nani mawazo yakizamani. Business models are changing we also must change
Hii biashara watakuja kufaidi Vitukuu vyakoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndoto za alinacha kabisaa
🤣🤣🤣🤣🤣 niliwaasa jamaa zangu, wakajifanya wasomi, Financial Management ya 3rd Year iliwapa jeuri.Walionunua hisa za vodacom nadhani somo.wamelipata fresh.
Achana na haoWahindi wengi wamepanga nyumba siyo kwamba hawana pesa za kujenga, LA hasha, pesa wanazo isipokuwa wanaogopa kujenga wakihofia wasije wakanyang'anywa tena nyumba zao kama walivyofanyiwa wakati wa Mwalimu Nyerere enzi za Azimio LA Arusha.. Wengi wanahifadhi pesa zao, hata kama mambo yakija kugeuka baadaye waweze kukimbilia zao nchini India. Kama ujuavyo, watawala wa Afrika hawatabiriki.
Hahahaha,kumbe umegundua mkuu.
Mimi nilikuwa na rafiki zangu wahindi tunafanya nao kazi ndio walinifungua akili.
Walikuwa wananiuliza umeinvest kiasi gani Hadi Sasa na akaunti yako Ina pesa kiasi gani?
Mimi nikawa nawajibu sina kitu hela zote nimenunua kiwanja na kuanza ujenzi,Kisha wananiuliza kwa mfano ukifukuzwa kazi ghafla utafanya nini?
Basi walikuwa wananicheka sana.