LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Miaka km miwili imepita nliambiwa nkaangalie eneo dogo tu milioni 20,lafaa kwa makazi lakini...sikujua ht ni sq mita ngapi..ss sijui saivi sh ngapi..Goba viwanja bei gani? Ukitoka barabara kuu ya lami huko ndani kuna barabara nzuri?
Goba sehemu nyingi mabonde kupanda na kushuka kwa hio inabidi kudesign ujenzi.,wengi washapawezea
Barabara za ndani kwa nilizopita ni mabonde labda kama wameshazilima..lami ndani bado
Kwa ujumla ni pazuri pameshachangamka mnooo,panakua mjini kwa kasi.,hata kupangisha nyumba panafaa zaidi ya sana