Ngwanakilala
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 774
- 1,464
- Thread starter
-
- #101
Nimenunua plot Dar miaka 5 iliyopita sijajenga hadi leo nimejaribu kuuza bei iko chini ya nilichonunulia
Nimewaza kujenga naona gharama kubwa sana na hela zangu hazitarudi
Na hii ndio hofu yetu watanzania wengi.Jaribu biashara uingizwe mjini upoteze zote ili uanze upya kuliko kupokea 6k monthly
Hujaelewa point yangu haf unakua Fucken Furious si ndiyoUnaongea kama mlevi wa gongo. Eg. Pata 150m?? Tafakari biashara?? Nyumba za kupangisha??
Hueleweki unaongea urojoHujaelewa point yangu haf unakua Fucken Furious si ndiyo
Huyu witmak 255 ndo yupi wa humu auPole chief wengi wako katika dilemma kama yako, wengi sana, tafadhali fata ushauri wa Witmak255
Hutakuwa na stress hata ukiwa kwa grave huko[emoji3]Kwa hiyo TZS 150,000,000 ukiwekeza kwenye nyumba na ukawa unapata TZS 7,200,000 watoto wako wawili wana uhakika wa kusoma mpaka chuo kikuu bila bugtha ya kukwama ada hata kama Mungu atakuwa amekupenda zaidi
Wale Watanzania wenzetu wenye asili ya Asia mbona huwa hawajengi? Wanaishi national house tu. Na Wana uwezo mkubwa tu maana watoto wait wanasoma shule za garama na wanaendesha magari ya kifahari.Sisi watu weusi nyumba ndio fahari yetu na vijukuu vyetu
Hizi ni hesabu kichaa ambazo watumishi wengi huwa wanaangukia pua.Kuna mmoja yeye ni dereva kwenye ubarozi wa nchi ya kibeberu flani. Amechukua mkopo milio 30,
Akanunua gari Subaru foresta nyingine akaanza kujengea saa hizi hiyo nyumba kaishia kupaua na hela naona imekata.
Ulevi umeathiri vijana wengi nchi hii.Hueleweki unaongea urojo
Nilishaacha kujenga nina mwaka wa8 dar nimepanga tu kzi kubwa nimkwenda kuangakia kiwanja kama naenda kusalimia mgonjwa kugenja mbali na unakofsnyia biashara ngumu sanaMimi nakubaliana na wewe kwa asilimia 100 na mimi nimeamua kufuata njia uliyoshauri wewe
AKIMALIZA KULIPA MKOPO ATAKUWA AMESHAMALIZA NA DEGREEE YA KUJUA MATUMIZI YA HELA ZA MKOPOHizi ni hesabu kichaa ambazo watumishi wengi huwa wanaangukia pua.
Ananunua Subaru kutia kishoka halafu nyumba ya kulala hana.
Wala usiwaze kuhusu huyo mjeda, anaweza uza hyo Ist akamalizia nyumba nyingine akaingia mtu, mara paaap kapewa jukumu Congo, Darfur anaomba uzima tu akirudi kakupiga gape la hatariHao ndio utakuta akikamata raia wanawatesa kwa kujificha kwamba raia wamekiuka sheria za jeshi kumbe ni stress.
Hebu mwambie aniuzie hiyo ist yake
PUMBA ya Kufungia Mwaka 2019Ukitaka kujua km Pesa ni Snitch, pata hizo mil 150 hlf puuzia kujenga nyumba ya kupangisha kwavile utachelewa kupata return yako hahaa uje kushtuka wakati unatafakari biashara ipi nzuri zaidi mwaka umeisha na mil zmebaki 50 [emoji3]
Hapo ndo utajua Pesa thamani yake ni hata kuangalia tu nyumba uliyijenga hata km haiingizi chochote.
Nilikua nalipa nyumba laki 6 mwaka 2016 Mikocheni nimehamia Sinza kodi 250,000/= Tshs. Toka nimehama Mikocheni ile nyumba mpaka Leo haijapata mtu. Mwenye nyumba ananipigia simu nirudi atanipunguzia kodi 50% (300,000 Tshs.) Ha ha ha!
Wala usimcheke na kumbeza ni hatua muhimu kwenye maisha hela isipopotea hutajua thamani yake na ndo shida ya elemu ya mtaaani au maisha kuipata gharama zake ninkubwa sana trust me iko siku utarudi hapa na kutueleza jamaaa wa subara kazishia mafumba ya hatare kbsHizi ni hesabu kichaa ambazo watumishi wengi huwa wanaangukia pua.
Ananunua Subaru kutia kishoka halafu nyumba ya kulala hana.
Nimeanzisha biadhara 12 na zote zimebuma na bado nadunda ni,ejifunza mengi sanaNa hii ndio hofu yetu watanzania wengi.
Huwa hatujiamini kwenye biashara,lakini sababu inatokana na lack of business knowledge.
Ndio maana wote tumekuwa na utamaduni wa kujenga tu au kuziacha hela benki kwenye saving account.
Ila wahindi huwa hawana hobby ya kujenga majumba wapatapo pesa Wana njia zingine za investment Kama kununua bonds/shares au other liquid assets Kama golds na kuzihifadhi ndani.
Siku akifirisika anauza kwa Bei ya juu na kuibuka tena.