Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,999
Reaction score
24,328
1000111337.jpg
 
Nyama za nyoka tumezila sana miaks ya 90 ziliitwa nyama za kwenye makopo
Zike za china sio nyoka ni samaki wa baharini wako kama nyoka.
Kwenye yale makopo hukuti kichwa wala mkia ndio maana watu walisema ni nyoka. Nilikuja kujua ukweli baada ya kutembelea kiwanda kinachosindika aina ya samaki kama wale wa 90's
 
Kuna ugali niliwahi kula sehem....
Ule ugali ulikua na mbonga zake zilipoletwa mezani nikadhani nimekaribishwa kwenye meza iliowekewa vifaa vya unjenzi...🤣
 
Back
Top Bottom