Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

Je ni chakula gani cha kustaajabisha umeshawahi kula? Nilikula ugali wa maembe.

Nililishwa chips za vitunguu ili nipungue uzito
 

Attachments

  • 1000107000.jpg
    1000107000.jpg
    461.2 KB · Views: 9
Ukiachana ma mtoa mada, sijaona mtu mwingine aliyekula chakula cha ajabu.
Na nimefikiria kiukweli hata mimi sijawahi pia ,nashkuru Mungu
 
Back
Top Bottom