Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kuna jamaa kutoka Ghana amefungua mgahawa Paris anauza mboga za wadudu aina mbalimbali kutoka Ghanaubunifu muhimu kwanini tupambane kula tuu vyakula vilivyo asisiwa na wazee
Funika yote mimi niwahi kula ugali na mapera morogoro nilipofika kagera nikala ugali na muwa.
Haukumbuki kaka
Ugali wa muwa!Funika yote mimi niwahi kula ugali na mapera morogoro nilipofika kagera nikala ugali na muwa.
Hilo la ugali kwa kutoeza mafuta ni jambo la kawaida.Mimi nimeshuhudia dogo akila ukali na mafuta ya alizeti, mwingine ,ugali na nyanya mwaka jana tarehe 2 mwezi wa10 na mimi nilienda sehemu kwa mara ya kwanza nakala ugali tena kiporo kwa chai ya rangi
Kuna ugali niliwahi kula sehem....
Ule ugali ulikua na mbonga zake zilipoletwa mezani nikadhani nimekaribishwa kwenye meza iliowekewa vifaa vya unjenzi...