Unakosa vitu vizuri mkuuhamna aiseee
mimi bora nikae njaa
sili kitu ambacho sijala kabla ya miaka 18
Huu ugomvi sasa 😁Mimi namjua tu mtu aliyekula Ugali na Sukari,
Yule sijui alikua ni mchezaji wa team gani ile ya Daslam.
Ukiendelea na hii tabia yako Kuna siku utakufa Kwasababu ya njaa. Na Kwa Nini ufanye hvy ukila unapata madhara gani?hamna aiseee
mimi bora nikae njaa
sili kitu ambacho sijala kabla ya miaka 18
Jose Mla Vichwa anakula hadi paka na mbwaMpaka umri huu Nimekula
Panya
Mamba
Kenge
Nyoka na
Chura
siwez kufa njaaa...duniani kote kuna common foodUkiendelea na hii tabia yako Kuna siku utakufa Kwasababu ya njaa. Na Kwa Nini ufanye hvy ukila unapata madhara gani?
Ufikishe miaka 18 Kwani unaenda kupiga kura?
noUnakosa vitu vizuri mkuu
Hauchezi nje ya 18?hamna aiseee
mimi bora nikae njaa
sili kitu ambacho sijala kabla ya miaka 18
SardinesNyama za nyoka tumezila sana miaks ya 90 ziliitwa nyama za kwenye makopo
Haukumbuki kakaSardines