The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Nimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu tunawacheka na kuwazodoa majirani zetu wakabila?🙄🙄😔😔😔😔😪😪