Je ni chuki au ushindani baina ya waislam na Wakristo?

Je ni chuki au ushindani baina ya waislam na Wakristo?

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 24
Watu wa humu isipokuwa mimi huwezi wakuta sehemu yoyote ile tz wangekuwepo tz ingewaka moto kwa udini
 
Hao sio wakristo wala waislam,,ni mapungasese,,watu wa dini hawawezi fanya ujinga huo.
 
S

Sisi wakristo hatuna shida, sema ndugu zetu Islam wanakuwaga na kitu kama inferiority complex kwamba hata kama jambo linaathiri mstakabali wa taifa lakini kwa kuwa linafanywa na rais wa upande wao wayamuunga mkono wakidhani wanawakomoa wakristo kumbe tunajikomoa wote. Embu fikiria waislam walivyo kaa kimya kwenye UTEKWAJI NA KUUWAWA kwa wapinzani kisa TU rais ni muislam mwenzao, fikiria kifo Cha Mzee Ally Kibao mwanzao katika Imani, LAKINI muislam Gani alisimama kulipinga Hilo? Wanaona wakikemea mauaji kama hayo watakuwa wameungana na wakristo dhidi ya muislam mwenzao rais. Wanasahau kwamba ukiristo haunaga udini linapokuja suala la kuupigania haki na Wajibu katika jamii yoyote ile. Sasa hapo wewe mpagani unaongeleaje suala kama Hilo!
Si kweli,shida ni Rais akiwa Muislam ndugu zangu wakristo mnakua mstari wa mbele kuponda hata kama matukio kama hayo yameshawahi kutokea kwenye tawala za Marais wasiokua Waislam,kwa mfano,wakati wa awamu ya 5 ndio nchi ilishuhudia utekaji wa hali ya juu na watu kupotezwa mfano Alphonce Mawazo na wengineo pia tukio kubwa kabisa la kupigwa Risasi kiongozi mkuu wa upinzani ndugu Tundu Lissu.
Viongozi wa upinzani walishindwa kukaa hapa nchini na walihamia nchi za ngambo,wakaishi kama wakimbizi wa kisiasa,hebu fikiria hii Tanzania yetu mtu kuishi ukimbizini akihofia uhai wake je inaingia akilini?
Lakini hakukusikika sauti za malalamiko kama ilivyo wakati huu,kwa sasa hata mtu kama Gwajima ambae alikua ni miongoni mwa watu walioingia kwenye siasa kwenye awamu hio na hakuwahi kulalamika kuhusu utekaji sasa hivi anajitokeza na wakati ule alikua kimya hata wakati Lisu kapigwa risasi je haya yanamaanisha nini?
Sisi ni waTanzania na inafaa tukiamua kupinga tupinge bila kuangalia upande wowote na tukikubali tusikubali kwa upendeleo
 
Ukiona hivo ujue ni suala la exposure...kubaz wengi elimu hamna...mfano mzur hata huyo mama elimu yenyew ya kuunga unga...kwa hyo hii mitifuano unayoiona ni pale akili ndogo inavyoongozq qkili kubwa... mtu hawez kupata tu ilmu ya madrasa afu akapewa jukumu la kuongoza nchi
 
Nyie mna elimu au mnasoma makaratasi?
Yani chuki yenu ni kubwa sana nyie watu ndo mnavofundishwa huko makanisani ni mwendo wa mafundisho ya chuki tuuu
 
Nyie mna elimu au mnasoma makaratasi?
Yani chuki yenu ni kubwa sana nyie watu ndo mnavofundishwa huko makanisani ni mwendo wa mafundisho ya chuki tuuu
Siku zote akili kisoda hawez ongoza akili kubwa...shika haya maneno yangu
 
Wewe kobazi kumbe hujagundua kuwa JF is free for Great Thinkers! Watu wenye uwezo wa kuhoji na kudadisi uhalisia wa Imani ya Kila Dini. Wewe unaona Kuna chuki pale maswali juu ya Imani ya Dini hizo yanakosa majibu! Mfano Great Thinker anauliza: Mwanaume akifabila dhambi Allah anampa wanawake 72 mabikira watupu, je mwanamke anapewa nini?
Kuhoji siyo chuki shekh.
 
Kwa tafuti fupi angalia comments utapata jibu kwenye Uzi huu huu maana Kuna upande umeshaanza kebehi na kiwatoa wenzao akili.

Tuje upande wa Takwinu na Uchambuzi

1. Kwanza kabisa chochoko nyingi za kidini na kuanzisha nyuzi nyingi za uchokozi na kukashifu dini za watu wanaongoza ni Wakristo humu Jf . Hilo Mimi nimepambania jino kwa jino kwa Mods na Melo mpk sasa hivi mods nyuzi zote uchwara na namna hizo wanazifuta mbali hali shwari sasa sio kama zamani.

Hii sababu ni husda Wakristo wengi wamekata tamaa na dini Yao sababu kila kukicha makandomando yanazidi kujitokeza na wengi wanakimbia kwenye U atheist hata humu Jf kitakwimu Atheist wengi Wana Christian background sasa wanaona Waislamu wapo imara katika kuipenda na kubaki katika dini Yao hapo ndio wakaLaunch campaign ya kutia doa Uislamu kupitia nyuzi mbalimbali ili kuonyesha dosari na watu waukimbie mzani Ubalance.

#Uchambuzi Unaendelea
 
2. Data nyingine; humu Nina ushahidi wa ID nyingi za upande wa Kikisrto wakitaka kuandika mada Fulani wanajifanya kuwa Waislamu ili madai yao yapate nguvu na kudhoofisha Uislamu .

Mfano unaweza kukuta mada " Mimi Muislamu ila nimeshindwa kujizuia kula Nguruwe " au " Mimi Muislamu ila sioni haja ya kwenda Makkah kuhiji"

Hauwezi kukuta Muislamu ajipachike dini nyingine ili kufikisha mada yake hayo ni kwa waupande wa pili pekee ndio wengi wao katika extremists Wana mchezo huu.
 
😂😂😂😂😂😂😂 We jamaa umewaza mbali sana..
Kwahyo mtu anaanza kujiita muislamu sio
 
Mara nyingi huwa ni humu tu, baadhi ya mitandao mikubwa kuliko huu, watu hujadili vitu Kwa uzuri kabisa Hadi unatamani watz wote tungekuwa na huo uwezo.
 
3. Kwenye nyuzi mbalimbali mfano tukio likitokea halafu jina la Kiislamu au Sheikh ndio amefanya sasa baada ya kukemea hiyo Tabia wao Extremists Galatians wanaanza kutukana hovyo Uislamu,Mtume nk wakati matukio hayo ni ya kawaida hata Askofu anafanya lakini Cha ajabu likitokea upande wao watasema Yesu hajaruhusu hivyo . je , hawa watu wana uadilifu kweli au ndio viongozi wa chuki ?

Soma huu Uzi wangu chini nimechambua swala hilo kwa evidences za kutosha

😂😂😂😂😂😂😂 We jamaa umewaza mbali sana..
Kwahyo mtu anaanza kujiita muislamu sio
Mimi mtunza risiti wa Jf , simu yangu ina folders maalumu zenye kumbuku na evidences mbalimbali nyingine muhimu katika screenshots, link za Uzi na videos mbalimbali kwa ajili ya kufichua mambo , ushahidi na Kuandaa nyuzi mbalimbali ndio maana hata kwa mods nikiweka complaints zangu asilimia kubwa zinafanyiwa kazi sababu siandiki kitoto nafanya kazi kama CIA natoa vitu classified na operate kama Mafia.

Hao watu wapo wengi na ninao list Yao na ushahidi wa kuanzisha hizo mada pamoja na ushahidi kuwa sio Waislamu.

Wewe hauogopi Kayngay Busu la Kenge Maghayo The Mongolian Savage nilimonya aache matusi ya hovyo dhidi ya Uislamu awe mstaarabu akabisha sasa ID zako zote 4 hazifanyi kazi amekuja kinyonge na ID mpya . Na amepoteza marafiki na ndugu humu Jf kipuuzi sana baada ya ID yake kuu kuzimwa. Huyo Maghayo niliMtarget specifical sababu alivuka mipaka katika wale Extremists Galatians ambao ninao list yao.
 
Duuh we jamaa ni genius..
Na huwa nakufatilia sana mkuu upo vzr kwa suala la dini tuuu
 
4. Kwa kuokoa muda dalili ya mwisho kwamba Wakristo ndio wanapenda mambo ya uchokozi , kebehi na matusi dhidi ya Uislamu na vinara kwa kazi hiyo .

Ni kwamba nyuzi negative kusuhu Uislamu masaa machache unakimbiza page nyingi mno na humo unakuta matusi , kebehi na fedhea mfano wa huo Mwalimu wa Madrasa kulawiti Mwanafunzi . Hili linaonyesha wamejipanga kwa kazi hiyo na wanapenda ila tofauti na ikiwahusu wao unakuta nadra sana Muislamu kucomment au kutukana ndio maana unakuta una pages chache.

Waislamu wengi wameingia katika mkumbo wa tabia hiyo mbaya kwa malengo ya kujibu mashambulizi dhidi ya dini yao ila kiasili wao sio watu wa hivyo maana Uislamu unakataza wewe kuwa chanzo cha Uislamu kusemwa vibaya au kutukanwa.

Na Muislamu unakuwa chanzo wa hayo kwa kuwatukana watu wa Dini nyingine, kuwakebehi nk maana lazima na wao watalipa na wakilipa lazima watamtuka Allaah, Mtume wake au Uislamu kwa ujumla . Si vyema na hairuhusiwi kisheria Muislamu kuwatusi watu wengine na kuwa na tabia mbaya kiasi Cha kupelekea wao warudishe mashambulizi maovu au zaidi.
 
Back
Top Bottom