Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Siyo wa-sevente dei?Wakristo ndio wachokozi hasa walokole 🤔
Siyo wa-sevente dei?Wakristo ndio wachokozi hasa walokole 🤔
AmenIwe hivyo
Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi ni Rais Muislamu aliwafunga wale Mashehe wa Zanzibar na Rais Mkristo akaja kuwatoa.Hizo lugha zimekua kwa kasi katika utawala wa muislamu. Na hua inakua hivyo katika kila kipindi anachotawala muislamu. Nipo JF kwa muda mrefu sana naelewa wanaoanzisha hili vugu vugu ni wakristo hasa muislamu anapokua kiongozi mkuu wa nchi. Waislamu sio wabaguzi hilo nakuhakikishia ila hatuna budi kujibu mashambulizi.
Ndo umeandika Nini sasa,wewe mwenye elimu kubwa mbona hukupewa.Ukiona hivo ujue ni suala la exposure...kubaz wengi elimu hamna...mfano mzur hata huyo mama elimu yenyew ya kuunga unga...kwa hyo hii mitifuano unayoiona ni pale akili ndogo inavyoongozq qkili kubwa... mtu hawez kupata tu ilmu ya madrasa afu akapewa jukumu la kuongoza nchi
Weka namba ya simu nikutumie hela ya thodaDini ni Utapeli na Wizi.
Mkuu sisi ngozi nyeusi ni bure kabisa. Kama hii vita ya Israel na Iran imegawa wabongo wengi, wanadhani ni uislam vs ukristo wakati ni maslahi ya mataifa makubwa. Saudi Arabia au Qatar na uislam wao wote hawako upande wa waislam wenzao bali wanaangalia maslahi yao lakini muislam ya Keko unakuta anapasuka mishipa kushangilia mambo asiyoyajua. Au mkristo anatoa povu kuishangilia Israel bila kujua wao wanajali maslahi yao ni siyo ukristo.Hapo umelegeza, tunaitwa kafiri, sasa sijui ile mijusi mikubwa kafiri ama? Mimi nikiona mtu anamtukana au kumkebehi mwingine kwaajili ya dini nampuuza tu. Kwanza zililetwa na meli, kabla ya hapo mababu/mabibi zetu, waliabudu mizimu.
Sawa Imani imeletwa imewakolea watu, kwanini uitukane Imani ya mwenzako? Tena ambayo leo atakuwa dini hii, akiamua anahamia ile. Kama wanafanya utani na wanaona ni sahihi sawa ila kuna matani mengi Tz hasa ya kikabila, Imani za watu tungeziacha kama zilivyo.
Hakuna watu wabaguzi na wachokozi kama waislamu rejea mawaidha ya kina shekhe mazinge, sijui sule n.k Yani wao kutwa Zima kuwa tusi maaskofu, wachungaji na mapadre cha ajabu hakuna kiongoz hata Mmoja wa kikristo au muumini aliwahi kuwajibu, nahisi tatizo ni elimu.Hizo lugha zimekua kwa kasi katika utawala wa muislamu. Na hua inakua hivyo katika kila kipindi anachotawala muislamu. Nipo JF kwa muda mrefu sana naelewa wanaoanzisha hili vugu vugu ni wakristo hasa muislamu anapokua kiongozi mkuu wa nchi. Waislamu sio wabaguzi hilo nakuhakikishia ila hatuna budi kujibu mashambulizi.
Kama timu tuu....Hapo umelegeza, tunaitwa kafiri, sasa sijui ile mijusi mikubwa kafiri ama? Mimi nikiona mtu anamtukana au kumkebehi mwingine kwaajili ya dini nampuuza tu. Kwanza zililetwa na meli, kabla ya hapo mababu/mabibi zetu, waliabudu mizimu.
Sawa Imani imeletwa imewakolea watu, kwanini uitukane Imani ya mwenzako? Tena ambayo leo atakuwa dini hii, akiamua anahamia ile. Kama wanafanya utani na wanaona ni sahihi sawa ila kuna matani mengi Tz hasa ya kikabila, Imani za watu tungeziacha kama zilivyo.
Ungekuwa hauna shida usingesema vichaa wa mudiSisi wakristo hatuna shida
Pole mtani hali si hali. Mkishangaa mara ya 6 msimu ujao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama timu tuu....
Kila mtu na yake haijalishi inapitia nini kwa wakati huo...
😃😃🤣🤣🤣🤣🤣
Sawa tuu nje ya uwanja mko vzr.... ila kila mtu apambane kwny anaweza zaidi...tukutane kimataifa...😀😀😀Pole mtani hali si hali. Mkishangaa mara ya 6 msimu ujao 🤣🤣🤣🤣🤣🤣