Umsolopagaasi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 940
- 975
Write your reply...chadema wengi wanatumia ua rc kukashifu uislaam
Saana na kujiona wanaakili sana kuliko waislam Alafu bado wanajileta nchi za waislam kutafuta maisha tunawazoom tuWakristo humu jamvini wana chuki sana na waislamu
Matusi ni nini?Nimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu tunawacheka na kuwazodoa majirani zetu wakabila?🙄🙄😔😔😔😔😪😪
Dini Yako ni kutokuwa na diniMimi sina dini ila walokole hata mimi nawaona kafiri😆
Kwamba?????Dini Yako ni kutokuwa na dini
We unahangaishwa na hii misukule ya humu mitandaoni? Haya majinga yapuuze tu. Uhalisia hakuna udini nchini mwetu. Waislamu wameajiriwa taasisi zinazomilikiwa na dini za kikristo udini uko wapi. Acha kuzungumzia vt ambavyo havipoNimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu tunawacheka na kuwazodoa majirani zetu wakabila?🙄🙄😔😔😔😔😪😪
Mleta uzi inawezekana hajui maana ya ubaguzi, Tanzania hakuna harufu ya udini, kwanza tukikutana hakuna anayetaka kujua dini yako labda jina ndio itaonesha tuUkisikia makobazi/kobazi au wagalatia/mgalatia ni kupunguza/kuepuka kutaja dini fulani moja kwa moja ili isionekane ni utwezaji wa dini hiyo kwenye mjadala. Si matusi na imezoeleka humu kobazi na mgalatia ni nani. By the way hakuna chuki za kidini kwa sisi watanzania, tunaishi pamoja bila kubaguana kidini. Kila mtanzania ana uhuru wa kuamini dini anayoiona ina Mungu
niliona waislam tena wamevaa kiislam wakiingia kanisa moja kwenye harusi ya ndugu yao aliyebadili dini na kuwa mkristo wakifurahia harusi ya ndugu yao kanisani huku wakristo wakiwakaribisha waislam hao kwa amani na upendo mkubwa. Watanzania hawana chuki za kidini wala kimadhehebu, wanaishi kama familia moja kwa amani, kila mmoja anajua anachoamini moyoni mwakeMleta uzi inawezekana hajui maana ya ubaguzi, Tanzania hakuna harufu ya udini, kwanza tukikutana hakuna anayetaka kujua dini yako labda jina ndio itaonesha tu
Unasemaaa??Kwamba?????
Maneno ya mitandaoni tu ila mtaani tunaishi vizuri na huwezi yasikiaNimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu tunawacheka na kuwazodoa majirani zetu wakabila?🙄🙄😔😔😔😔😪😪
Iwe hivyoUnasemaaa??
Waislam wapo wapi Tanzania 🙄🙄🙄 au unazungumzia waisiharamu ambao wao wanataka kuongozwa na mwanamke kinyume na mafundisho ya muhammad...hakuna muislamu hata mmoja anaye mkubali samia kuwa rais ...tatizo ni waisiharamuNimekuwa nikifuatilia na kusoma comments nyingi humu. Nimegundua kama kuna chuki au sijui ushindani au ujinga baina ya waislamu na wakristo.
Rejea matusi kama makobazi na wagalatia. Je tunaanza kuchukianana kugawanyika kwa dini bila kujua na kujijua? Je, kama taifa, hii inaonyesha nini?
Ajabu tunawacheka na kuwazodoa majirani zetu wakabila?🙄🙄😔😔😔😔😪😪
Write your reply...chadema wengi wanatumia ua rc kukashifu uislaam
Driver proffesional Tunaomba ile picha mkuu.Kuitwa kobaz, mgalatia, kafiri sio tusi Bali utambulisho tu Mimi naona tunatofautiana uelewa
hapo ndio shida
Mgalatia - hili liko wazi
Kobaz- ni viatu maarufu tunaovaa watu wa munyaazi yaani ukipiga kanzu bila viatu vya kobazi siku ya Idd Ali Haji unaonekana kituko, hii ni symbol tumeachiwa na Mudi(S.A.W)
Kafiri- ni mtu yeyote asiye muumini katika dini ya uislam Kuna kobaz pia ni makafiri sio wakristo tu.
Namshukuru Allah Kwa kunijalia pumzi na uhai na kuweza kushuhudia "12 days war" na nyote mmeona mtu alivyotembezewa vitasa inshallah tuombe neema ya allah aendelee kuwafanya viburi Ili tuje kushuhudia mkon'goto mwingine kutoka Kwa watabe wa hizi kazi siku zijazo.
Si kweli, umetumia kigezo gani?Wakristo ndio wachokozi hasa walokole 🤔