Muda mrefu kwa kipindi gani?Hizo lugha zimekua kwa kasi katika utawala wa muislamu. Na hua inakua hivyo katika kila kipindi anachotawala muislamu. Nipo JF kwa muda mrefu sana naelewa wanaoanzisha hili vugu vugu ni wakristo hasa muislamu anapokua kiongozi mkuu wa nchi. Waislamu sio wabaguzi hilo nakuhakikishia ila hatuna budi kujibu mashambulizi.
Wazimu huyo jamaa,anajificha ficha hana dini asijue hakuna ngoma inayochezwa bila hata ishara.
Covax atakupinga,namuona siku hizi anazungusha kiuno jukwaa zima kutangaza dini ya Kikristo,japokuwa huwa anaiweka kama maswali tata lakini huyu jamaa namuona siku moja akipigwa maji.niliona waislam tena wamevaa kiislam wakiingia kanisa moja kwenye harusi ya ndugu yao aliyebadili dini na kuwa mkristo wakifurahia harusi ya ndugu yao kanisani huku wakristo wakiwakaribisha waislam hao kwa amani na upendo mkubwa. Watanzania hawana chuki za kidini wala kimadhehebu, wanaishi kama familia moja kwa amani, kila mmoja anajua anachoamini moyoni mwake
yupo, kaleta uzi wa kuhoji nani alibadilisha biblia, nimemuambia haipendezi kuchalenji imani asiyoiamini. Kama vipi awe mkristo halafu alete hoja zake kisha tumpime kwa maandiko tubaini ukweli uko wapi, la sivyo ataonekana anafanya dhihaka na kukejeli imani ya kikristoCovax atakupinga,namuona siku hizi anazungusha kiuno jukwaa zima kutangaza dini ya Kikristo,japokuwa huwa anaiweka kama maswali tata lakini huyu jamaa namuona siku moja akipigwa maji.
Nope,hakuna Mkristo anayemchukia raisi kisa dini yake naamini hata Muislam timamu kichwani hawezi kumchukia raisi Mkristo!!!Nyie mna elimu au mnasoma makaratasi?
Yani chuki yenu ni kubwa sana nyie watu ndo mnavofundishwa huko makanisani ni mwendo wa mafundisho ya chuki tuuu
Halafu wapo waislam wenzake hapa wanasema Wakristo ndiyo wachokozi kwamba wao siyo wachokozi kama hawakioni anachokifanya mwenzao.yupo, kaleta uzi wa kuhoji nani alibadilisha biblia, nimemuambia haipendezi kuchalenji imani asiyoiamini. Kama vipi awe mkristo halafu alete hoja zake kisha tumpime kwa maandiko tubaini ukweli uko wapi, la sivyo ataonekana anafanya dhihaka na kukejeli imani ya kikristo
Yesu ndani ya KobaziKobazi wengi wana udumavu wa akili unaosababishwa na ufugaji wa majini suluhu ya tatizo lao hilo ni kula nguruwe
Yesu wa madale?Yesu ndani ya Kobazi