The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Mimi sina dini ila walokole hata mimi nawaona kafiri😆Hapo umelegeza, tunaitwa kafiri, sasa sijui ile mijusi mikubwa kafiri ama? Mimi nikiona mtu anamtukana au kumkebehi mwingine kwaajili ya dini nampuuza tu. Kwanza zililetwa na meli, kabla ya hapo mababu/mabibi zetu, waliabudu mizimu.
Sawa Imani imeletwa imewakolea watu, kwanini uitukane Imani ya mwenzako? Tena ambayo leo atakuwa dini hii, akiamua anahamia ile. Kama wanafanya utani na wanaona ni sahihi sawa ila kuna matani mengi Tz hasa ya kikabila, Imani za watu tungeziacha kama zilivyo.
Yaani wewe unadai huna dini ila unasema walokole unaona ni kama makafir TU.Boston12 pinga kwa hoja
Umenena vyema , ila jitafakarini broYaani wewe unadai huna dini ila unasema walokole unaona ni kama makafir TU.
Sasa wewe una utofauti Gani na hao vichaa wa Mudi.
"Read between the line"Hizo lugha zimekua kwa kasi katika utawala wa muislamu. Na hua inakua hivyo katika kila kipindi anachotawala muislamu. Nipo JF kwa muda mrefu sana naelewa wanaoanzisha hili vugu vugu ni wakristo hasa muislamu anapokua kiongozi mkuu wa nchi. Waislamu sio wabaguzi hilo nakuhakikishia ila hatuna budi kujibu mashambulizi.
Sisi wakristo hatuna shida, sema ndugu zetu Islam wanakuwaga na kitu kama inferiority complex kwamba hata kama jambo linaathiri mstakabali wa taifa lakini kwa kuwa linafanywa na rais wa upande wao wayamuunga mkono wakidhani wanawakomoa wakristo kumbe tunajikomoa wote. Embu fikiria waislam walivyo kaa kimya kwenye UTEKWAJI NA KUUWAWA kwa wapinzani kisa TU rais ni muislam mwenzao, fikiria kifo Cha Mzee Ally Kibao mwanzao katika Imani, LAKINI muislam Gani alisimama kulipinga Hilo? Wanaona wakikemea mauaji kama hayo watakuwa wameungana na wakristo dhidi ya muislam mwenzao rais. Wanasahau kwamba ukiristo haunaga udini linapokuja suala la kuupigania haki na Wajibu katika jamii yoyote ile. Sasa hapo wewe mpagani unaongeleaje suala kama Hilo!Umenena vyema , ila jitafakarini bro
Sisomi gazetiS
Sisi wakristo hatuna shida, sema ndugu zetu Islam wanakuwaga na kitu kama inferiority complex kwamba hata kama jambo linaathiri mstakabali wa taifa lakini kwa kuwa linafanywa na rais wa upande wao wayamuunga mkono wakidhani wanawakomoa wakristo kumbe tunajikomoa wote. Embu fikiria waislam walivyo kaa kimya kwenye UTEKWAJI NA KUUWAWA kwa wapinzani kisa TU rais ni muislam mwenzao, fikiria kifo Cha Mzee Ally Kibao mwanzao katika Imani, LAKINI muislam Gani alisimama kulipinga Hilo? Wanaona wakikemea mauaji kama hayo watakuwa wameungana na wakristo dhidi ya muislam mwenzao rais. Wanasahau kwamba ukiristo haunaga udini linapokuja suala la kuupigania haki na Wajibu katika jamii yoyote ile. Sasa hapo wewe mpagani unaongeleaje suala kama Hilo!
PoaSisomi gazeti
Utajua haujui😅