Je ni chuki au ushindani baina ya waislam na Wakristo?

Ukiona mtu humu anakwambia wewe mdini Sana anamaanisha wewe ni mkiristo
 
Nadhani tukubaliane humu na tuwaambie mods,atakaetaja dini yoyote iwe uislam au ukristo au kobazi au wagalatia alimwe ban ya wiki 4.
Na iwe marufuku kuanziaha mijadala yoyote inayohusu dini,kwanza dini hizo tumeletewa tu,jitu ma akili zake linabishana kuhusu dini wakati waluoleta hawana muda,sijui skuli lilienda kisomea ujinga.
Kama tukikubaliana poa tu.
 
Mkuu huo ni utani tu Muislamu kuniita Mgalatia sidhani kama ni tusi, same as nikimuita yeye Kobazi.

Unaanzaje kumchukia Muislamu wakati Baba yako mdogo ni Muislamu?

Ni nani hapa kati yetu ambaye ukoo wake hauna Muislamu wala Mkristo?
 
Kama kumbukumbu zangu zipo sahihi ni Rais Muislamu aliwafunga wale Mashehe wa Zanzibar na Rais Mkristo akaja kuwatoa.

Umetisha sana mkuu. Na mimi naongezea Death to America, Kill the Jews.
 
Ndo umeandika Nini sasa,wewe mwenye elimu kubwa mbona hukupewa.
Elimu Yako imekusaidia Nini zaidi ya ubaguzi wa kidini?
Uongozi sio elimu,ni kipawa au kipaji toka kwa MOLA.
Wangapi wenye elimu wamevurunda kwenye uongozi?
 
Mkuu sisi ngozi nyeusi ni bure kabisa. Kama hii vita ya Israel na Iran imegawa wabongo wengi, wanadhani ni uislam vs ukristo wakati ni maslahi ya mataifa makubwa. Saudi Arabia au Qatar na uislam wao wote hawako upande wa waislam wenzao bali wanaangalia maslahi yao lakini muislam ya Keko unakuta anapasuka mishipa kushangilia mambo asiyoyajua. Au mkristo anatoa povu kuishangilia Israel bila kujua wao wanajali maslahi yao ni siyo ukristo.
 
Hakuna watu wabaguzi na wachokozi kama waislamu rejea mawaidha ya kina shekhe mazinge, sijui sule n.k Yani wao kutwa Zima kuwa tusi maaskofu, wachungaji na mapadre cha ajabu hakuna kiongoz hata Mmoja wa kikristo au muumini aliwahi kuwajibu, nahisi tatizo ni elimu.
 
Kama timu tuu....
Kila mtu na yake haijalishi inapitia nini kwa wakati huo...
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Wagalatia siyo jina linalowafaa wakristo kuwaita hivyo ni kuwakosea heshima jina zuri kuwaita wasiokua waislam ni kafiri, jina la kafiri linawapendeza sana na limekaa mahala pake kwahiyo edit uzi utoe wagalatia uandike kafiri
 
Kama timu tuu....
Kila mtu na yake haijalishi inapitia nini kwa wakati huo...
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Pole mtani hali si hali. Mkishangaa mara ya 6 msimu ujao 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…