Je ni chuki au ushindani baina ya waislam na Wakristo?

Wote wanachuki na ujinga uliojificha uvunguni mwa mioyo yao.
 
Muda mrefu kwa kipindi gani?

Ktk kuwapo kwako humu unawajua watu walioitwa Motochini na Somebody Malaria Sugu wewe?search hizo namba hapo juu then rudi hapa ku-edit post yako kama utakuwa na uthubutu huo.
 
Wazimu huyo jamaa,anajificha ficha hana dini asijue hakuna ngoma inayochezwa bila hata ishara.

Maana anachokifanya yeye ni kucheza ngoma ya “sina dini” but ikipigwa kwa mtindo unaomfurahisha anachezesha mguu.
 
Covax atakupinga,namuona siku hizi anazungusha kiuno jukwaa zima kutangaza dini ya Kikristo,japokuwa huwa anaiweka kama maswali tata lakini huyu jamaa namuona siku moja akipigwa maji.
 
Covax atakupinga,namuona siku hizi anazungusha kiuno jukwaa zima kutangaza dini ya Kikristo,japokuwa huwa anaiweka kama maswali tata lakini huyu jamaa namuona siku moja akipigwa maji.
yupo, kaleta uzi wa kuhoji nani alibadilisha biblia, nimemuambia haipendezi kuchalenji imani asiyoiamini. Kama vipi awe mkristo halafu alete hoja zake kisha tumpime kwa maandiko tubaini ukweli uko wapi, la sivyo ataonekana anafanya dhihaka na kukejeli imani ya kikristo
 
Nyie mna elimu au mnasoma makaratasi?
Yani chuki yenu ni kubwa sana nyie watu ndo mnavofundishwa huko makanisani ni mwendo wa mafundisho ya chuki tuuu
Nope,hakuna Mkristo anayemchukia raisi kisa dini yake naamini hata Muislam timamu kichwani hawezi kumchukia raisi Mkristo!!!

Mimi napingana nae,aliyoandika anajua mwenyewe alikoyatoa ila inapaswa wote tujue ishu siyo raisi Muislam the issue is huyo raisi bila kujali hizo dini anafanya nini kwenye hiyo taasisi?kingine kuwa mwanamke ndiyo kunazidi kuleta mkanganyiko.
 
Halafu wapo waislam wenzake hapa wanasema Wakristo ndiyo wachokozi kwamba wao siyo wachokozi kama hawakioni anachokifanya mwenzao.
 
Kobazi wengi wana udumavu wa akili unaosababishwa na ufugaji wa majini suluhu ya tatizo lao hilo ni kula nguruwe
Yesu ndani ya Kobazi
 

Attachments

  • Screenshot_20250627-203321.jpg
    242.4 KB · Views: 18
Yesu ndani ya Kobazi

Paulo ndani ya mjusi
 

Attachments

  • Screenshot_20250627-203321.jpg
    242.4 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250627-204510.jpg
    208.6 KB · Views: 17
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…