Je, ni halali Daktari wa kiume kumchoma sindano ya tako mgonjwa wa kike?

Nani anashida na mpenzi wako?,kama anataka kupona atachomwa,hayo matako yanathamani kwako sio kwetu sisi kwetu chenye thamani ni utengamavu wa afya yake,na ndio mana hata wakunga kuna wanawake na wanaume,mtibu mwenyewe kma vipi au tafuta madaktari wako,sisi tuna miiko yetu ya kazi ndio muongozo,utachomwa tu bro utake usitke,na demu wako atachomwa tu utake usitake,labd kama ahumwi
 
Mleta mada upo serious au unaleta komedi?

Sasa nikimhudumia mkeo/pisi yako sichomi tu sindano kwenye tyakko napima hadi oil yake(utelezi) ni haki yangu kushika kama daktari bingwa wa magonjwa ya wanawake.

Usituonee wivu kuwa tunafaidi kama nawe unapenda kasomee taaluma hii adhimu.
 
Mhala sana bhabhaa?

Nimekuuliza unajiskiaje mkeo au dada yako aachezewe sehemu yake ya siri wakati wa kumzalisha au kumshikashika matako wajati wa kudungwa injection!! Au huna mke wala dada n.k!!!
Sol de Mayo!!

Kwann unaona kama wanachezewa na kushikwashikwa sehemu za siri?

Ebu jaribu kuondoa fikra potovu ili uweze kuona kuwa mkeo, dada au mama wanatibiwa na si vinginevyo.
 
Aiseeee Elimu Elimu Elimu.

Kwenye ugonjwa kuna kuchagua wa kukutibu? Mbona wakunga wa kiume haujauliza kama ni halali?
 
Unawaza wakezetu kuchomwa sindano na manesi na madaktari wakiume

Je,wakezetu wanaojifungua na kuchezewa visimi vyao na madaktari wakiume wakati wakujifungua wawe kundilipi ?

Uwiano unaotaka wewe haiwezekani shukuru mkeo katoka salama
 
Unawaza wakezetu kuchomwa sindano na manesi na madaktari wakiume

Je,wakezetu wanaojifungua na kuchezewa visimi vyao na madaktari wakiume wakati wakujifungua wawe kundilipi ?

Uwiano unaotaka wewe haiwezekani shukuru mkeo katoka salama
Madaktari wanafaidi uchi wa mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…