Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Ila mambo mengine yanakera jamani, kwani wazazi wakiacha kuhangaika na ndoa za watoto wao watapungukiwa nini? Vipi kama huyo bi dada ndo angekua mtoto ake angemuambia mkwe wake amuache mwanaye kisa hazai?

Na hapo ukute mwanaume ndo anashida.
Ingekuwa kinyume chake kila siku angekuwa anawashauri wavumiliane tu hata yeye alichelewa kweli kuzaa [emoji3][emoji3]

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hapo na ndoa imekufa. Umpige mama mbele yangu. Its over.
Kwani yeye anaitaka ndoa ya hovyo namna hiyo? NI kwamba kamaliza kazi anafungasha mwenyewe, jamaa Kama bado anampenda mkewe atamfuata kwa muda wake, kaa mbali na wana ndoa huwezi amini wanaweza kurudiana na wakaishi kwa FURAHA tu ila.mama mke ndio hakanyagi tena pale watamtumia pesa ya matumizi akitaka apokee hataki aache [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwani yeye anaitaka ndoa ya hovyo namna hiyo? NI kwamba kamaliza kazi anafungasha mwenyewe, jamaa Kama bado anampenda mkewe atamfuata kwa muda wake, kaa mbali na wana ndoa huwezi amini wanaweza kurudiana na wakaishi kwa FURAHA tu ila.mama mke ndio hakanyagi tena pale watamtumia pesa ya matumizi akitaka apokee hataki aache [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣 Nimecheka Kweli aisee
 
Back
Top Bottom