Naomba nitoe elimu kuhusu wanadoa kuchelewa kupata ujauzito, sababu zifuatazo. Kwa sababu ilimtokea rafiki yangu wa tangu school.
Ipo hivi kuna sababu nyingi za kuchelewa kupata mtoto na zimegawanyika katika makundi,
Kundi A,
1. ulaji wa vyakula_ hapa tunazungunzia aina ya chakula ambacho yamkni husababisha mwanaume kuwa na bengu isiyoweza kurutubisha yai,
2.Mtindo wa maisha, _Mtindo wa maisha ni pale wakati unasex na mtu wako mda ule unatoa mbegu badara uachiemo kwa mda wa kama dakika 5 hivi wewe unachomoa uume au mwanamke anajipindua ,
Mtundo wa maisha hata utumiaji wa uzizi wa mpango kwa mda mrefu husababisha kizazi au damu kusogea nakutokwa tayari katika kupokea mtoto, hasa mwanamke kutumia uzazi wa mpango tangu akiwa mdogo kipindi cha school, Hili somo ni pana acha niishie hapa
Kundi B,
1.magonwa ya kurithi,_ hapa utakuta mtu anarithi ugumba kutoka kwenye ukoo ikiwa kati yao alikuwepo mtu mwenye tatizo hili
2.Group la damu, kama nyo mpo katika group moja la damu mfano grop O,
Aisee kupata mtoto huwa ni bahati sana,
Hiyo ni kwa uchache sana naomba niishie hapa
Ila rafiki angu alikaa kwa mda wa miaka 6 bila kupata mtoto mwaka wa 7 akapata mtoto wa kiume sasa hivi anao watoto 3, asingekuwa na roho ya uvumilivu basi angekuwa ashaachana na mke wake, ingawa ilifika pahara akataka kuchepuka ila tulimshauri sana madhara ya kuwa na mtoto nje ya ndoa