Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuishi na mama mkwehome yataka moyo
Na hapo ndipo yanaibuka mengi ya ovyo.Sheria za nchi haziruhusu kupiga mtu(kushambulia)
Mkuu unaweza Kuta wanaendeleza vizuuri. Sisi wanaume ni rahisi Sana kusahau endapo mwanamke akijishusha.Hakuna ndoa tena hapo.. Na hao wakwe viherehere hiyo ndio dawa yao
waende wakapime waone nani mwenye matatizoNi tukio limetokea jana jioni hapa uyole....Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito....Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo ....Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.
Ni mama mkwe ivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na mume kumwambia mama yake kuwa na subra.....Nadhani huyu mama aliona kelele za mbali hazifanyi kazi, akamwomba mwanae amtumie nauli aje awasalimie ivo akasafiri na tangu mwez wa 6 yupo pale nadhani alikuwa anataka ashuhudie tumbo likinyanyuka akiwa pale pale.....
Sasa kisa cha ugomvi ni nini?....Unaambiwa tangu afike ni kelele hizohizo, sasa jana binti kamfuma mama anamwambia mwanae " Au uoe mke mwingine mwanangu?" Binti hakutaka kupepesa akamrukia mama na kumpa mabanzi ya mashavu ya maana...Mama kizunguzungu chali...
Mwenye mama kaghadhibika kamrukia mke ...Kwanini unanipigia mama yangu wakati mimi nakuvumilia na maneno mengi mengi....Ndo ivo ugomvi ukawa ugomvi mpaka majirani kwenda kuamria.
🤣🤣🤣🤣UmetishaNa hapo ndipo yanaibuka mengi ya ovyo.
Sisi Kijijini kwetu miaka ya nyuma palikuwa na Baraza la kuwatandika wakorofi. Mtu hata kama ni mtu mzima na ana familia, akifanya ovyo mfano hatunzi watoto au mwizi anatandikwa mbele ya umma.
Ni aibu lakini ilirekebisha tabia.
"Many people are alive just because it is illegal to shoot them" John Wayne.
View attachment 2320826
Hakika umeongea ukweli mkuuWala! Inategemea na Akili ya mume.
Mume akiwa Smart mbona mnaishi tuu.
Mume awe na uwezo WA kumuambia Mama ukweli.
"Mama wewe sio mke wangu, mke wangu ni to yeye. Hii ni familia yangu. Mimi ndio mume na Mwanaume pekee humu ndani. Wote mtafuata Oda zangu. Baki kwenye nafasi yako kama Mama"
"to yeye wewe sio Mama yangu, wewe ni mke wangu. Wewe ndiye mama wa familia hii. Kabla sijakuoa nilikufundisha Kupenda Haki na uadilifu. Na nilikuoa baada ya kuthibitisha kuwa unaweza kutenda haki na sio vinginevyo. Mtendee haki Yeyote aliyekuwa humu ndani Kwa nafasi yake. Pia usikubali kuonewa na kunyamazia mambo ikiwa unaona hayaendi sawa"
Waambie kabisa nyumbani kuwa mtu yeyote ambaye hatatenda haki ATAONDOKA bila kujali nafasi yake.
Atakayeweza kufuata haki na sheria za hapo nyumbani atadumu Kwa Raha mustarehe.
Kuwa Mama hakukufanyi usifuate sheria na. Kutotenda haki katika nyumba yangu.
Kuwa Mke hakukufanyi usifuata niliyoyaagiza.
Huyu ni Mama yangu
Wewe ni mke wangu na Mama wa watoto wangu.
Kila mtu ananafasi kubwa katika maisha yangu. Lakini haimaanishi nafasi hiyo ndio mniletee ushetani katika nyumba yangu.
Waambie huwezi ishi na Shetani nyumba moja.
Be a Man, not like a man
Ukiona ndoa imekaa miaka yote hiyo na hakuna watoto wa inje basi ujue mwanaume ndio mwenye shida.Bora angewashauri hivo huenda angepona mama wa Watu, mimi ninachojua Watu hukaa hadi miaka 10 Ndio hupata au zaidi ya 10 Ndio hufanikiwa
Hapo hakuna ndoa Tena.Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.
Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na mume kumwambia mama yake kuwa na subra. Nadhani huyu mama aliona kelele za mbali hazifanyi kazi, akamwomba mwanae amtumie nauli aje awasalimie hivo akasafiri na tangu mwezi wa 6 yupo pale nadhani alikuwa anataka ashuhudie tumbo likinyanyuka akiwa pale pale.
Sasa kisa cha ugomvi ni nini? Unaambiwa tangu afike ni kelele hizohizo, sasa jana binti kamfuma mama anamwambia mwanae "Au uoe mke mwingine mwanangu?" Binti hakutaka kupepesa akamrukia mama na kumpa mabanzi ya mashavu ya maana. Mama kizunguzungu chali.
Mwenye mama kaghadhibika kamrukia mke. Kwanini unanipigia mama yangu wakati mimi nakuvumilia na maneno mengi mengi. Ndio hivo ugomvi ukawa ugomvi mpaka majirani kwenda kuamria.
Ukiona ndoa imekaa miaka yote hiyo na hakuna watoto wa inje basi ujue mwanaume ndio mwenye shida.
Upo sawa kabisa. Suala la mtoto ni suala la pana. Ila kibongo bongo tulishakariri kuwa mwanamke ndio ana shida siku zote.Ila mambo mengine yanakera jamani, kwani wazazi wakiacha kuhangaika na ndoa za watoto wao watapungukiwa nini? Vipi kama huyo bi dada ndio angekua mtoto wake angemuambia mkwe wake amuache mwanaye kisa hazai?
Na hapo ukute mwanaume ndio anashida.
Sana,wanataka unaemwoa wampende wao kwanzaUpo sawa kabisa. Suala la mtoto ni suala la pana. Ila kibongo bongo tulishakariri kuwa mwanamke ndio ana shida siku zote.
Aisee mimi hata angekua mama angu kashakula mabanzi mawili matatu ningeamua ugomvi nikaulia kimyaaa. Wazazi na ndugu wa kibongo ni wazuri sana kuvunja ndoa za watum