The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Ha haa haHakuna ndoa tena hapo. Na hao wakwe viherehere hiyo ndio dawa yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha haa haHakuna ndoa tena hapo. Na hao wakwe viherehere hiyo ndio dawa yao
Weee,hapana hapana mkuu
Aisee😥Wapo wanaume ninaowafahamu Kwa undani, wake zao wanamatatizo ya uzazi, huu mwaka wa 15 hawana watoto lakini wanaume hawajafika nje kuzaa nje.
Tena uzazi ni ule wa mimba inanasa lakini inatoka. Kumaanisha Mwanaume anatungisha Mimba.
Shida ya mwanamke ni homonni imbalance Hali iñayopelekea mimba kuchomoka ingawaje kitaalam wanasema sababu za miscarriage Kwa kiasi kikubwa ni unknown
Mdomo ukamponza🤣Wamama bwana kukaa kushupalia ndoa za watoto ya Nini alidhani Kuna mwanandoa asiyependa watoto Ni changamoto tu zinasumbua iliyakiwa yy ndio awe mfariji kitendo Cha mama kumshauri kijana aoe mwingine ulikuwa Ni uvunjifu wa amani ndani ya wanandoa,ona mwisho binti wa watu kashindwa kuzuia hisia zake haya maisha acheni tu inabidi tumuombe sn Mungu atupe busara
Amuongeze kelbu mbili kwa heshima yanguNi tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.
Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na mume kumwambia mama yake kuwa na subra. Nadhani huyu mama aliona kelele za mbali hazifanyi kazi, akamwomba mwanae amtumie nauli aje awasalimie hivo akasafiri na tangu mwezi wa 6 yupo pale nadhani alikuwa anataka ashuhudie tumbo likinyanyuka akiwa pale pale.
Sasa kisa cha ugomvi ni nini? Unaambiwa tangu afike ni kelele hizohizo, sasa jana binti kamfuma mama anamwambia mwanae "Au uoe mke mwingine mwanangu?" Binti hakutaka kupepesa akamrukia mama na kumpa mabanzi ya mashavu ya maana. Mama kizunguzungu chali.
Mwenye mama kaghadhibika kamrukia mke. Kwanini unanipigia mama yangu wakati mimi nakuvumilia na maneno mengi mengi. Ndio hivo ugomvi ukawa ugomvi mpaka majirani kwenda kuamria.
Aisee😥
Wewe ivi unajua baathi ya mama wakwe wewe?au unaongea tu?apo usikute Binti yamemfika shingoni ,Kuna mama wakwe wengine wanagubu balaa usiombe .......vitu vingine away wamama wanajitakia kwa kweli...In whatever situation, hata kama mama mkwe amekunyea kumpiga ni laana, its a curse..
Kama wameona hawapeani mimba basi kila mtu ashike njia yake, jibu litapatikana baada ya mwaka ni nani mwenye tatizo.
Asante Kwa nenoMwanamke akikosa mtoto ndio anasumbuka zaidi ya mwanaume.
Mwanamke tuu hata sio tasa lakini akifikisha umri wa miaka 30 Hana mtoto anapasuka kichwa.
Lakini wanaume wapo mpaka wenye age ya 35 humu na hawana hata mtoto mmoja na hawawazi.
Ukitaka ujue mwanamke suala la mtoto linamgusa moja Kwa moja zaidi ya mwanaume angalia Visa hivi
1. Ibrahimu Vs Sara.
Sara alikuwa hatulii mpaka akaona amshauri Ibrahim amuingilie Hajiri mjakazi wake. Lakini Ibrahim presha yake ilikuwa ni ndogo.
Sarah alikuja kutulia alivyomzaa Isaka.
Alitangulia kufa mapema kabla ya Ibrahimu
2. Yakobo Vs Raheli
Raheli alikuwa Hana Amani licha ya Mumewe Yakobo kumsihi na kumtuliza lakini wapi.
Zingatia, Yakobo alikuwa na Wake wawili. Raheli na Leah.
Raheli ndiye alikuwa anatatizo la uzazi.
Alikuja kutulia baada ya kumzaa Yusufu.
Raheli aliwahi kufa kabla ya Yakobo na Dada yake Leah ambaye ni mke mwenza
3 Elikana Vs Hana
Hana mpaka anamzaa Nabii Samweli chamoto alikipata. Alikuwa Kama kichaa.
Licha ya Elikana mumewe kumtuliza kadiri ya alivyoweza lakini Moyo wa Hana haukutulia mpaka alipompata Samweli
Pia Elikana alikuwa na Wake wawili, Ambao ni Penina na Hana.
Hana ndiye alikuwa na shida ya uzazi.
Sheria za nchi haziruhusu kupiga mtu(kushambulia)