Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

Wakati mwingine ni rahisi sana kumlaumu huyo mwanamke japo sitetei alichokifanya. Mnajua lakini kero za wakwe? Atakua ameshavumilia mengi sana, hii Leo ya kusikia Mme anaambiwa aoe Mke mwingine akaona isiwe shida. Na hapo tumepewa very light version ya alichosema Mama mkwe, utajuta kaongeza vitu vigumu sana.

Binafsi mambo yangu na Mke ni yetu, tutashirikisha wengine kama imebidi na Kuna ulazima. Lakini inaonekana Kuna namna huyo mwanaume ana kamisheni yake ya lawama pia, Kuna namna amerihusu au ameshughulika na hili jambo Kwa namna ya kumtweza Mke wake, isingekua hivyo asingesikiliza Wala kuacha nafasi ya Mama kutoa ushauri wa aina hiyo.
 
Wana maneno makali mno,sema kumpiga angevunga
 
Kuna vitu flani siwezi kuvumilia. Mimi mvumilivu sana nijisifie tu hata mtu akibisha. Ila kuna siku bangi zangu zililipuka mama mkwe hakuamini alichokisikia kutoka kinywani mwangu...sasa hivi anakuja kwa step, na staki mazoea.
Yeah, inabidi kuwe na kias
 
Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole....Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito....Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo ....Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.
Busara itawale. Ukighadhabishwa na mama wa mtu unapaswa utulie.Kunyamaza tu ili baadaye aongee na mumewe kulimshinda nini?
 
Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole....Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito....Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo ....Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika.
Hapo tatizo siyo mke wala ugumba wake. Tatizo ni huyo mume kuruhusu insults dhidi ya ubavu wake. Hivi walienda hospitali kujua tatizo nini au wanategemea sangoma awapime?

Pia mume kuruhusu insults dhidi ya mkewe ni dalili yeye bado ni mvulana hajafikia kuwa mwanaume mwenye kusogelea daraja la mume
 
Yeah,inabidi kuwe na kias
Na hiyo issue hakumwambia mtoto wake hadi Leo zaidi ya mwaka umepita maana alijua mwenye makosa ni yeye.
Na wifi yangu alikuwepo na wengine pia..hakuna aliyethubutu kumwambia Mr.
Ningekuwa nimefanya kosa mimi siku ile ile angepewa taarifa.
 
Hapo tatizo siyo mke wala ugumba wake.
Tatizo ni huyo mume kuruhusu insults dhidi ya ubavu wake. Hivi walienda hospitali kujua tatizo nini au wanategemea sangoma awapime?

Pia mume kuruhusu insults dhidi ya mkewe ni dalili yeye bado ni mvulana hajafikia kuwa mwanaume mwenye kusogelea daraja la mume
Nahisi mama alikuwa na mamlaka zaidi kwenye maamuzi ya mwanae
 
Na hiyo issue hakumwambia mtoto wake hadi Leo zaidi ya mwaka umepita maana alijua mwenye makosa ni yeye.
Na wifi yangu alikuwepo na wengine pia..hakuna aliyethubutu kumwambia Mr.
Ningekuwa nimefanya kosa mimi siku ile ile angepewa taarifa.
Yeah sure, they learned something 🤜
 
Yeah sure,nahisi alivumilia mengi Jana alishindwa
Aache upuuzi.Kama mumewe hana shida yeye anajikasirisha nini?Au mayai alikaangia chipsi?Kama anaona anaweza kutatua hilo jambo si azae mtoto?Mambo mengine hayataki ujuaji.Anatakiwa aishi kwa akili hata jamii itamtetea bila kujali kasoro iko wapi.Utulivu!
 
Back
Top Bottom