Asalamaleko
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 2,699
- 7,726
Muwe mna wagonga wakifa faini ni 50k tu road accident haina kifungo jela... Hakuna faini ya 30k ukiwa huna sticker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumewalea hawa wadudu kwa ujinga wetu.Hata kama nina kila kitu bora nitoe elf tano kwa sababu kuu 3.
1. Siwezi ingia kwenye rariba yao ya kazi nitumie dk 10/15 tunajadiliana ilihali wao wapo kazini kwao hawana cha kupoteza na anayepoteza muda ni mimi.
2. Sheria inamruhusu kukukagua sio hapo tu, anaruhusiwa pia kupeleka gari kituoni iwapo anaona kuna tatizo, huwezi mshinda askari akiwa kwenye majukumu yake na ukifanikiwa siku utaimaliza kwenye hiyo shughuli.
3. Mwisho wa kubishana na askari huishia na faini tu, mara chache sana utatoka bila faini. Sasa kwanini nipoteze muda kupewa elfu thelathini? Si nampa chap elf tano tu mtanganyika mwenzangu huyu mwenye viatu vinavyotakiwa kubrashiwa tunatabasamu mambo yanaendelea.
Wapo kisheria boss. Kama ni lawama ziende bungeni na serikalini.Tumewalea hawa wadudu kwa ujinga wetu.
Tunajifanya kuokoa muda siku moja ili tuteseke sisi na vizazi vyetu.
Siwapendi Trafiki sababu wapo wengi mno barabarani na hatuna utaratibu maalum wa ukaguzi, hii inasababisha kukaguliwa hapa na kusimamishwa tena pale kwa ukaguzi siku hiyo hiyo ila tatizo halipo kwao lipo kwenye mfumo wetu unaowaruhusu wao kuwepo barabarani kwa huo mtindo.Huwezi amini kwangu mimi hasa maeneo ninayopita kila mara asilimia 70 wamenielewa msimamo wangu na hawanisimamishi hovyo...akinidimamisha sio kudumbua labda atsomba ndg...leo niko vibaya nisaidie ya chai.
Sio kwamba najitutumua hapa ...hapana niko very serious na hili...niko tayari tusumbuane saa 1 leo kwa ukombozi wa siku zijazo.
Mkuu, Trafiki huwa wanabadilishwa maeneo baada ya kipindi halafu pia huwezi endesha gari mitaa ya kwenu tu lazima tu utatoka maeneo mengine ya wilaya au mkoa.Ni wajinga wachache ambao bado hawajanielewa katika barabara yangu ya kila siku.
Wananiita mtata..na nitakuwa mtata wa wajinga siku zote.
Najua nisemalo mkuu.Wapo kisheria boss. Kama ni lawama ziende bungeni na serikalini.
Siwapendi Trafiki sababu wapo wengi mno barabarani na hatuna utaratibu maalum wa ukaguzi, hii inasababisha kukaguliwa hapa na kusimamishwa tena pale kwa ukaguzi siku hiyo hiyo ila tatizo halipo kwao lipo kwenye mfumo wetu unaowaruhusu wao kuwepo barabarani kwa huo mtindo.
Hakuna ukombozi wowote utakaouleta mkuu kwa kugombana na Trafiki lisaa lizima. Ukombozi unapatikana kwenye sheria zetu. Sasa yeye akienda kwenye sheria anakulima faini ukapambane nayo baada ya kugombana naye lisaa lizima.
Mkuu, Trafiki huwa wanabadilishwa maeneo baada ya kipindi halafu pia huwezi endesha gari mitaa ya kwenu tu lazima tu utatoka maeneo mengine ya wilaya au mkoa.
Umeona mkuu, kama unasafiri hawakwepeki.Najua nisemalo mkuu.
Mfano mzuri barabara yangu ya kila siku nimezoeleka hivyo karibu mwaka mzima huwa sikaguliwi hovyo.
Pili...ni kweli lazima nisafiri, hata hivyo mimi ni mtu wa kusafiri sana kutokana na nature ya kazi yangu.
Upo sawa.Huko huwa nina silaha nyingi za kupambana kama hivi:
1. Upole hii silaha ya kwanza.
Namsikiliza anachotaka, nami nachagua neno la kiungwana la kumjibu.
2. Kutumia sheria za barabarani.
Kwa mfano nimesahau leseni analazimisha anipige faini..hapa natumia sheria isemayo...nina haki ya kuleta leseni ndani ya saa 72.
3. Nikikutana na mbabe asiyesikilizs hapa nina silaha zangu....( hii huwa haishindwi....nikilazimika huwa nampandia juu, yaani kwa wakubwa zake ambapo kamwe hawezi kujinasua hasa ikiwa hayuko sahihi)
Mwisho...nikiwa na kosa huwa ninakubali kuwajibika lakini sio kuonewa
Mkuu uko kama Mimi,ni mwendo wa Tano elfu tu,trafiki anakagua Hela siyo gari,km uliweza kununua gari, wape trafiki elfu Tano acha ubahiliHata kama nina kila kitu bora nitoe elf tano kwa sababu kuu 3.
1. Siwezi ingia kwenye rariba yao ya kazi nitumie dk 10/15 tunajadiliana ilihali wao wapo kazini kwao hawana cha kupoteza na anayepoteza muda ni mimi.
2. Sheria inamruhusu kukukagua sio hapo tu, anaruhusiwa pia kupeleka gari kituoni iwapo anaona kuna tatizo, huwezi mshinda askari akiwa kwenye majukumu yake na ukifanikiwa siku utaimaliza kwenye hiyo shughuli.
3. Mwisho wa kubishana na askari huishia na faini tu, mara chache sana utatoka bila faini. Sasa kwanini nipoteze muda kupewa elfu thelathini? Si nampa chap elf tano tu mtanganyika mwenzangu huyu mwenye viatu vinavyotakiwa kubrashiwa tunatabasamu mambo yanaendelea.
HahahaMkuu uko kama Mimi,ni mwendo wa Tano elfu tu,trafiki anakagua Hela siyo gari,km uliweza kununua gari, wape trafiki elfu Tano acha ubahili
Kwa sasa sticker ni Tsh 5000 mkuu na sio Tsh 3000 tenaUkienda kulipia hiyo sticker wape Tsh 5000 badala ya Tsh 3000 iliyopo kwenye sticker
Da nchi yangu na watu wake. Hivi hakuna tiba ya kumaliza huu ugonjwa badala yake unaelekeza atumie vidonge vya kuendeleza siku za kuishi ukikamuliwa kipato.Mimi nilikutana na mkasa kama wako mkoani LINDI maana kila idara nilikuwa nimekamilika wakaja kunidaka kwenye sticker lkn mwisho wa picha nillipa Tu tena haikuwa na shida yeyote kwasababu nilitoa Tsh 5000 badala ya 3000.
Huyo jamaa amekuonea Tu Kwa kuandika kosa la faini, sometimes ukikutana nao hao jamaa jitahid kujishusha Tu mbele yake ili maisha yaende
Dah! Pole sana. Mimi natakiwa kulipa elfu 30 ya faini, na bado natakiwa tena kwenda kituo cha polisi kumlamba miguu VECO ili aniuzie hiyo sticker!!Kuna siku nilienda kununua hio sticker aisee VECO anajivuuuta mixer kusema hizo sticker hazipo ZIMEISHA ikabidi NIJIONGEZE kama mTanzania mzalendo mkono wangu ukazama mfukoni ndani kdg ndo akanipatia kumbuka hapo nishaliwaga vi buku 5 5 nyingi tu na mapoti mbalimbali pale road😀😀😀😀😀
Na hapa ndipo kwenye tatizo. Unalazimishwa uwe na sticker isiyo na faida yoyote ile. Kisa tu mapato na rushwa vipatikane.Wamebuni chanzo cha mapato tu, maana hakuna ukaguzi ni mwendo wa kutoa hela maji unaletewa stika nyumbani
Kwa hiyo Comrade ingewezekana kweli wa wananchi wote wa nchi hii kuhudhuria hiyo wiki ya nenda kwa usalama, ili kupata hizo sticker? Nchi kubwa sana hii!Sawa wanakosea lakini mbona wakati wa mwanzo wa wiki ya nenda kwa usalama zilikua nyingi tu na zinapatikana kwa urahisi.
Ona sasa! Mambo gani haya!! Polisi wa nchi hii ni viumbe wenye roho mbaya sana. Halafu siyo waelewa hata kwenye mambo ya kawaida kabisa.Hapa umenikumbusha machungu niliyopitia wiki iliyopita. Nimetoka umbali wa takribani km 40 kwenda kituo cha Polisi kwa ajili ya kupewa hiyo sticker. Nilipofika nikaambiwa huyo Vehicle Inspector yupo na wanafunzi wa udereva. Nikamfuata kumuomba anisaidie niweze kupata hiyo sticker kwani nina safari ya kwenda kumuona mgonjwa. Nilijibiwa kuwa yupo na wanafunzi kuwa hawezi kunitolea control number kwa wakati huo hivyo nimsubirie hadi saa sita akimaliza. Kwa kuwa nilikuwa nasubiriwa nikasema hapa nikiendelea kusubiri itakuwa siyo sawa. Nikaondoka kwenda kwenye hiyo safari. Wakati narudi nikasimamishwa na askari wa usalama barabafani. Nikamueleaza vizuri tu kuwa sikuvunja sheria bali Vehicle alikuwa na majukumu mengine akashindwa kunihudumia. Basi nikaona hataki kunielewa baada ya mabishano ya muda mrefu akaniandikia faini. Nilipofika kwa Vehicle hata sikutaka kuongelea hilo suala kwa sababu nimeshaandikiwa na pengine ni dhumuni lilitakiwa kutimia. Namshukuru Mungu nimeshalipa hiyo faini japo iliniumiza kwa kweli naona nimeonewa kwa sababu nilifuata taratibu zote za kufikisha gari kukaguliwa kabla ya safari.
Na hata mimi pia nimepigwa faini hiyo hiyo kwa kukosa hiyo sticker! Je, kuna ulazima wa wamiliki wa magari kulazimishwa kuwa na hizo sticker na wakati ukija kwenye uhalisia hakuna ukaguzi wowote ule unaofanywa kwenye magari yetu? Huu si wizi wa mchana kabisa!Faini za makosa barabarani kwa gari linaanza Tsh 30,000.
Ni kweli ila kwa Nchi mfano Tanzania kila kitu ni fursa hapo washaifanya kua ni fursa kwao.Kwa hiyo Comrade ingewezekana kweli wa wananchi wote wa nchi hii kuhudhuria hiyo wiki ya nenda kwa usalama, ili kupata hizo sticker? Nchi kubwa sana hii!
Sisi wengine tunaishi vijijini na tuna majukumu mengi. Hivyo siyo rahisi kusafiri kwenda mjini kuhudhuria hiyo wiki. Mimi nashauri askari waendelee kuwa nazo barabarani. Na kama nitasafiri na gari langu, alikague! Akiona lina sifa anipe hiyo sticker! Na siyo kuviziana na kupigana faini za kipuuzi.
Shida iliyopo, mimi nipo kijijini Comrade. Sasa nilipata safari ya kwenda Mkoa mwingine. Nikajiandaa kwa kila kitu. Kuanzia Bima, nk. Hayo mambo ya sticker ni mpaka uende kwa VECO ngazi ya kuanzia Wilaya huko! Jambo ambalo linatuwia vigumu kwa sisi watu wa pembezoni.Sticker za nenda kwa usalama ni mradi wa wakubwa kupiga pesa ndefu sana.
Kuna msela Arusha huwa hakosi sticker kama 30,000 kwa mwaka mzima zipo tu na hukusanya 5,000 kwa kila sticker.
Anakwambia huo ni mradi wa namba wani wao nk.
Tate Mkuu umeanza kumiliki gari mwaka huu mkulungwa?
Mbona huu mradi ni wa miaka na miaka?
Kibaya zaidi hawakagui magari wanauza sticker kiholela tu.