Je, ni halali kwa askari wa usalama barabarani kuwatoza wananchi faini ya 30,000/= kwa kutokuwa na sticker za nenda kwa usalama?

Pole.
Utaratibu ni huu, ukiwa na safari pamoja na ile pesa ya mafuta kuwa na pesa ya kubrash viatu.
Halafu nilimpa! Eti akagoma. Sijui kuna wakati huwa wanapewa maelekezo ya kuhakikisha wanakusanya mapato kiasi fulani kwa siku/wiki/mwezi!! Maana kwenye hii nchi ukimiliki gari unageuzwa kuwa ng'ombe wa maziwa.
 
Reactions: Tsh
Haya mambo ya sticker hayana tija,nani anataka kuendesha gari bovu?Wafute kabisa.
Sahihi kabisa. Hizi sticker za nenda kwa usalama ni wizi wa mchana. Eti usipokuwa nayo unatozwa kirahisi tu faini ya elfu 30! Na hata waliokuwa nazo, sidhani kama mtu alishawahi kukaguliwa gari lake.
 
Yafanyike maandamano
 
Siafu akiingia ndani ya nyumba, hata kama ni safi sana, ni lazima atoke na kitu. Badala ya kukupongeza kwa kuzingatia karibu kanuni zote anakupachika faini, hapo angekupa tu elimu kuhusu hilo kosa.
 
Halafu nilimpa! Eti akagoma. Sijui kuna wakati huwa wanapewa maelekezo ya kuhakikisha wanakusanya mapato kiasi fulani kwa siku/wiki/mwezi!! Maana kwenye hii nchi ukimiliki gari unageuzwa kuwa ng'ombe wa maziwa.
Yaa, huenda hajameet target. Inawezekana makosa hupangiwa bajeti kuwa yafanyike kwa kiwango gani.
 
Kwa hiyo wewe unahisi ukijishusha ndio maisha yanaenda? Wengine hawapo hivyo
 
Ka Ina risiti hakuna shida kama haina umeisha
 
Siafu akiingia ndani ya nyumba, hata kama ni safi sana, ni lazima atoke na kitu. Badala ya kukupongeza kwa kuzingatia karibu kanuni zote anakupachika faini, hapo angekupa tu elimu kuhusu hilo kosa.
Nadhani Shida ya polisi wetu walio wengi ipo kwenye kipengele cha uelewa. Imagine nilijitahidi kumuomba utaratibu wa namna ya kuipata hiyo sticker yao ili kuepukana na usumbufu; hata hakujali kunielewesha! Badala yake alikomaa tu na kuandika faini.
 
Hawatembei nazo siku hizi hadi uende kwa "VECO"?
Siku hizi nasikia ni mpaka kwa huyo Veco, na unapatiwa na control number. Yaani ni kama kamradi fulani hivi ndani ya jeshi la polisi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…