Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history.

Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi masikini as always as my ass . Kaguta Still believes he has a vision of a new Uganda… that is crazy !

Kagame yupo madarakani tangu miaka ya 90 na for sure atafia madarakani . Rwanda ni moja ya mkoa masikini kama mikoa mingine ya Africa.

Tabia ya viongozi wa africa kuamini kwamba wanapaswa kuongoza wao kwa sababu wengine wataharibu ni aina nyingine ya Ufisadi, wizi Na ujinga uliokithiri.

Ni. Nini kinafichwa nyuma ya pazia !??!

Wizi ufisadi na ukiritimba.?

Kwangu mm mbowe kuendelea kugombea uenyekiti huku kuna vijana wenye uwezo ni kukosa MAONO kama kiongozi mwenye vision, aidha… hapaswi kuwa MFANO kwa jamii ya vijana.

Kama Over 20 years unashindwa kuandaa vijana kuwa warithi….. then Mbowe na Chadema yake inakosa UHALALI wa kuaminika kama chama cha kuigomboa nchi.

Pamoja na yote: kwangu CCM itabaki kuwa ni chama cha mfano, they have a DISCIPLINE ambayo tunapaswa kuiheshimu, miaka 10 , kiongozi unakaa kando.

, tunataka kuipa nchi upinzani? Lakini je….ni upinzani ipi ? Wa Zitto ? Mbowe ? hashimu…… hamna kitu

À day upinzani mnakuja kujielewa….. tunawapa nchi straightforward.

Nilitamani kuona Lissu anasimama na mtu mwingine tofauti na mbowe !

Bado napata maswali magumu!

Ni nini kipo nyuma ya pazia ya uenyekiti wa chadema?

Ni nini? Ni nini ?

Sina hofu na uwezo wa Lissu…. Ni one of those guys ambao taifa linawahitaji
Very smart guy , sio muoga, confidence ipo juu na ni msomi

Magufuli amekufa hajawai kutamka neno LISSU kwenye maisha yake yote ya urais….Lissu is a walk to remember….upinzani wa lissu hauna shaka ndani yake hata chembe

Hivyo basi? Huu mchakato wa sasa ni game changer….. utafukunyua mambo yote;

. Chadema ni chama Chetu sisi wanafamilia ! ?

Kuna nini kwenye uenyekiti ? Kuna asali gani ambayo wengine hawapaswi kuilamba?

Zitto alijaribu akazushiwa ni snitch….ni muda saaa tuone ukweli , tunajua Lissu sio snitch .. Lissu ni pure MPINZANI
zaidi ya mbowe…. Kwangu Mnyika na lissu hawa ndio wapinzani khasa zaidi ndani ya Chadema

Kwa sisi watu wa Canada, tunafuatilia mchakato kwa karibu na tunatamani kuona sura mpya kwenye uenyekiti kama ilivyo kwa wenzetu CCM .Mbowe kaanza na Ben, kaja JK , kaja JPM, na sasa yupo na Samia….. this is a bread of shame and we can’t proud of that

Dr Megalodon,
WHO Regional Office, Ottawa, Canada
 
Nchi ilishamshinda. Umasikini wa Tanzania chanzo ni Mwalimu

Hawa Tanzania unaowaona sasa ni zao
La mwalimu

Katiba ya Mchongo ni zao la mwalimu, worst part
Mbowe chadema imemshinda but bado anataka

Mseveni mpaka anatembea na balakoa tu nchi imemshinda kabisa

Kagame the same

Hawa hawajang'atuka Kama Nyerere

Kuwajibika ni Jambo ambalo baba wa Taifa alilifanya kwa vitendo!!
 
Mbowe chadema imemshinda but bado anataka

Mseveni mpaka anatembea na balakoa tu nchi imemshinda kabisa

Kagame the same

Hawa hawajangatuka Kama Nyerere

Kuwajibika ni Jambo ambalo baba wa Taifa alilifanya kwa vitendo!!
Sawa, Nyerere atleast ali admit baada ya kuona he has nothing to offer kuleta mabadiliko ….. this I accept

As for Mbowe, ni worst part hawezi kuwa responsible

Waje kutuambia Tena Lissu ni snitch tuone

Mbowe is not smart guy….. a smart guy angekuwa amekaa nje muda na
Angebaki mwenyekiti wa heshima na kamanda in chief kwenye mambo ya chama

As for now , ni failure na amefeli
No respect
 
Kama Museveni aliingia madarakani ukiwa hujazaliwa unawezaje kumzungumzia Nyerere.
Kagame mtoe hapo ile ni akili kubwa sio kilaza kama hao maraisi wenu..nenda Kigali ukashuhudie.

Nyerere ndio chanzo kikuu cha haya matatizo yote ya watanzania ka kutuachia hii katiba na hawa watu wakijani.

Wapinzani wa kweli pale Chadema ni Lisu na Heche basi.
 
Magufuli Samia ni zao la Mwalimu

Worst part
 
Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history.

Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi masikini as always as my ass . Kaguta Still believes he has a vision of a new Uganda… that is crazy !

Kagame yupo madarakani tangu miaka ya 90 na for sure atafia madarakani . Rwanda ni moja ya mkoa masikini kama mikoa mingine ya Africa.

Tabia ya viongozi wa africa kuamini kwamba wanapaswa kuongoza wao kwa sababu wengine wataharibu ni aina nyingine ya Ufisadi, wizi Na ujinga uliokithiri.

Ni. Nini kinafichwa nyuma ya pazia !??!

Wizi ufisadi na ukiritimba.?

Kwangu mm mbowe kuendelea kugombea uenyekiti huku kuna vijana wenye uwezo ni kukosa MAONO kama kiongozi mwenye vision, aidha… hapaswi kuwa MFANO kwa jamii ya vijana.

Kama Over 20 years unashindwa kuandaa vijana kuwa warithi….. then Mbowe na Chadema yake inakosa UHALALI wa kuaminika kama chama cha kuigomboa nchi.

Pamoja na yote: kwangu CCM itabaki kuwa ni chama cha mfano, they have a DISCIPLINE ambayo tunapaswa kuiheshimu, miaka 10 , kiongozi unakaa kando.

, tunataka kuipa nchi upinzani? Lakini je….ni upinzani ipi ? Wa Zitto ? Mbowe ? hashimu…… hamna kitu

À day upinzani mnakuja kujielewa….. tunawapa nchi straightforward.

Nilitamani kuona Lissu anasimama na mtu mwingine tofauti na mbowe !

Bado napata maswali magumu!

Ni nini kipo nyuma ya pazia ya uenyekiti wa chadema?

Ni nini? Ni nini ?

Sina hofu na uwezo wa Lissu…. Ni one of those guys ambao taifa linawahitaji
Very smart guy , sio muoga, confidence ipo juu na ni msomi

Magufuli amekufa hajawai kutamka neno LISSU kwenye maisha yake yote ya urais….Lissu is a walk to remember….upinzani wa lissu hauna shaka ndani yake hata chembe

Hivyo basi? Huu mchakato wa sasa ni game changer….. utafukunyua mambo yote;

. Chadema ni chama Chetu sisi wanafamilia ! ?

Kuna nini kwenye uenyekiti ? Kuna asali gani ambayo wengine hawapaswi kuilamba?

Zitto alijaribu akazushiwa ni snitch….ni muda saaa tuone ukweli , tunajua Lissu sio snitch .. Lissu ni pure MPINZANI
zaidi ya mbowe…. Kwangu Mnyika na lissu hawa ndio wapinzani khasa zaidi ndani ya Chadema

Kwa sisi watu wa Canada, tunafuatilia mchakato kwa karibu na tunatamani kuona sura mpya kwenye uenyekiti kama ilivyo kwa wenzetu CCM .Mbowe kaanza na Ben, kaja JK , kaja JPM, na sasa yupo na Samia….. this is a bread of shame and we can’t proud of that

Dr Megalodon,
WHO Regional Office, Ottawa, Canada
Mbowe ni Mbowe na hao uliowaorodhesha ni wao.
 
Back
Top Bottom