Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia…
Hizi bangi nyingine zinazo wavuruga akili zitakuwa siyo za kawaida. Pengine kuna zaidi ya bangi zenyewe zinazo weza kuwaharibu akili kiasi hiki.

Ukija hapa na kusema unao "uhuru" wa kifikra; usisahau nilio nao mimi pia wa kujibu takataka kama hizi.
 
Kagame mtoe hapo ile ni akili kubwa sio kilaza kama hao maraisi wenu..nenda Kigali ukashuhudie.

Nyerere ndio chanzo kikuu cha haya matatizo yote ya watanzania ka kutuachia hii katiba na hawa watu wakijani.

Wapinzani wa kweli pale Chadema ni Lisu na Heche basi.
Yes, Kagame smart sana naona. Labda kwenye haki za binadamu na demokrasia amefeli.
 
Dr Megalodon,
WHO Regional Office, Ottawa, Canada
Duh!
Kumbe ni wewe, mwenye ile mada ya marehemu Faustine?
Naona uwepo wako huko majuu haukusaidii chochote katika kukuza uwezo wa fikra zako.
 
Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history.

Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi masikini as always as my ass . Kaguta Still believes he has a vision of a new Uganda… that is crazy !

Kagame yupo madarakani tangu miaka ya 90 na for sure atafia madarakani . Rwanda ni moja ya mkoa masikini kama mikoa mingine ya Africa.

Tabia ya viongozi wa africa kuamini kwamba wanapaswa kuongoza wao kwa sababu wengine wataharibu ni aina nyingine ya Ufisadi, wizi Na ujinga uliokithiri.

Ni. Nini kinafichwa nyuma ya pazia !??!

Wizi ufisadi na ukiritimba.?

Kwangu mm mbowe kuendelea kugombea uenyekiti huku kuna vijana wenye uwezo ni kukosa MAONO kama kiongozi mwenye vision, aidha… hapaswi kuwa MFANO kwa jamii ya vijana.

Kama Over 20 years unashindwa kuandaa vijana kuwa warithi….. then Mbowe na Chadema yake inakosa UHALALI wa kuaminika kama chama cha kuigomboa nchi.

Pamoja na yote: kwangu CCM itabaki kuwa ni chama cha mfano, they have a DISCIPLINE ambayo tunapaswa kuiheshimu, miaka 10 , kiongozi unakaa kando.

, tunataka kuipa nchi upinzani? Lakini je….ni upinzani ipi ? Wa Zitto ? Mbowe ? hashimu…… hamna kitu

À day upinzani mnakuja kujielewa….. tunawapa nchi straightforward.

Nilitamani kuona Lissu anasimama na mtu mwingine tofauti na mbowe !

Bado napata maswali magumu!

Ni nini kipo nyuma ya pazia ya uenyekiti wa chadema?

Ni nini? Ni nini ?

Sina hofu na uwezo wa Lissu…. Ni one of those guys ambao taifa linawahitaji
Very smart guy , sio muoga, confidence ipo juu na ni msomi

Magufuli amekufa hajawai kutamka neno LISSU kwenye maisha yake yote ya urais….Lissu is a walk to remember….upinzani wa lissu hauna shaka ndani yake hata chembe

Hivyo basi? Huu mchakato wa sasa ni game changer….. utafukunyua mambo yote;

. Chadema ni chama Chetu sisi wanafamilia ! ?

Kuna nini kwenye uenyekiti ? Kuna asali gani ambayo wengine hawapaswi kuilamba?

Zitto alijaribu akazushiwa ni snitch….ni muda saaa tuone ukweli , tunajua Lissu sio snitch .. Lissu ni pure MPINZANI
zaidi ya mbowe…. Kwangu Mnyika na lissu hawa ndio wapinzani khasa zaidi ndani ya Chadema

Kwa sisi watu wa Canada, tunafuatilia mchakato kwa karibu na tunatamani kuona sura mpya kwenye uenyekiti kama ilivyo kwa wenzetu CCM .Mbowe kaanza na Ben, kaja JK , kaja JPM, na sasa yupo na Samia….. this is a bread of shame and we can’t proud of that

Dr Megalodon,
WHO Regional Office, Ottawa, Canada
Mbowe kaongoza nchi gani weekend bwege?

Don’t compare baba ndubwi na viongozi wa nchi
 
Kwanini unasema Magufuli mpaka anakufa hakulitaja jina la Lissu?
Nakumbuka baadhi ya matukio
Na sio kwa ubishi bali jaribu kukumbuka tu
 
Umechelewa sana
Hapana nipo na time. I am 36 nipo kwenye prime age na muziki nimeshaupatia.

Kilichonichelewesha kutoboa before 25 yrs old ni Utumishi wa Umma
 
Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history.

Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi masikini as always as my ass . Kaguta Still believes he has a vision of a new Uganda… that is crazy !

Kagame yupo madarakani tangu miaka ya 90 na for sure atafia madarakani . Rwanda ni moja ya mkoa masikini kama mikoa mingine ya Africa.

Tabia ya viongozi wa africa kuamini kwamba wanapaswa kuongoza wao kwa sababu wengine wataharibu ni aina nyingine ya Ufisadi, wizi Na ujinga uliokithiri.

Ni. Nini kinafichwa nyuma ya pazia !??!

Wizi ufisadi na ukiritimba.?

Kwangu mm mbowe kuendelea kugombea uenyekiti huku kuna vijana wenye uwezo ni kukosa MAONO kama kiongozi mwenye vision, aidha… hapaswi kuwa MFANO kwa jamii ya vijana.

Kama Over 20 years unashindwa kuandaa vijana kuwa warithi….. then Mbowe na Chadema yake inakosa UHALALI wa kuaminika kama chama cha kuigomboa nchi.

Pamoja na yote: kwangu CCM itabaki kuwa ni chama cha mfano, they have a DISCIPLINE ambayo tunapaswa kuiheshimu, miaka 10 , kiongozi unakaa kando.

, tunataka kuipa nchi upinzani? Lakini je….ni upinzani ipi ? Wa Zitto ? Mbowe ? hashimu…… hamna kitu

À day upinzani mnakuja kujielewa….. tunawapa nchi straightforward.

Nilitamani kuona Lissu anasimama na mtu mwingine tofauti na mbowe !

Bado napata maswali magumu!

Ni nini kipo nyuma ya pazia ya uenyekiti wa chadema?

Ni nini? Ni nini ?

Sina hofu na uwezo wa Lissu…. Ni one of those guys ambao taifa linawahitaji
Very smart guy , sio muoga, confidence ipo juu na ni msomi

Magufuli amekufa hajawai kutamka neno LISSU kwenye maisha yake yote ya urais….Lissu is a walk to remember….upinzani wa lissu hauna shaka ndani yake hata chembe

Hivyo basi? Huu mchakato wa sasa ni game changer….. utafukunyua mambo yote;

. Chadema ni chama Chetu sisi wanafamilia ! ?

Kuna nini kwenye uenyekiti ? Kuna asali gani ambayo wengine hawapaswi kuilamba?

Zitto alijaribu akazushiwa ni snitch….ni muda saaa tuone ukweli , tunajua Lissu sio snitch .. Lissu ni pure MPINZANI
zaidi ya mbowe…. Kwangu Mnyika na lissu hawa ndio wapinzani khasa zaidi ndani ya Chadema

Kwa sisi watu wa Canada, tunafuatilia mchakato kwa karibu na tunatamani kuona sura mpya kwenye uenyekiti kama ilivyo kwa wenzetu CCM .Mbowe kaanza na Ben, kaja JK , kaja JPM, na sasa yupo na Samia….. this is a bread of shame and we can’t proud of that

Dr Megalodon,
WHO Regional Office, Ottawa, Canada
So "this is the bread of shame and we can't proud of that". Mmhhhh.....🤔🤔!
Canada ipi bro, tujuane majirani.
 
Back
Top Bottom