Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

Leta Clip
Ndiyo, Rais wa zamani wa Tanzania, John Pombe Magufuli, aliwahi kumtaja Tundu Lissu hadharani katika hotuba kadhaa, hasa alipokuwa akijibu au kueleza masuala ya kisiasa na upinzani nchini Tanzania. Kwa mfano:

1. Kipindi cha uchaguzi wa 2020 - Magufuli alimtaja Lissu mara kadhaa, akieleza maoni yake kuhusu kurudi kwa Lissu kutoka uhamishoni na kushiriki uchaguzi kama mgombea urais wa upinzani kupitia chama cha CHADEMA.


2. Masuala ya usalama - Wakati wa hotuba moja, Magufuli alizungumzia shambulio la risasi dhidi ya Lissu mwaka 2017, akidai kuwa suala hilo lilikuwa linapaswa kushughulikiwa na vyombo vya usalama badala ya kufanywa ajenda ya kisiasa.


3. Mijadala ya kisiasa - Magufuli mara nyingine alimtaja Lissu kwa muktadha wa kuzungumzia wapinzani wa serikali yake, akisema kwamba alikubaliana na upinzani kufuatilia demokrasia, lakini pia akisisitiza umuhimu wa kufuata sheria na taratibu.



Majibizano haya yalionyesha jinsi Lissu alivyokuwa na nafasi kubwa katika siasa za upinzani na jinsi Magufuli alivyojibu ukosoaji wake.
 
Hizi bangi nyingine zinazo wavuruga akili zitakuwa siyo za kawaida. Pengine kuna zaidi ya bangi zenyewe zinazo weza kuwaharibu akili kiasi hiki.

Ukija hapa na kusema unao "uhuru" wa kifikra; usisahau nilio nao mimi pia wa kujibu takataka kama hizi.
Pole
 
Alikuwa akimuita kama Mpiga kelele

Hey, hii sio hoja ya msingi lakini
 
 
Siasa ya Tanzania ni sawa na muhubiri au shekhe kuhubiri kuwa pombe haramu wakati na yeye analala bar akilewa
 
unajishushia heshima bila ya sababu zozote za msingi!

Ngoja nikuulize, wewe ni Daktari wa kitu gani, ni MD au Ph.D.?
Sijawahi kuhitaji heshima, itanisaidia nini
Focus
 
Alikuwa akimuita kama Mpiga kelele

Hey, hii sio hoja ya msingi lakini
Umeandika Magufuli amekufa hajawahi kutamka neno Lissu
Huoni unajichanganya mwenyewe kwa jibu lako
Tuwe tunakubali makosa sawa
 
Hapa Mbowe kavikwa cheo kisichomhusu maana yeye si kiongozi wa nchi.
 
Sijawahi kuhitaji heshima, itanisaidia nini
Focus
Ninakubaliana na wewe; mtu wa aina yako hastahili heshima wala haoni umuhimu wake.

Sasa sijui hiyo 'Focus' hapo ni ya kitu gani. Hizi ni ' hallucinations' zinazo sumbua au siyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…