Je, ni kipi unaweza kuvaliana na mpenzi wako?

Ila mwanaume kukutwa au kuonwa na wanaume wenzio umeva shanga,saa ya kike,chupi ya kike na tusiamini kama ni shoga nivigumu sana tena kama mm ndio hata mlango wakuamin utakua umefungwa kabisa
Bado mtoto wewe!!! Wanaume wengi tu wanavaa shanga na kutembea na vichupi vya wenza wao
Nakumbuka Kuna waziri mmoja kipindi cha jk alipata heart attack akiwa kwenye msafara. Bwana ee alikuwa na lichupi lake la resi material na shanga zake na baada ya kukaa sawa hakujali wala Nini.
 
Bora wewe bidada mimi kuna kijana aliondoka na tshirt zangu wakati mimi nina kipensi chake tu mpaka leo roho inaniuma sana!πŸ˜’
Hizo za kuchukuliana nguo kwenye mapenzi tunaachaga tu kimya kimya usipige hesabu kwamba kachukua sidiria zako saba we umechukua chup! Yake moja.
 
shanga mbona fresh tu mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚
Dah! πŸ˜‚ umenikumbusha simulizi ya mwana aliyekuwa akivaa ushanga
Akitongoza wa kwanza anavaa akitongoza wa pili anavua.. Basi ikawa confusion.. Mabishano mtaani kila mwanamke anataka ithibati lama jamaa anavaa au havaiπŸ˜‚
 
😁😁😁 chandu unai chachanduaa, hasa ukutane na chachandu iliyofanyiwa mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Mkuwa mmevaa wote moto wa atomic au nuclea unalipuka ... 😁😁😁 dont try this at home πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nakumbuka Kuna waziri mmoja kipindi cha jk alipata heart attack akiwa kwenye msafara. Bwana ee alikuwa na lichupi lake la resi material na shanga zake na baada ya kukaa sawa hakujali wala Nini.πŸ˜‚
 
😁😁😁 chandu unai chachanduaa, hasa ukutane na chachandu iliyofanyiwa mambo ni πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Mkuwa mmevaa wote moto wa atomic au nuclea unalipuka ... 😁😁😁 dont try this at home πŸ˜‚πŸ˜‚
Shanga
Asali
Kisosi
Na beseni lenye maji ya moto yenye iliki na kanga mokoπŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯πŸ’ͺπŸΏπŸ˜‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…