Sijaua kama umenielewa, achana na hayo mambo ya sijui ya kufa sujui kuharibika hatuongelie viumbe hai. Mimi nadharia zangu zime base kwenye physics ambapo ukisema thermodynamic hapa tunaongelea uhusiano ulipo kati ya heat, energy na work. Ukija upande wa quantum systems hii ina inaelezea tabia za matter na energy kwenye viwango vya atom na subatomic level (behavior of matter and energy at the atomic and subatomic level) sio mambo ya kufa na kuharibika
quantum systems can be isolated from the environment in a way that no energy is exchanged with the environment and no dissipation occurs, it's known as closed quantum system and they are considered to be the only systems that could have 100% efficiency.
skiza mkuu, labda tuseme kuna swich ya umeme inaweza kuwa OFF na ON, hii swich kwenye QS kwa wakati mmoja iyo swich inakua ipo ON na ipo OFF. Before the event ya ku predict. Ili kitu kiwe sanifu kwenye QS inabidi kiwe na hali zote mbili kwenye state kabla ya probability ya labda kipo ON ue OFF (Mambo ya Bayesian probability tutawapoteza watu)
Mkuu bado tupo kwenye stage ya tafiti, quantum computer bado sana. Ndo tupo kwenye stage za mwanzo processor za quantum computer
Sijajua mkuu labda hauna backgraound ya ya mambo ya pyhsics hasa advance
1.Gari si kiumbe hai, lakini nalo linaharibika (linaumwa) na linakufa. Linakunyw amafuta, linatoa uchafu.
So kufa si kwa viumbe hai tu.Ondoa neno kufa weka complete breakdown.
2. Hata mwili una matter, energy, atoms na unapoumwa na kufa ni matokeo ya kukongoroka. Ultimately hesabu zilezile za thermodynamics zinasababisha kifo cha viumbe hai.
Entropy increases with time, things break down and they finally reach complete breakdown, whether gari lisilo na uhai au mwili w amtu usio na uhai there is really no difference.The difference is superficial.
Unaelewa kwamba the second law of thermodynamics entail entropy and entropy is the only thing that distinguishes the arrow of time, the past and the future, and that anything that exists in time is subject to entropy and the second law of thermodynamics?
3. Kwenye quantum system narudia tena, anything that exists in time cannot be 100% efficient. Kwa sababu all time subjected system break down. The will need maintenance, and once you need maintenance you are not 100% efficient. 100% efficient means you don't need maintenance.
Pia, huwezi ku isolate quantum systems na enviroments kwa 100% efficiency wakati the very fabric of space time create and delete virtual particles all the time.Yani kuna vi particle huwa vinatokea out of empty space, vinakaa kwa muda mchache sana, halafu vinatoweka, all the time, anywhere you have space. So, how are you going to isolate your quantum system from these virual particles? Uta i isolate quantum system yako isiwe kwenye space?
4. Tetea tuhuma zako kwa hoja, usiseme tu sina background ya physics. Yani kusema hivyo kizembe bila kuonesha sababu tayari ushaonesha si mtu wa physics. Mtu wa physics anakwenda na data, anaonesha hapa umesema hivi na si sawa kwa sababu ya theory hii na hii na hivi na hivi. Wewe unaishia kusema tu.
Mimi nimeeleza entropy, second law of thermodynamics, quantum fluctuation etc.
Tetea hoja kwa msingi wa theories, laws, concept kama hivyo, usikimbilie kusema "huna background" tu. Hunijui.
Usipoelewa kwamba mwili wa mtu una atoms, na wenyewe unakwenda kwa kanuni z aquantum physics, unakwenda kwa kanuni za second law of thermodynamics, wewe ndiye unajionesha hujui physics.