Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Death is constantly perfect per 100%
 
Hakuna kasoro katika kuokoka, kuamin ni Yesu Kristo aliyemwokozi wako, kuliamin jina na damu take.

Ni kasoro sana kumwamin Kristo bila kuokaka.
Ni kasoro kumwamin Yesu Kristo bila kuliamin jina na damu yake.

Happy dominika kwa wote
Umevuta ya wapi ndugu yetu?
 
Waliomkiri Yesu hua hawana mapungufu?
 
Death is constantly perfect per 100%
If death was constantly perfect 100%, there would be no life.

The existence of life proves death is not perfect 100%.

We die every second (our cells die), but we don't die 100% every second.

So death struggles to kill us, until the day we finally die 100%, then it wins.

Since it struggles to kill us, all these years, it is not perfect 100%
 
Kifo..
Kinakujaga tu kiroho safi muda wake ukifika
Hakina kelele wala mbambamba
Hakiangalii nani ni nani, kinatoa haki sawa kwa wote
Na chenyewa kina kasoro coz hakiangalii wakati, mdogo, na mipango ya mfu
 
Alikuja kuishi kama mwanadam, ile hali ya uungu ndani yake haikuwepo.
Kwa hiyo alihisi njaa, furaha na maumivu na alichoka

Alikuwa binadamu kweli na Mungu kweli.
100% UBINADAMU
100% UUNGU.

UBINADAMU WA YESU.
- kuzaliwa.
-Njaa.
-Matusi.
-Vurugu Hekaluni.
-Kupotea Katika ukuaji.
-Kupitiwa na usingizi wakati chombo kikizama.
- kupigwa kufa nk.....

UUNGU WA YESU.
-Kupata mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu
- kufufua wafu.
-Miujiza mingi vipofu chakula nk.
  • Kutembea Juu ya Maji.
  • Kujibadirisha Mlimani.
  • Kufufuka Katika wafu.
  • Dunia Nzima kulikiri jina lake kama ni Mokozi wa Ulimwengu.
  • mwana falsafa no 1 Duniani.
NENO
-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…