Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Kuna Wabongo wengi hawajui kupingana kwa hoja, ukimpinga hoja yake anaona kama umemshambulia yeye binafsi.

Kibaya zaidi, anaacha kukujibu kwa kupinga hoja zako, anakushambulia wewe kama mtu (ad hominem attack). Hii ni daliki ya kukosa hoja.

Mimi siogopi kuambiwa mbishi. Hakuna maendeleo ya fikra bila ubishi.

Watu waliotengeneza computers, internet na email walifanya ubishi kubishia barua za kawaida na typewriters.

Wengine wakafanya ubishi wakaweka internet kwenye cellphone.

Usiseme Kiranga mbishi, onesha ubishi wake una kasoro gani? Hoja zake zina mantiki au hazina mantiki?

Kwa sababu, mtu anaweza kuwa anakukubalia kila kitu tu, hana ubishi, halafu hana mantiki. Mnakubaliana ujinga tu.

Halafu anayekuletea ubishi ndiye anayeleta mantiki nzuri.

Tusikubali kwamba ubishi kama ubishi tu ni kitu kibaya.

Hata Galileo alipoiambia dunia kwamba dunia inazunguka jua, jua halizunguki dunia, alionekana mbishi.

Leo watu wamekubali, mpaka kanisa lililompinga limeomba msamaha na kusema yule tulimuona mbishi, lakini alikuwa na akiki kubwa iliyokuwa mbali sana kiasi miaka ile hatukumuelewa.

Sasa hapa pia inawezekana naonekana mbishi kwa sababu watu hawaelewi vitu vingi tu kama unavyosema.

Vitu vyenyewe basic tu, basi tu watu wetu wengi wako nyuma sana.
 
Mkuu,mbona kama umejichanganya? kwani nini tofauti ya Umri na Muda? mtu akukuuliza una umri gani si utataja muda/Umri/Age uliopo hapa Duniani?
Tofauti ipo mkuu mtu anakuulisa saa ngapi sasa ukamjibu saa mbili na nusu,huu ni muda(time) ila sio umri(span)
 
Dunia haina kitu chenye efficiency ya 100%, kila kitu kina kasoro zake.
 
Wewe ni mtu dhaifu sana,ndio maana mtu akikuchallenge unakimbilia kumuweka kwenye ignore list,hii ina maanisha kua hujiamini na huna self confidence,najua hii comment yangu hutaiona coz mimi ni mmoja wa uliowaweka kwenye igore list ila najua kua wale wote wanaokuabudu na wanaokubali kwa kila unalolisema watanisoma.
 
Hakuna kasoro katika kuokoka, kuamin ni Yesu Kristo aliyemwokozi wako, kuliamin jina na damu take.

Ni kasoro sana kumwamin Kristo bila kuokaka.
Ni kasoro kumwamin Yesu Kristo bila kuliamin jina na damu yake.

Happy dominika kwa wote
Mmmmh
 
Hahah.

You are much too kind my friend.
Not rea
Namfatilia Kiranga kwa karibia miaka 10 sasa.
Niko JF miaka mingi kama msomaji so ugeni wa ID yangu usikudanganye.
Kiranga ni "punguani" sababu anaongelea imani zetu kwa namna ambayo hatupendi japo hatuna facts za kum prove wrong hivyo inabidi tuishie kumtukana tu..
Watanzania wengi hatuna utamduni wa kupanua uelewa kwa kujisomea vitabu halafu unajukuta mnachangia mada na mtu asiyejua idadi ya vitabu alivyosoma lazima uone anajifanya much know.Hajifanyi much know yeye ni much know sbb ana know 😁 ukilinganisha na wengi wetu.
Naomba nikuukize,kwa sasa unasoma kitabu gani?
Mpaka sasa mbali ya biblia/Quran umesoma kutabu gani?
Mpaka sasa hivi umeshasoma vitabu vingapi?.
Narudia,huwezi kumuelewa Kiranga kama IQ yako ni ndogo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…