Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Mkuu asante sana kwa kunitambua.

Mimi si genius, nafanya kazi sana kutafuta mambo.

Leo sijisikii kabisa kugombana na mtu na kuharibu uzi huu mzuri.

Mimi si mada na wala sitaki kujifanya kuwa mada. Huyo mtu simjibu kuepusha rabsha kwenye uzi huu mzuri.

Shukurani sana.
 
Naona mtu wangu wa nguvu umepotezea swali langu.
 
Wewe nae ni kama huyo tu unayetokwa povu kwa ajili yake,hoja zako na viswali vyako ni vya kijinga sana,nani amekuaminisha kua njia ya kupata knowledge ni kusoma vitabu pekee? Dunia inakwenda mbele ila wewe unarudi nyuma,teknolojia imerahisisha mambo acha kukariri,huyo unayembabaikia hapa ingekua anajua basi angekubali challenge na sio kukimbilia kuweka kwenye ignore list kwa kila anaye mpiga,unaoneka upstairs huna kitu ndio maana huyo mtu unamuona ni bonge la genius kwako.
 
Kama wewe unaamini upepo ambao haujawahi kuuona unashangaa nini mimi kumuamini mwenyezi Mungu?
Hapa tunaongelea kasoro au tunaongelea imani?
Sasa upepo kutokuonekana ndio kasoro yake. Ndio maana nikakuuliza umewahi kumuona Mungu. Unaleta mifano kibao. Sasa kutokumuona Mungu huoni kuwa hiyo ndiyo kasoro yake?
 
Naona mtu wangu wa nguvu umepotezea swali langu.
Post namba ngapi mkuu? Nakuhakikishia sikupotezea kwa makusudi hapa post nyingi tu. Halafu natumia simu siwezi kufuatilia quotes na mentions zote vizuri.

Yani nipo nakula reggae hapa nipo love and i-nity vibaya sana leo hata fujo sina.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapa tunaongelea kasoro au tunaongelea imani?
Sasa upepo kutokuonekana ndio kasoro yake. Ndio maana nikakuuliza umewahi kumuona Mungu. Unaleta mifano kibao. Sasa kutokumuona Mungu huoni kuwa hiyo ndiyo kasoro yake?
Hivi unajua maana ya kasoro?
 
Multiple ID's raha sana aisee,unajisifia kisha unajishukuru.

πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…