Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

Je ni kosa kisheria kulala na kahaba?

KUNA mwananzengo mwenzetu alikamatwa usiku uliopita kwenye vyumba vya Wale wanawake wa lile kabila wakiuza Tukuyu zao.

Polisi wanasema wamemkamata kwa uzembe nanuzururaji, je mtu anaweza kuzurura chumbani?
Mandata usiku wanasaka hela, wakikuweka kwenye 18 zao, ambazo wanaweza kukutengezea msala, ongea nao vizuri kama huna hela ikiwezekana piga na magoti lia na kugalala gala watakuachia..
 
Wapewe business Tin walipie mapato....

Ila hii biashara haiendani na tamaduni za mwafrika.....

Kifupi ni kosa ila ukipenyeza lupia una achiwa chap chap....

Kuna dogo alikutwa amekaa mida ya jion kigiza kina Anza kijiweni jiran na uwanja wa mpira...

Dogo akauliza Kwan kosa langu ni nini...akajibiwa UZEMBE NA UDHURURAJI....

Dogo alipo endelea kuhoji aka ambiwa ni maeneo matatu tu ambayo wana usalama wanazitambua kama maeneo ya kupumzika ambayo huto ulizwa...
 
Back
Top Bottom