Pi Network
JF-Expert Member
- Mar 22, 2016
- 290
- 319
Ukioa mwanamke mwenye mtoto umeoa mke wa mtu, lazima uumie baadae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani heshima inapatikana kwa kuoa tu?Unakosa heshima mbele ya jamii,km we mwanaume kweli beba jukumu la KUTUNZA mke na family, ndo utu uzima
Nazidi kupata madini,lakini pamoja na hayo mtu anakuonyesha upendo na kukujali kabisa,na mwanaume alishakimbia mimba mpaka mtoto keshakuwa na umri wa miaka 5,je ni rahisi kwa huyu mwanamke kumrudia njemba wake??????Mwanaume yeyote anae elewa maana halisi kabisa ya kuoa, hapaswi kuthubutu kumuoa mwanamke ambae tayari ana mtoto hata kama mtoto huyo alimpata kwa bahati mbaya.
Elewa kwamba, kumuoa wewe hakutoweza kuvunja uhusiano/mawasiliano yake na mzazi mwenzie. Mara nyingi mwanamke alie zaa na mwanaume fulani anapofikia uamuzi wa kuolewa na wewe si kwamba hampendi yule bwana, anampenda na bado anamfikiria. Isipokuwa amefikia uamzi huo kwa sababu huenda yule bwana amempuuza nk, kukubali kuolewa na wewe imetokea kama dharura tu chaguo lake ni yule mwingine. Hivyo kwa namna moja ama nyingine yule bwana atakuja kukuvurugia ndoa yako kwa kigezo cha mtoto wake, na jambo hili limekuja kuleta shida kweli!
Bonge la ushauri kaka asante,na kwa jinsi ninavyomuona toka nimekuwa nae ni mtu anayejituma na sijawahi kumhofia chochote kibaya kwake,japo yeye anaishi kwake na mimi kwangu,na kila anachokifanya ktk mihangaiko yake ananijuza,ninachoshangaa zaidi kila nikienda ofisini kwake nakuta anasoma BIBILIA huwa namtafakari sana.Mkuu ni sawa...kama utabahatisha wapi single mother wanaojielewa....kuna wengine walipata mimba kwa Bahati mbaya.
Ni bora huyo aliye na mtoto je unataka yule aliyetoa mimba zaidi.
Mkuu muambie akueleze namna ambavyo aliupata ujauzito wake..msimamo wake dhidi ya mzazi mwenzie
Mi naishi na mwanamke ambaye teyari anamtoto kiukweli tunaishi vizuri sana .......wajati nampenda mtoto alikuwa na miaka miwili sasa mtoto anamiaka nane.....kuna single mother wanabusara sana mkuu hayo ya kupigiwa inategemeana na hulka ya mwanamke mwenyewe hata Mimi kuna mwanamke nilizaa nae kiukweli hata paja lake sijawahi kuliona tena..
Hawa watu wanapenda sana maendeleo wanajituna achana na hivi vibinti vitoa mimba mkuu....ni kama vifuata upepeo mchukue muweke ndani....mtoto ake mpende umlee bhasi ...maana u never know......
Upo huku tena bwana LipumbaKwani heshima inapatikana kwa kuoa tu?
Hakuna waliooa ila hawana heshima?
ucjarbu utaoa mke wa mtu kaa ukijua hao watu wata kusumbua kwa kisingizio cha mtoto na uta gongewa saana.Jamani mimi ni kijana na nina ndoto ya kuja kuwa na familia,lakini ninachojiuliza ni kosa kuoa mwanamke mwenye mtoto???????.
Mimi sijaokoka bado ila naishi katika imani,huyu dada ndo kaokoka,ni mtu mtaratibu sana,ila si unajua kila mtu na utashi wake,HAZINA YA MTU ILIPO NDIPO MOYO WAKE UPO.Si kosa kama umeokoka kwa maana maamuzi hayatakuwa ya kwako bali ya Roho Mtakatifu, ila ni kosa kama hujaokoka kwa kuwa maamuzi yatakuwa juu ya Roho wa kisasi.
Asikudanganye MTU mkuu.....tena ni watu wazuri sana wanyenyekevu ...huenda umebahatisha mkuu mi naamini mungu huyu ndie mke aliyenipangia Nampenda kwa kweli maana toka naanza kumfuata miaka sita iliyopita alinieleza wazi kabisa na Mimi nikaridhia kuwa nae...Bonge la ushauri kaka asante,na kwa jinsi ninavyomuona toka nimekuwa nae ni mtu anayejituma na sijawahi kumhofia chochote kibaya kwake,japo yeye anaishi kwake na mimi kwangu,na kila anachokifanya ktk mihangaiko yake ananijuza,ninachoshangaa zaidi kila nikienda ofisini kwake nakuta anasoma BIBILIA huwa namtafakari sana.
Haina haja ila inatakiwa kujiuliza mwenye koloni mbona kalipa uhuru kwani linashida gani ulichukuwe,,na ukicheki koloni lenyewe linamadini
Asikudanganye MTU mkuu.....tena ni watu wazuri sana wanyenyekevu ...huenda umebahatisha mkuu mi naamini mungu huyu ndie mke aliyenipangia Nampenda kwa kweli maana toka naanza kumfuata miaka sita iliyopita alinieleza wazi kabisa na Mimi nikaridhia kuwa nae...
Suala LA kupigiwa kama lipo lipo tu haijalishi kuwa kazalishwa au vipi......vipi wale wanaoolewa bila kuwa na mtoto lakini mwisho Wa siku wanakuja kuzaa mtoto nje ya ndoa....na X boyfriend wake...mkuu ziba pamba masikioni Amini wewe sio kwanza typo wengi wenye ndoa za namna hiyo.....na maisha yanaendelea na familia inakuwa na amani na upendo.....
Nafurahia sana ananishauri vitu vya msingi sana mkuu .....tofauti na hata wale ambao hawajazaa huenda hao pia sana idadi kubwa ya watoto waliokufa kwa sababu waliwauwa angali wakiwa tumboni..
Kuzaa nje ya ndoa, shida kuabort shidaaa,...ila watu daily wanaomba mechi tena bila kinga
Bonge la ushauri kaka asante,na kwa jinsi ninavyomuona toka nimekuwa nae ni mtu anayejituma na sijawahi kumhofia chochote kibaya kwake,japo yeye anaishi kwake na mimi kwangu,na kila anachokifanya ktk mihangaiko yake ananijuza,ninachoshangaa zaidi kila nikienda ofisini kwake nakuta anasoma BIBILIA huwa namtafakari sana.
Haina shida ila muhimu ujue kwa nini yuko single na ana mtoto?
Ama alikuwa macho juu juu akapigwa kitu shuleni
Ama alikuwa waya mkali kitaa akatumia papuchi ili mkono uende kinywani
Ama anapenda sana hii kitu hii/ yaani ndio furaha yake
Lakini kubwa zaidi kupata mimba ina maana alitoa mnofu yaani hakujali. Sasa vipi ndani ya ndoa asije kumpa mnofu muuza samaki, msugua kucha, muuza genge, dereva bodaboda..... Kwani wanawake wana akili basi!?